Msaada kuhusu MacOS Computer

kidi kudi

JF-Expert Member
May 17, 2011
2,419
1,981
Wakuu poleni na majukumu ya wiki nzima. Nijikite kwenye mada mojakwamoja bila kuchelewa. nimepata changamoto kwenye hii computer ya utoaji wa sauti.

Nilimpa fundi anifanyie installation ya Windows 10 pro lakini baada ya kuweka windows hiyo nimekuja kugundua computer haitoi tena sauti kwa Audio/video zote. Nimejaribu kuchek drivers naona kama ziko ok lakini bado sauti haitoki.

Ila sauti inatoka pale tu ninapoiwasha baada ya hapo hakuna sauti yoyote inatoka

Naombeni mwongozo nifanye nini au kuna kitu bado kina miss kinahitajika?
 
Wakuu poleni na majukumu ya wiki nzima. Nijikite kwenye mada mojakwamoja bila kuchelewa. nimepata changamoto kwenye hii computer ya utoaji wa sauti. Nilimpa fundi anifanyie installation ya Windows 10 pro lakini baada ya kuweka windows hiyo nimekuja kugundua computer haitoi tena sauti kwa Audio/video zote. nimejaribu kuchek drivers naona kama ziko ok lakini bado sauti haitoki

naombeni mwongozo nifanye nini au kuna kitu bado kina miss kinahitajika?
Mac gani na ya mwakagan?
 
Wakuu poleni na majukumu ya wiki nzima. Nijikite kwenye mada mojakwamoja bila kuchelewa. nimepata changamoto kwenye hii computer ya utoaji wa sauti. Nilimpa fundi anifanyie installation ya Windows 10 pro lakini baada ya kuweka windows hiyo nimekuja kugundua computer haitoi tena sauti kwa Audio/video zote. nimejaribu kuchek drivers naona kama ziko ok lakini bado sauti haitoki.
ila sauti inatoka pale tu ninapoiwasha baada ya hapo hakuna sauti yoyote inatoka

naombeni mwongozo nifanye nini au kuna kitu bado kina miss kinahitajika?
Mkuu ulichoandika hakieleweki Mac os au Mac pc!?
 
type device manager then angalia hapo kwenye voice click ukiona working properly ijue ni wondow yako tu au setting.
kama inachangamoto itaonyesha red cross
 
nimechek nimeona kipengele cha window activation, ujumbe uliopo ni window is not activated hafikiri hapa inaweza kuwa ndio shida inapoanzia bila shaka?
 
Mkuu achana na hiyo kwanza anzia kwenye Device manager uone kama hakuna tatizo.
then kama ikiwa hakuna tatizo huko itakuwa ni window tu.
 
Kutotoa sauti kuna ashida mbili tu. Eiither hard ware ama drivers. Tatizo lako lipo kwenye drivers uninstall sound driver halafu restart machine
 
Wakuu poleni na majukumu ya wiki nzima. Nijikite kwenye mada mojakwamoja bila kuchelewa. nimepata changamoto kwenye hii computer ya utoaji wa sauti.

Nilimpa fundi anifanyie installation ya Windows 10 pro lakini baada ya kuweka windows hiyo nimekuja kugundua computer haitoi tena sauti kwa Audio/video zote. Nimejaribu kuchek drivers naona kama ziko ok lakini bado sauti haitoki.

Ila sauti inatoka pale tu ninapoiwasha baada ya hapo hakuna sauti yoyote inatoka

Naombeni mwongozo nifanye nini au kuna kitu bado kina miss kinahitajika?

nenda my computer angalia management upande wa device ukiona driver zina alama ya kiulizo basi ingia update driver
 
Wakuu poleni na majukumu ya wiki nzima. Nijikite kwenye mada mojakwamoja bila kuchelewa. nimepata changamoto kwenye hii computer ya utoaji wa sauti.

Nilimpa fundi anifanyie installation ya Windows 10 pro lakini baada ya kuweka windows hiyo nimekuja kugundua computer haitoi tena sauti kwa Audio/video zote. Nimejaribu kuchek drivers naona kama ziko ok lakini bado sauti haitoki.

Ila sauti inatoka pale tu ninapoiwasha baada ya hapo hakuna sauti yoyote inatoka

Naombeni mwongozo nifanye nini au kuna kitu bado kina miss kinahitajika?
Macbook ya aina gani boss umeulizwa ujajibu BADO?
 
Back
Top Bottom