Naomba kusaidiwa ku-upload document PCCB

Nengah99

New Member
Nov 14, 2020
1
1
Habari zenu wakuu na samahani nilikuwa naomba kujua kwa wale wanaofanya application kwa nafas za kazi pccb mimi kila nikiattach doc mfano kama cheti ile option ya kuapload haifany kaz hii imekaaje
086C9CB8-377D-4062-BE60-1C7B3ABBA1AE.jpeg
 
Back
Top Bottom