msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lafacha

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ni software gani au program ambayo inaweza kufanya haya?

    Wakuu heshima yenu, nimekuja mbele yenu nikiwa na swali moja tu ni software gani ambayo inaweza ikanisaidia kuhifadhi taarifa za namna hii. Mfano: Taarifa za watoto waliozaliwa nchi nzima mwaka 2022, nakihitaji nizihifadhi ambapo mtu mwingine akija kwenye hiyo software baada ya kuhifadhi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Biashara ya Mashuka toka Uganda

    Habari za Mwaka mpya wana jamii. Kuna haya mashuka na blanket za kutoka Uganda. Nataka na mimi nifanye hii biashara. Ila nitafurahi kama nitapata muongozo na namna ya kuyapata toka Uganda. Kama kuna mtu ana uzoefu au connection naomba anishirikishe. Asante sana.
  3. Ulongupanjala

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kumpata huyu mwizi

    Juzi kuna rafiki yangu kutoka Urusi alifikia Chelsea Hotel iliyopo Lumumba street,Dar salaam. Alikutana na watu nje ya hoteli wakamshawishi kuwa watampa huduma ya usafiri wa kwenda airport siku inayofiata, siku ya juzi baada ya kuingia kwenye gari yao wakiwa wawili walivyoenda umbali kidogo...
  4. kindikinyer leborosier

    JamiiForums Tanzania Msaada nifanye nini niwe na amani?

    Assalam wanajamvi? Bila shaka mpo salama na mnaendelea vyema na majukumu! Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada, mimi ni mwajiriwa wa taasisi moja binafsi, mwaka jana nilipata changamoto mbaya sana inayonipelekea kukosa amani sana. Kazini mimi ni mchangamfu sina shida na mtu, na...
  5. shayrose

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kutibu Ovary Cyst

    Habarini za hapa wanajukwaaa Mimi ni mwanamke nnasumbuliwa na vijpu kwenye ovary, nmehangaika karibu miezi sita bila mafanikio Kibaya zaidi limeota lingine upande wa kulia wakat lile lingine nahangaika kulikausha ndo kwanza linazidi Naombeni ushauri niende wapi nmeshahangaika sana hospital na...
  6. Kamongo2

    JamiiForums Tanzania Mtoto wangu amemeza shilingi 200

    Kama ilivyo kwa title mtoto huyo ni miaka Saba ameimeza shilingi 200 tangia saa 12 jioni. Naomba msaada wa mawazo yenu Wana JF
  7. Kilangi masanja

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka wadau

    Mdogo wangu amekwama stend ya magu (Mbezi)akitokea bukoba anakuja Nachingwea .Gari nyingi zimemuacha na hajui afanye nini kwani anauhitaji wa kufika kusini leo hii na ni mgeni sana anaogopa kwenda kijichi (mfukoni pia kabakiwa na 40k). Mbadala wake nimemwambia abeti kwa tashrif ya kutoka...
  8. Ngamba

    JamiiForums Tanzania Material ya Sabuni Msaada

    Salaam Naomba Msaada wapi naweza para vifaa vifuatavyo napayikana mwanza. 1. Sodium laural Ether Sulphate(Ungarol) 2. Linear alky benzene sulphonic acid, 3. Coconut diethsnoline (C.D.E) 4. Sodium tripolyphosphate(S.T.P.P) 5. Caustic soda 6. Sodium benzoate 7. PerFumes...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nimekuja mbele yenu nina shida ya kazi yoyote ya halali

    Habari ndg wanajamii! Nimekuja mbele yenu nina shida ya kazi yoyote ya halali nipate kipato niweze kuendelea kumhudumia mama yangu ambae ni mgojwa miezi sasa tangu anze kuugua hospitalini nimezunguka sana kila wakipima wanasema hawaoni kitu chochote daktari akanishauri nimchukue mgonjwa...
  10. GIRITA

