msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi wakuu

    Habari za mida wakuu, niende moja kwa moja kwenye mada. Nahitaji kupata kazi yoyote ya kufanya itakayo nisadia kupata chochote kitu, yaani nipo tu kitaa, sina kazi. Pia hatakama una kazi yako unaweza nisaidia kwa kunifundisha pia, yaani mpaka sasa sina fani yoyote. Nina hali ngumu balaa. Mie...
  2. profesawaaganojipya

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kukagua gari used Tanzania kabla sijanunua

    Wadau nimejichanga kiasi fulani cha pesa, ingawa hakitoshi kuagiza gari used Japan lakini naweza nunua ya mkononi hapa Dar walau nitimize ndoto yangu ya kutembea nikiwa nimekaa. Naomba msaada vitu vya kukagua kwenye gari kujua kama nzima au nabambikwa, pia kama imewahi pata ajali au la...
  3. kekule benzene

    JamiiForums Tanzania Tunafanya kazi saa moja hadi saa saa 12, Kuna watu wanataka wagome

    Standard working hours
  4. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa Bwana Mdogo na Gari yake

    Anataka kubadili gearbox ATF. Automatic Trans. Fluid. Gari ni Toyota Rumion ya Mwaka 2008. Ya CC 1800 Anasema anahitaji ile yenyewe kabisa yenye ubora halisi. Haijalishi bei anataka kitu bora. Sasa aliniuliza.mimi sijawahi fikia hatua ya kubadilisha kwa gari nliyo nayo ambayo nayo ni CVT but...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: HP LaserJet 400 M401 PCL 6 memory low, hai print

    Inaleta onyo kuwa memory low, msaada please
  6. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada kutoka kwa mtu wa mamlaka za elimu

    Eti inaruhusiwa ukiwa na mtoto wa say form six sheria inaruhusu mtoto kusomea nyumbani kuja kufanya mtihai tu? Kuna mzazi anasema kwa vile shuleni hawafundishi, basi ameamua amtoe mtoto amtafutie tuition ataenda kufanya mtihani. Hii inawezekana? sheria inaruhusu?
  7. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nilipoteza risiti ya benki ya malipo ya ada. Naweza kupata kopi ili niwasilishe tena chuoni?

    Asalaam aleykum, na ijumaa kareem jamiya! Habarini, Kuna malipo nilifanya kwa chuo fulani kiasi cha shs 500,000/-mwaka jana may, utaratibu wangu ni kuwa baada ya kulipa nmb wakala, huipiga picha pay in slip na kuituma kwa muhusika naye hui print na kuiwakilisha chuoni na ndipo huruhusiwa...
  8. benzemah

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya Mama Samia ya msaada kisheria yazinduliwa

    Wizara ya Katiba na Sheria imezindua kampeni ya msaada wa kisheria kwa lengo la kutoa msaada wa kisheria nchi nzima kwa miaka mitatu. Kupitia katika kampeni hiyo wananchi wataelimishwa juu ya haki ya kulinda mila na desturi nchini, kupingana na mila potofu kutoka nje ya nchi na utoaji wa msaada...
  9. fundi bishoo

    JamiiForums Tanzania Kwa anayejua jinsi ya kulipia matangazo Instagram naomba msaada wako

    Habari naomba mtu anaejua jinsi ya kulipia matangazo instagram ili kuwafikia wateja au wahitaji wa huduma ninazotoa naomba anielekeze vizuri maana sina utaalamu mkubwa kihivo. Mwaka jana nilifungua account nikapromote tangazo na likawa limepata viewers wengi sana lakn jinsi ya kuwalipa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Je, mshitakiwa anaweza kuomba mahakamani ili kesi yake ihairishwe siku hiyo

    Naomba msaada wa kisheria. Ukiwa kama wewe ni mshitakiwa ambapo kesi yako imeshatajwa mara mbili na ulitokea ikahairishwa hadi muda mwengine ndo ianze kusikilizwa, ndani ya muda huo wewe hautakuwa na muda sababu ya jambo lako binafsi (sio lazima niliweke hadharan), ambalo haliwezi kukubaliwa na...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mama Samia Legal Aid Campaign

