Habari zenu wakuu na samahani nilikuwa naomba kujua kwa wale wanaofanya application kwa nafas za kazi pccb mimi kila nikiattach doc mfano kama cheti ile option ya kuapload haifany kaz hii imekaaje
Tokea wife kuondoka na vitu vyandani na kuniacha kama alivyonikuta 2017 jamani shida inakuja kila nikiona kirikuu kimebeba vitu yaani mtu anahama 🤣🤣 nahisi kama wife anarudi hata kama nikiwa nakula nitaganda na kusindikiza kwa macho kirikuu mpaka kipotee.
Hata nikiwa kwenye daladala nitatoa...
Kuna mfanyakazi mwenzangu ambaye Mimi namzidi cheo Ila kapewa Kazi Fulani ya kutupangia utaratibu WA Kazi WA kila wiki.
Sasa huyu mtu Ni wale watu wanaitwa kupe, Ni dizaini ya watu wenye tabia ya kupenda kujiweka mbelembele, Kwa kila kitu anataka yeye aonekane ndio anaweza,ikitokea shughuli...
Salamu na kazi iendelee.
Kichwa Cha habari kinasomeka.
Kwa lugha ambayo sio pendwa ni wale wanafunzi waliofeli.Nikitaka kujua idadi yao nafanyaje wapendwa.
Msaada wandugu.Msije mkasema nina NGO ya kuwapeleka hapana mahitaji kujua tu.
Takwimu za 22/23 itakuwa vizuri.
Nawasilisha.
Wanafunzi 1,000 wanufaika na msaada wa vifaa vya shule vyenye thamani ya tsh. milioni 32 kutoka kwa Mariam Ditopile Mbunge wa Viti Maalum kupitia CCM mkoani Dodoma.
Mbunge viti Maalum Mkoa wa Dodoma anayetokana na Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Mariam Ditopile amewawezesha wanafunzi wenye...
Wakuu,
Nina Toyota Premio f niliagiza kutoka Japan mwaka jana mwishoni. Gari imekuja na rim size 14 na nikipita barabara ya vumbi kuna wakati inagonga sana chini, kwenye mlango wa dereva kwa pembeni kuna hizi options zimeandikwa kama inavyoonekana kwenye picha niliyoambatanisha hapa(Pamoja na...
Habari zenu wanajukwaa!
Mie Ni kijana wa kitanzania.
Shida yangu nakuja kwenu kuomba Ajira mwenye kuweza kunisaidia iwe kwa kuniunganisha mahala nitashukuru.
Nina Hali mbaya mno ndugu mpaka inafikia hatua nakunywa uji nalala na familia yangu ya watoto wawili ,yaani mpaka nalia mbele ya...
Nimejaribu kuomba msaada imeshindikana.
Mie nilikuwa sina mpenzi nikawa na mtu friend with benefits. Sasa nipo na chibabu nikasema ngoja nimwambie kuwa mie sio single tena.
Weeeh! Akawaka akadai yeye hajui hilo saivi yupo kama ananikomoa dah! Anaandika message za mapenzi, kero za hapa na pale...
Hello jamaa zangu,
Tumaini langu mnaendelea vizuri.
Nahitaji kupata pikipiki Kwa ajiri ya biashara ila pesa yangu ni kidogo sana.
Ningependa kujua kama Kuna wadau wanayajua makampuni yanayokopesha pikipiki na masharti yao ni yapi?
Wakuu poleni na majukumu ya wiki nzima. Nijikite kwenye mada mojakwamoja bila kuchelewa. nimepata changamoto kwenye hii computer ya utoaji wa sauti.
Nilimpa fundi anifanyie installation ya Windows 10 pro lakini baada ya kuweka windows hiyo nimekuja kugundua computer haitoi tena sauti kwa...
Habari wakuu,
Naomba kusaidiwa mawazo kwa wale WAELEVU wa mambo ya ujenzi, hv 7M naweza kujenga ka'nyumba ka aina gan ka kuanzia maisha!
NB: Kiwanja ninacho!!
Thanks
Ni wazi kwamba toka Tanzania ipate uhuru, Nabii Mkuu Mheshimiwa Dr Geor Davie wa Ngurumo ya Upako na Msemaji Mkuu wa Serikali na Ufalme wa Mungu hapa Duniani ndie mtu maarufu kuwahi kutokea katika mkoa wa Arusha.
Umaarufu na ushawishi wa Nabii Mkuu umefanya sasa hata wanasiasa wa mkoa wa Arusha...
Wanabodi
Hii ni sasa hivi maeneo ya Mbezi Beach Tangi Bovu,
Ingekuwa ni maeneo ya Uswazi watu angalau wangejitahidi kidogo, japo kusaidia kuzima kwa mchanga!, lakini haya maeneo ya kishure, washure wanakodolea tuu macho!.
Zimamoto ndio usizungumzie kabisa!.
Mtanisame nili staafu uandishi wa...
Wakuu nilifungua ka stationery kadogo nikamuacha binti, photocopy machine ni canon iR2016 I.
Ilikua inapiga kazi vizuri tu nikiiconnect kwenye desktop, sasa binti amenipigia simu kwamba, imezingua desktop inashindwa kuisoma photocopy machine.
Nimeenda nimejaribu kila njia ku-install drivers...
Supapawa bado anatapa tapa akitafuta wapiganaji wamsaidie kuondoa hii aibu alianzisha pale Ukraine...
ARussian news video claiming to show Serbian "volunteers" training to fight alongside Russian troops in Ukraine has prompted outrage in Serbia, exposing its complex relationship with Moscow...
Sheria inasema kuwa Review lazima ioneshe kuwa kuna kitu/sheria kimekosewa wazi wazi na kuhitaji marekebisho. kwa kiingereza inaitwa : There is a manifest error on the face of the record resulting in the miscarriage of justice.
Naomba kama kuna case iliyofanyiwa review na ikaonesha hiyo...
Habarini wakuu,
Nisaidieni kujua kuhusu Cooper Ukulaji wake wa mafuta, matunzo yanayofaa, disadvantages zake na advantages, na hiyo speed 260 sustainable kiasi gani kwa hizi road zetu.
karibuni..
Wapendwa nimeweka Windows 10 kwenye PC yangu aina ya Acer lakini sensor imegoma kufanya kazi naomba kukujua tatizo itakuwa ni Nini na namna ya kutatua.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.