Msaada tutani.Idadi ya wanafunzi walioshindwa kuendelea na sekondari inapatikanaje

HOPEfull

JF-Expert Member
Apr 8, 2021
1,722
2,073
Salamu na kazi iendelee.

Kichwa Cha habari kinasomeka.

Kwa lugha ambayo sio pendwa ni wale wanafunzi waliofeli.Nikitaka kujua idadi yao nafanyaje wapendwa.
Msaada wandugu.Msije mkasema nina NGO ya kuwapeleka hapana mahitaji kujua tu.

Takwimu za 22/23 itakuwa vizuri.

Nawasilisha.
 
Je walioshindwa kiendelea na shule serikali tu?
Kama ndio:
*Chukua idadi ya wanafunzi waliofanya mtihani toa na waliofaulu au chukua takwimu walioripoti mwaka huu ndio walioendelea waliobaki hawajaendelea.
Kama sio.
Unatakiwa uwasiliane na TAMISEMI au NBS watakupa kila utakacho.wadau wataongezea na kukupa muongozo.
Naomba kuwasilisha.
 
Ingekuwa vizuri pia Govt wangetutolea hizi takwimu tuone na sio kusoma matokeo tu.
 
Back
Top Bottom