msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Saidama

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada juu ya jambo hili la ajabu ambalo limetuchanganya kama familia

    Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, ni jambo lililotushtua kama familia kutokana na uajabu wake. Ipo hivi, siku ya juzi tar 19 majira ya saa sita kasoro usiku nikiwa nimelala fofofo, simu yangu ambayo ilikuwa kwenye 'vibration mode' ilikuwa ikiita. Wife kwakuwa alikuwa bado hajalala akawa...
  2. Reality of heaven

    JamiiForums Tanzania Nipo mkoani Mtwara naomba kujua upatikanaji wa mbuzi

    Habari wakuu? Mimi nipo mkoani Mtwara, nimefikiria kuanza biashara ya bucha ya mbuzi, changamoto ni upatikanaji wake! Na utaratibu wa kuanza hii biashara upoje! Naomba kwa mwenye uzoefu anisaidie! Namna ya kuwasafirisha, lakini vibali vyake, na mpaka kupata leseni! Naweza kuanza halafu...
  3. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Kufuatia ziara ya Rais Biden nchini Ukraine na kuahidi msaada zaidi wa silaha, Rais Putin anatarajia kutoa hotuba

    Putin has said, without providing any evidence, that in the west “even paedophilia is announced as a normal thing.” He says the west recognizes same sex marriage. He says “That’s fine. They’re adults. They have the right to live their lives. We are always very tolerant about this in Russia.”...
  4. Izy_Name

    JamiiForums Tanzania Msaada: Blog yangu inanipa ujumbe nisio uelewa

    Site ni mpya nimenunua domain name kutoka godaddy ndo mara ya kwanza naiweka google search console nakutana na huu ujumbe. Maelekezo ya Youtube nimeyafuatilia lakini hayafanyi kazi naitaji msaada.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada hapa kwa watu ambao wamewahi kukopa Bayport

    Nilichukua mkopo Bayport na nimekatwa almost 1.5milioni na nilikopa kama 2.2 milion. Saivi bado miaka minne kurejesha mkopo wote lakini sasa hivi nilitaka kulipa deni lote nashangaa kuambiwa natakiwa kulipa riba hata ya miaka minne ijayo , hivi huu utaratibu ndio ulivyo. Maana naambiwa...
  6. dongbei

    JamiiForums Tanzania Kama unafanya kazi Mahale Mountains National Park, naomba msaada

    Habari za Leo wakuu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Ni hivi, mimi ni mdau wa tafiti za viumbe waishio porini na mambo yote yanayoendana na mambo hayo. Kuna jambo la msingi sana ningependa kufafahamu kutoka eneo Hilo la hifadhi ya wanyamapori. Nimepitia mtandaoni sijapata...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi wakuu

    Habari za mida wakuu, niende moja kwa moja kwenye mada. Nahitaji kupata kazi yoyote ya kufanya itakayo nisadia kupata chochote kitu, yaani nipo tu kitaa, sina kazi. Pia hatakama una kazi yako unaweza nisaidia kwa kunifundisha pia, yaani mpaka sasa sina fani yoyote. Nina hali ngumu balaa. Mie...
  8. profesawaaganojipya

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kukagua gari used Tanzania kabla sijanunua

    Wadau nimejichanga kiasi fulani cha pesa, ingawa hakitoshi kuagiza gari used Japan lakini naweza nunua ya mkononi hapa Dar walau nitimize ndoto yangu ya kutembea nikiwa nimekaa. Naomba msaada vitu vya kukagua kwenye gari kujua kama nzima au nabambikwa, pia kama imewahi pata ajali au la...
  9. kekule benzene

    JamiiForums Tanzania Tunafanya kazi saa moja hadi saa saa 12, Kuna watu wanataka wagome

    Standard working hours
  10. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa Bwana Mdogo na Gari yake

    Anataka kubadili gearbox ATF. Automatic Trans. Fluid. Gari ni Toyota Rumion ya Mwaka 2008. Ya CC 1800 Anasema anahitaji ile yenyewe kabisa yenye ubora halisi. Haijalishi bei anataka kitu bora. Sasa aliniuliza.mimi sijawahi fikia hatua ya kubadilisha kwa gari nliyo nayo ambayo nayo ni CVT but...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: HP LaserJet 400 M401 PCL 6 memory low, hai print