    JamiiForums Tanzania Msaada kufungua internet Banking Equity

    Habari wakuu, Naomba kusaidiwa kufungua online banking au Internet Banking kwa bank ya equity bank, kwa anaweza anisaidie.
  11. the galaxy a

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi au shughuli yoyote, nipo Dodoma

    Habari, Kama kichwa kinavyo sema hapo juu, mimi ni kijana nina miaka 26 elimu ya stashada ya maendeleo ya jamii kwetu ni mtwara kwasasa nipo Dodoma, Ujuzi nilio nao tofauti na elimu yangu: . Ujuzi wa computer hasa exel,word na publisher . Saluni ya kiume(kunyoa) . Kuandaa miradi, nipo hapa...
  12. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kimombo tutani

    Naomba msaada wa tafsiri ya haya maneno katika lugha adhimu ya kiswahili. "If you have financial obligations, how will you manage it."
  13. Mdau jf

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka: Nimevimba korodani

    Amani iwe nanyi, Naomba msaada ndugu zangu, ni miezi miwili sasa korodani yangu moja upande wa kulia ina kauvimbe kadogo kagumu kasiko na maumivu. Hii hali inanifikirisha sana Doctors naombeni msaada wenu.
  14. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Msaada wa namba ya simu: Waziri/Naibu wa elimu ama katibu wa wizara ya elimu

    Msaada wa namba ya simu: Waziri/Naibu wa elimu ama katibu wa wizara ya elimu Naomba kuwasilisha
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Malawi yaelemewa na kuomba msaada kukabiliana na Kipindupindu

    Uamuzi wa Serikali unafuatia kuendelea kusambaa kwa Ugonjwa huo hatari kwenye Wilaya 29 za Nchi hiyo na kuambukiza Watu 20,000 pamoja na kusababisha vifo takribani 700 Taarifa ya Serikali imeziomba Jamii, Kampuni na Mashiriki Binafsi kusaidia Vifaa Tiba, Uboreshaji Miundombinu ya Maji kwenye...
  16. Zeemadeit

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Mawazo: Hapa panafaa kujenga?

    Habari! Kuna eneo nmeoneshwa na rafiki angu bei nzuri kdogo. Sina uzoefu na ujenzi (sijawah kujenga). Baada ya kupaona kama sijaridhika napo japo bei ni nzuri . Nahofia kuna uwezekano pakawa panajaa maji. Wamenihakikishia kua hakuna kitu hicho ila najua tu ni lugha ya biashara. Picha hizo ila...
  17. Izy_Name

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kibenki tafadhali

    Niende moja kwa moja bila kuweka mbwembwe, Nina kadi ya CRDB Tembo Card Master, nimejaribu kuitumia kufanya manunuzi AliExpress imegoma naambiwa We don’t support this kind of card. Please try another. Kifupi wanamanisha aina hii ya card haitumiki AliExpress, swali langu ni je, naweza...
  18. sitaki hela

    JamiiForums Tanzania Msaada mwenye uelewa kuhusu kufungua akaunti benki

    Kuna rafki yangu anataka kufungua a/c kwenye bank yeyote NMB au CRDB ila Sasa hanakitambulisho chochote yaan Cha mpiga kura, Wala NiDA ,Sasa mtu huyo anaweza kufungua a/c?
  19. mtabe kila sekta 2009

    JamiiForums Tanzania Msaada kutoka kwa mwenye uelewa wa kozi hizi

    Habari wakuu nilikua naomba kujua kozi ya B. Com in Human Resources Management vs B.com in Marketing znahusiana na nini na ipi iliyo marketable kidogo? Naomba kuwasilisha.
  20. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ndoa yangu imepata miba

    Jamani kama wewe unahisi una shidaa sikiliza redio za dini wapendwa utamkumbuka Mungu kila siku. kuna mdada ameomba ndoa yake ina shida saana sana akaulizwa why akasema mume ni dreva. Akapata bibi akawa akija anaacha chakula anaga siku inayofata. Akashangaa sana hio hali mfululizoo, baddae...
Back
Top Bottom