Nabii Mkuu Dkt. Geor Davie wa Ngurumo ya Upako ndio mtu maarufu kutoka Arusha toka tupate Uhuru

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,469
17,309
Ni wazi kwamba toka Tanzania ipate uhuru, Nabii Mkuu Mheshimiwa Dr Geor Davie wa Ngurumo ya Upako na Msemaji Mkuu wa Serikali na Ufalme wa Mungu hapa Duniani ndie mtu maarufu kuwahi kutokea katika mkoa wa Arusha.

Umaarufu na ushawishi wa Nabii Mkuu umefanya sasa hata wanasiasa wa mkoa wa Arusha kujaribu kumtumia kwenye shughuli zao za kisiasa ili angalau wasisahaulike mkoani Arusha.

Mbunge wa Arusha mjini Bw. Mrisho Gambo ni ushahidi tosha kufikia hatua kwamba sasa inamlazimu kila anapofanya mkutano wa kiasiasa amualike Nabii Mkuu kuzungumza na wananchi.

0A4832E0-EA8A-47A0-9E6E-188283D86C39.jpeg

=====

Kiongozi wa kanisa la Ngurumo ya upako la jijini Arusha akiwa ameambatana na mbunge wa Arusha mjini Mh. Mrisho Gambo ametoa msaada wa kiasi cha shilingi milioni 100 kwa wafanyabiashara wa soko la Samunge.

Akiongea na wafanyabiashara hao sokoni hapo amesema kati ya fedha hizo milioni 20 itumike katika ukarabati wa soko hilo yakiwemo mageti, na milioni 80 ni kwa ajili ya wafanyabiashara wenye mitaji midogo midogo sokoni hapo.

Nae Mbunge wa Arusha mjini Mh. Gambo amechangia kiasi cha sh. Milioni 10 na kufanya kiasi Che fedha kilichopokelewa sokoni hapo kufikia milioni milioni mia moja na Kumi.
 
Lowasa aliyetokea kupendwa na watu anatakoea iringa sio.
Moringe sokine aliyejizolea umaarufu kila kona anatokea njombe sio, huyo geo dev kafanya lipi kubwa kumzid gwaj aliyefufia wafu, au mwamkosa
Aliyewekeza kwao, huyo geo ana nn cha ziada
 
View attachment 2489391

Jamaa anataka kutimiza self actualization
Hii dunia inamaangaiko ukifanikiwa utatamani umaarufu na heshima ukivipata utataka kutawala yaani ni shida tu.
 
Lowasa aliyetokea kupendwa na watu anatakoea iringa sio.
Moringe sokine aliyejizolea umaarufu kila kona anatokea njombe sio, huyo geo dev kafanya lipi kubwa kumzid gwaj aliyefufia wafu, au mwamkosa
Aliyewekeza kwao, huyo geo ana nn cha ziada
Anachorwa tatoo na wake za watu.
 
Back
Top Bottom