    Katika kuunga Mkono jitihada za Rais Samia Suluhu kujenga Tanzania bora yenye ustawi, Wizara ya Katiba na Sheria imezindua kampeni ya Mama Samia ya msaada wa kisheria kwa lengo la kutoa msaada wa kisheria nchi nzima kwa miaka mitatu. Kampeni hiyo itaelimisha haki ya kulinda mila na desturi...
  12. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Msaada wa jinsi ya kutumiwa pesa na mtu akiwa nje kwa njia ya M-Pesa

    Nina ndugu yangu yuko Marekani anataka kunitumia pesa ila akituma iingie kwenye M-pesa yangu. Ameniambia wazi kuwa angetumia Western Union lakini makato yake ni makubwa. Naombeni msaada hasa nyie watu wa Vodacom hili litawezekanaje?
  13. Faana

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada Namna ya Kudownload Nyimbo Boomplay

    Mwenye ufahamu wa namna ya kudownload nyimbo toka boomplay anisaidie, natanguliza shukurani
  14. Jokia

    JamiiForums Tanzania Msaada Tafadhari: Tablet imezima ghafla, niiwashe vipi?

    Habari zenu wakuu! Kama kichwa cha habari kinavyosema, tablet yangu imezima ghafla tu haiwaki tena. Ni mpya kabisa imetumika kama wiki 2 tu. Ilizima yenyewe ikiwa katika matumizi ya kawaida na ilikua na chaji ya kutosha. Nimejaribu kuiwasha mara kadhaa lakini imeshindikana kabisa kuwaka. Je...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi. Nimesomea IT

    Habarini ndugu zangu wana JamiiForum, poleni na majukumu ya kazi, Ndugu yenu nimekuja mbele yenu mnipokee na kunisaida, nina shida ya Kazi/Ajira, Iwe Serikalini au Sector Private nitashukuru sana. Nina umri wa miaka 29, Nina Degree ya Computer Security, nina uzoefu wa miaka 4 kwenye mambo ya...
  16. MKONGORO

    JamiiForums Tanzania Msaada natafuta motherboard ya Tv Panasonic

    Wakuu habarini za majukumu! Natafuta mother board ya hii Tv panasonic tafadhali naombeni msaada kwa mwenye kujua wapi naweza ipata 0683965391
  17. snowhite

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mmewezaje kupona maumivu ya kufiwa na mtu wa karibu?

    Wanajamvi, ninaomba msaada wa dhati kabisa. Mdogo wangu wa pekee alifariki mwaka jana. Tulizaliwa wawili tu, wazazi pia walishafariki. Baada ya wazazi kufariki, nilikuwa mama yake, alikuwa baba yangu. Fact kuwa familia hii nimebaki peke yangu, kila nikiwaza inanistrike vibaya mno! Sijui kama...
  18. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Raia wa Pakistan asiyejulikana anayeishi Marekani atoa msaada wa zaidi ya bilioni 60 kwa wahanga wa Tetemeko la Uturuki

    Wakuu haya ndiyo matendo makuu sasa, fanya mambo kisha unapotea. Mwanaume mmoja ametembelea ubalozi wa Uturuki nchini Marekani na kutoa msaada wa Dola za Kimarekani milioni 30 (zaidi ya bilion 60 za Kitanzani). Msaada huo ni kwa ajili ya huduma za kiutu kwa wahanga wa Tetemeko la Ardhi. Mtu...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Msaada gari yangu inaandika auto lamp inoperative!

    Gari ni Mercedes C200 Kompressor w204 inaandika autolamp function inoperative. Tatizo litakuwa ni nini?
  20. D

    JamiiForums Tanzania Simu inaita ila sijui iko wapi- msaada

    Habari wandugu, simu yangu sikumbuki niliiweka wapi jana(nilikuwa bize na mgonjwa) sasa bado inaita hadi sasa, nawezaje kuipata? maeneo nayafahau ila sijui exact place
Back
Top Bottom