msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tall Guy fam

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ninakutana na changamoto hii kwenye Ajira Portal!

    Habari wakuu, Changamoto ninayokutana nayo kwenye ajira portal ni baadhi ya kazi zinafeli kuapply kwasababu ya kigezo cha degree ya kwanza (BSc). Nina Masters ya Environmental Science na Bachelor ya Environmental Conservation. Kwa mfano wanahitaji assistant lecturer wa Environmental science...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kublock hizi meseji za bahati nasibu za haya makampuni ya mawasiliano ya simu

    Habarini wanajamvi. Sijui humu ndani kama kuna mtu amewahi kushinda ama kupata hiyo bahati ya kushinda hela au magari wanayotangaza.Na sijui dhamira yao ni nini.Zimekuwa 'too much' Nani kawaambia kuwa si tunataka hizo bahati nasibu zao. Hebu tusaidiane jinsi ya kuwablock hawa...
  3. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba tofauti Kati ya academic qualifications na professional qualifications kwenye ajira portal

    Wakuu Naombeni tofauti Kati ya academic qualifications na professional qualifications na Nini napaswa ku attache kwenye ajira portal
  4. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Hali ya Uokoaji Afghanistan bado tete, Taliban waomba msaada wa Kimataifa

    Inaelezwa kuwa mvua kubwa zinazoendelea kunyesha na uharibifu mkubwa wa majengo na miundo mbinu ni kikwazo kikubwa kwa jopo la uokoji kusini-mashariki mwa Afghanistan, ambapo tetemeko kubwa la ardhi linaripotiwa kuua zaidi ya watu 1,000 na kuacha majeruhi takriban 1500. Mamlaka ya Taliban...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mwenye ufahamu wa shirika la kimataifa la ICAP Global Health

    Habari nilikua naomba kwa mwenye ufahamu juu ya hili shirika la ICAP au hata yule ambae kashawahi kufanya nao kazi kuhusu mchakato wao wa ajira unakuaje ili anipe kidogo mwangaza. Walitangaza nafasi na deadline ishapita lakini bado hatujui kama wako kwenye mchakato wa kuita watu kwa usaili au...
  6. sir j

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Windows Installation

    Kwema wana jamvi....?? Poleni na mihangaiko ya kutwa. Kama mada hapo juu inavyojieleza, niko na install Windows 10 kwa PC yangu lakini inaniletea ujumbe kama inavyoonekana kwenye Screen short niliyoambatanisha.... Nahitaji msaada tafadhali kwa wenye utaalamu. Natanguliza shukrani zangu za...
  7. MK254

    JamiiForums Tanzania Taliban waomba msaada uzunguni baada ya tetemeko la ardhi Afghanistan

    Tetemeko hatari sana limefanya uharibifu na kusababisha vifo vingi hadi Taliban wameomba msaada. ============= At least 920 people have been killed and 600 injured after an earthquake struck eastern Afghanistan early on Wednesday, authorities said. The 6.1 magnitude quake hit in Paktika...
  8. Supu ya kokoto

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mdogo wangu anahitimu Darasa la 8 Kenya. Je, anaweza kupata nafasi shule za serikali Tanzania?

    Wakuu salama? Nina mdogo wangu anasomea Kenya kwa ufadhili wa kanisa sasa mwaka huu anahitimu darasa la nane. Nilitaka akimaliza aje aendelee huku na masomo ya sekondari. Naomba kujua yafuatayo: 1. Inawezekana yeye kuhamia katika mfumo wa elimu ya Tanzania? 2. Ni taratibu zipi zifuatwe ili...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kuna muda inaweza ikawa hutumii maji kabisa lakini mita inaonekana inatembea

    Mimi ninapokaa, mita ya maji inasumbua sana. kuna muda inaweza ikawa hutumii maji kabisa lakini mita inaonekana inatembea, sijajua shida ni nini. naomba msaaada nini cha kufanya.
  10. E

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu volunteers

    Wadau naombeni kujua ni vigezo vipi au sheria zipi zinatumika kuhusu kuwahifadhi wageni katika nyumba yako. Nina nyumba yangu nahitaji Ku host volunteers naombeni kujua ni taratibu zipi zinahitajika na document zipi zinatakiwa kwa kupata usajili . asanteni
  11. Njaa

