Msaada: Biashara ya duka la mahitaji ya nyumbani

Mtenzeli

New Member
May 15, 2019
3
3
Habari wadau,

Naomba msaada kwa wenye uzoefu wa biashara ya vitu vya nyumbani.

Naomba kufahamu makadirio ya mtaji, changamoto na uzuri wa biashara, na mahitaji yote ili kufungua biashara hii.

Location ni kigamboni

NB; Duka la kisasa(mfano wa mini supermarket). asanteni
 
Mini supermarket at least uwe na 50M, ambapo pekee miundombinu inaweza kulamba 20, hiyo 30 ndio bdhaa
 
Hiyo biashara ya Mangi ni inataka moyo
Ni biashara ambayo ni rahisi-ngumu. Yani ni rahisi kuanza lakini uendeshaji wake ni Balaa.
Changamoto kubwa ni:
1) Muda wa kufungua na kufunga
2) Hesabu yake dukani (kama ndo umeajiri mtu, uwe na moyo wa uvumilivu)
Tutaendelea....
 
Back
Top Bottom