    Inaleta onyo kuwa memory low, msaada please
  12. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada kutoka kwa mtu wa mamlaka za elimu

    Eti inaruhusiwa ukiwa na mtoto wa say form six sheria inaruhusu mtoto kusomea nyumbani kuja kufanya mtihai tu? Kuna mzazi anasema kwa vile shuleni hawafundishi, basi ameamua amtoe mtoto amtafutie tuition ataenda kufanya mtihani. Hii inawezekana? sheria inaruhusu?
  13. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nilipoteza risiti ya benki ya malipo ya ada. Naweza kupata kopi ili niwasilishe tena chuoni?

    Asalaam aleykum, na ijumaa kareem jamiya! Habarini, Kuna malipo nilifanya kwa chuo fulani kiasi cha shs 500,000/-mwaka jana may, utaratibu wangu ni kuwa baada ya kulipa nmb wakala, huipiga picha pay in slip na kuituma kwa muhusika naye hui print na kuiwakilisha chuoni na ndipo huruhusiwa...
  14. benzemah

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya Mama Samia ya msaada kisheria yazinduliwa

    Wizara ya Katiba na Sheria imezindua kampeni ya msaada wa kisheria kwa lengo la kutoa msaada wa kisheria nchi nzima kwa miaka mitatu. Kupitia katika kampeni hiyo wananchi wataelimishwa juu ya haki ya kulinda mila na desturi nchini, kupingana na mila potofu kutoka nje ya nchi na utoaji wa msaada...
  15. fundi bishoo

    JamiiForums Tanzania Kwa anayejua jinsi ya kulipia matangazo Instagram naomba msaada wako

    Habari naomba mtu anaejua jinsi ya kulipia matangazo instagram ili kuwafikia wateja au wahitaji wa huduma ninazotoa naomba anielekeze vizuri maana sina utaalamu mkubwa kihivo. Mwaka jana nilifungua account nikapromote tangazo na likawa limepata viewers wengi sana lakn jinsi ya kuwalipa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Je, mshitakiwa anaweza kuomba mahakamani ili kesi yake ihairishwe siku hiyo

    Naomba msaada wa kisheria. Ukiwa kama wewe ni mshitakiwa ambapo kesi yako imeshatajwa mara mbili na ulitokea ikahairishwa hadi muda mwengine ndo ianze kusikilizwa, ndani ya muda huo wewe hautakuwa na muda sababu ya jambo lako binafsi (sio lazima niliweke hadharan), ambalo haliwezi kukubaliwa na...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Mama Samia Legal Aid Campaign

    Katika kuunga Mkono jitihada za Rais Samia Suluhu kujenga Tanzania bora yenye ustawi, Wizara ya Katiba na Sheria imezindua kampeni ya Mama Samia ya msaada wa kisheria kwa lengo la kutoa msaada wa kisheria nchi nzima kwa miaka mitatu. Kampeni hiyo itaelimisha haki ya kulinda mila na desturi...
  18. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Msaada wa jinsi ya kutumiwa pesa na mtu akiwa nje kwa njia ya M-Pesa

    Nina ndugu yangu yuko Marekani anataka kunitumia pesa ila akituma iingie kwenye M-pesa yangu. Ameniambia wazi kuwa angetumia Western Union lakini makato yake ni makubwa. Naombeni msaada hasa nyie watu wa Vodacom hili litawezekanaje?
  19. Faana

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada Namna ya Kudownload Nyimbo Boomplay

    Mwenye ufahamu wa namna ya kudownload nyimbo toka boomplay anisaidie, natanguliza shukurani
  20. Jokia

    JamiiForums Tanzania Msaada Tafadhari: Tablet imezima ghafla, niiwashe vipi?

    Habari zenu wakuu! Kama kichwa cha habari kinavyosema, tablet yangu imezima ghafla tu haiwaki tena. Ni mpya kabisa imetumika kama wiki 2 tu. Ilizima yenyewe ikiwa katika matumizi ya kawaida na ilikua na chaji ya kutosha. Nimejaribu kuiwasha mara kadhaa lakini imeshindikana kabisa kuwaka. Je...
Back
Top Bottom