    JamiiForums Tanzania Msaada: Facebook account locked

    Wanajamvi naomba msaada: Nahisi kuna mtu alijaribu ku-login kwenye account mara kwa mara kwa kutumia wrong password.....! Matokeo yake facebook waka-lock account yangu. Sasa ili niweze ku-unlock account hii ni lazima nipokee code kupitia simu ambayo niliiweka kwenye account ya facebook, bahati...
  12. meck pro

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada jinsi ya kufika Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, UDOM

    Wakuu habari, Naomba msaada wa maelekezo ya kufika hapo Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Udom nikitokea stand ya dalala Sabasaba. Asante sana 🙏
  13. vnn

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa kimawazo nateseka

    Naongea kwa niaba ya aliekujabkuniomba ushauri! Nilikua kwenye mahusiano na kaka mmoja tangu 2014, mwaka 2016 tukaanza kuishi pamoja bila kufunga ndoa lakini ukweni tulitambulishana, wakati huo mimi nilikua nina kazi yeye bado hajapata mishe ya maana, tumekaa hvo hvo mpaka nikajifungua...
  14. EL ELYON

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kusajili kampuni

    WAKUU mmebarikiwa sana na Mwenyezi Mungu. Jamani nipo kwenye mchakato wa kusajiri kampuni shida niliyokutana nayo brela online kila nikiandika jina la kampuni inaniambia nimekosea jina la kampuni sijajua nakosea nini maana jina ni jipya na wala halifanani na jina lingine naombeni msaada wenu...
  15. Veritas Minor

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya Ngorongoro Conservation Area huwa ni kiasi gani?

    Habari wakuu. Tafadhali naomba msaada kujua mishahara ya ngorongoro conservation area? Naomba kujua hasa NCAA 3, NCAA 4 na NCAA 5. Na je hili jeshi usu huwa inachukua muda gani kuhitimu. Asanteni sana🙏🏾
  16. Oxpower

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu vyuo vinavyotoa kozi za ICT online

    Ndugu wana jamvi, Naombeni kujua vyuo vinavyotoa kozi za ict ngazi ya certificate au diploma kwa hapa tanzania ,kwa njia ya mtandao. Nb.nina bachelor katika fani nyingine,o level nina C ya hesabu na D ya physics je naweza kuanza na diploma au certificate msaada tafadhali kwa mnajua hili
  17. kelphin

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza. Karibu Nieleze kidogo kuhusu subwoofer Je, unataka kununua, basi zingatia haya. Zipo za aina mbili old model na digital. Siyo majina hapana ,yaani inaweza kua rising,seapiano,codjec,aborder au vyovyote Ila itakua digital au...
  18. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Msaada: Gharama ya kukodi boti kwa ajili ya birthday party hapo mjini Darisalama

    Wakuu msaada kuna hela nilikuwa nimetunza kwa ajili ya kununua kiwanja lakini baada ya kufanya tathmini ya kina nikaona nitakuwa nimwfanya kitu Cha kitoto hasa ikizingatiwa hapa duniani tunapita tu, sisi hapa duniani ni wasafiri. Msaada nataka kujua Gharama ya kukodi boti hapo mjini kwa ajili...
  19. Fund man

    JamiiForums Tanzania Msaada namba ya kutumia mizila Firefox.

    Naomba kujuzwa namna ya kuhifadhi(save) page for offline kwa fire fox(mozila) Kama ilivyo kwa operamin tafadhali.elimu Haina mwisho.
  20. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Bure: Ukijikwaa ukaanguka, usiangalie tu pale ulipoangukia, bali angalia pale ulipojikwaa

    Wanabodi, Chadema ilijikwaa, ikaanguka, ikaangalia tuu pale ilipoangukia, ikainuka, ikaendelea na safari, bila kuangalia ilipojikwa, sasa imejikwaa tena pale pale, Ila bado haijaanguka, hivyo huu ni ushauri wa bure wa kuisaidia this time around, isianguke!. Mtu unapokuwa umejaaliwa uwezo wa...
Back
Top Bottom