Msaada wa jinsi ya kushughulika na mtu huyu

Unique Flower

JF-Expert Member
Apr 19, 2019
12,714
24,890
Nimejaribu kuomba msaada imeshindikana.

Mie nilikuwa sina mpenzi nikawa na mtu friend with benefits. Sasa nipo na chibabu nikasema ngoja nimwambie kuwa mie sio single tena.

Weeeh! Akawaka akadai yeye hajui hilo saivi yupo kama ananikomoa dah! Anaandika message za mapenzi, kero za hapa na pale nilishamwambia chibabu akawa mwelewa ilahii ni too much nikimblock anatumia namba nyingine.

Pleasee msaada, tofauti ya huyu jamaa sinaga mtu. It's like 4 years now tupo tu. Inaitwa kutoleana stress.

Msaada, what should I do?
 
Back
Top Bottom