Msaada: Kuactivate iphone 4s isome mtandaob(line)

oxlade

JF-Expert Member
Jul 8, 2012
601
225
Msaada jamani kuna simu tajwa hapo juu Iphone 4s nkiweka line za kibongo inahitaji kuactivate ili isome, nkiactivate kwa kutumia WIFI mwisjoni inasema SIM NOT SUPPORTED.

Nifanyaje ili line ziweze kusoma? Nimejaribu line zote inasema hivyo. Miaka ya nyuma nliitumia hii simu line zilikuwa fresh tu

IMG-20210608-WA0012.jpeg

IMG-20210608-WA0009.jpeg
 

kcamp

JF-Expert Member
Aug 31, 2014
7,793
2,000
Msaada jamani kuna simu tajwa hapo juu Iphone 4s nkiweka line za kibongo inahitaji kuactivate ili isome, nkiactivate kwa kutumia WIFI mwisjoni inasema SIM NOT SUPPORTED. Nifanyaje ili line ziweze kusoma? Nimejaribu line zote inasema hivo.
Miaka ya nyuma nliitumia hii simu line zilikuwa fresh tu
Hiyo imekua locked kweny mtandao fulani...gharama Utayotumia na muda wa ku unlock ni bora ukaachana nayo..iphone 4s kwa sasa sio usefull tena..

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom