mradi

  1. U

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Ubeligiji Yaipatia Serikali Ya Tanzania Euro Milioni 4 Kwa Ajili ya Mradi wa Maji Mkoani Kigoma

    Fedha hizo zimetolewa na Serikali ya Ubelgiji kama nyongeza ya fedha zacawali zilizotolewa ambazo no Euro Milioni 8, hivyo kufanya jumla ya fedha zote kuwa Euro milioni 12 sawa na tshs 33 bilioni Malengo ya msaada huo ni kusambaza maji katika Wilaya zote 6 za Mkoa wa Kigoma Katibu Mkuu wa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Fursa Kwenye Mradi wa bomba la Mafuta - Hoima Kwenda Tanga

    Ndugu wadau.. Kutokana na fursa zilizopo kwenye ujenzi wa bomba la mafuta toka Hoima kwenda Tanga.. Naomba kupata uzoefu wenu kuweza kujua namna ya kuweza kushiriki kwenye hiyo keki.. Ninahusika na biashara za bima .... ambavyo najua kutakuwa na fursa mbalimbali za kushiriki kwenye mradi...
  3. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Mradi wa Machinjio ya kisasa ya ng’ombe yaliyopo katika kata ya Ndembezi, umekwama kukamilika

    Naibu waziri Katambi amefanya ziara katika Machinjio ya kisasa ya ng’ombe yaliyopo katika kata ya Ndembezi na kuonesha kutoridhishwa na ujenzi wa machinjio hayo yenye gharama ya Shilingi Bilioni 5.57 ulioanza mwaka 2018 ukitarajiwa kukamilika mwaka 2019 lakini mpaka leo hauoneshi dalili yoyote...
  4. Premij canoon

    JamiiForums Tanzania Nahitaji partner kwenye mradi wa ufugaji kuku wa nyama (broiler)

    Salaaams wanajukwaa, poleni na majukumu. Kama heading inavyojieleza, Nahitaji partner wakushirikiana nae kwenye mradi wa ufugaji kuku wa nyama ( BROILER ). Mabanda ni makubwa na ya kisasa, yenye uwezo wa kuingiza kuku (BROILER) 6000. Partner anahitajika aweke BROILER kuanzia 2000 kwa kuanzia...
  5. Marathon day

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi kwenye usaili Dodoma standard gauge

    Usaili mradi wa reli ya mwndo kasi ni shida, wanaofanya usaili na wako vizuri wanaondolewa na wanaingizwa wenye pesa na wanojulikana tu. Bila kujali mtu amekaa hapo zaidi ya wiki ametoka mbali ngarama zote mpaka vipimo juu yako halafu mtu anaambiwa amefeli arudi nyumbani, Serikali ingilieni...
  6. Kinumbo

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Mwendokasi Mbagala umekuwa kero kwa wananchi

    Moja kwa moja kwenye dhumuni la mada hii, huu mradi wa mwendo kasi kutoka Kariakoo mpaka Mbagala umekuwa kero sana. Si asubuhi, mchana ama usiku ni kero mtindo mmoja, kero yenyewe ni kujitokeza foleni. Yaani huu mradi umefanya iwepo kamba ya maana si mchezo. Hivi hiyo kampuni ama serikali haioni...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Bandari ya Bagamoyo: Hoja kuu kwa sasa iwe ni mkataba kuwekwa wazi na si kuanza au kutokuanza utekelezaji wake

    Watanzania kama tuko makini na tunajifunza kutokana na makosa, hoja yetu kuu kuhusu huu mradi kwa sasa inapaswa kuwa ni mkataba husika kuwekwa wazi kwa umma ili kwanza watanzania wajue kilichomo ndani ya mkataba husika kabla ya chochote kufanyika( kuendelea) kuhusu mradi huu. Uzoefiu...
  8. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Mradi wa umeme wa makaa ya mawe wa Kiwira wa 600 MW ulifia wapi?

    Kipindi cha JK kulikuwa na pilika pilika kuhusu huu mradi. NSSF walikuwa bize sana ili waukamilishe. Kwa enzi hizo, 600 MW ilikua kama nusu ya umeme wote tuliokuwa tunazalisha. Ikumbukwe kuwa umeme wa makaa bado unatumika sana duniani. Karibu asilimia 40 ya umeme duniani unatikana na makaa...
  9. MPUNGA MMOJA

    JamiiForums Tanzania Hakuna mkataba wa mradi wowote wananchi tumewahi kuhusishwa kuupitia. Huu wa Bandari ya Bagamoyo hawawezi kuuweka wazi

    Mjadala uliyoshika akili za watu kwa sasa ni faida na hasara za kuendelezwa kwa Ujenzi wa Mradi wa Bandari ya Bagamoyo. Maneno hofu imekua kubwa juu ya yaliyomo katika mkataba wa mradi huu wengi wakitaka UWAZI na USHIRIKISHWAJI kwa wananchi wauone mkataba. Taifa hili halina utaratibu huo...
  10. Mk54

    JamiiForums Tanzania Utata juu ya Mradi wa Bagamoyo

    1. Kifo cha JPM ni fumbo tata na kina maswali mengi kuliko majibu. 2. Baada ya kifo cha JPM, hata zile kelele za Corona this Corona that hatuzisikii tena, badala yake maisha yanaenda kama kawaida....kwa wenye kutafakari hii inatupa TAFSIRI kubwa sana. 3. Mradi wa Bagamoyo ambao...
  11. Lord Diplock MR

    JamiiForums Tanzania Namuunga mkono Spika Ndugai, ujenzi Bandari ya Bagamoyo uendelee

    Najua topic imepita, lakini ninajua kidogo kuhusu mradi wa Bandari ya Bagamoyo na napenda kumuunga mkono Mhe Spika kwa hoja zifuatazo. Na naamini Serikali yetu itazichukulia kama ushauri wa Mbunge kwa Serikali, ambao ndio wajibu wetu wa msingi kama Wabunge. Muhimu kujua background ya mradi wa...
  12. funaku

    JamiiForums Tanzania Kutoka Maktaba: Profesa Assad akisifia mradi wa Bwawa la Nyerere

    Mimi sitasema mengi ila asilimia 60 ya msio na uwezo mtasema.
  13. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG juu ya kutohuisha upembuzi yakinifu mradi wa JNHPP ni upotoshaji mkubwa, kuna uwezekano CAG anatumika kisiasa

    Ukiisoma kwa umakini ripoti ya CAG miradi ya maendeleo ukurasa wa 98 utagundua kuwa kuna upotoshaji mkubwa kuwa upembuzi yakinifu haukuhuishwa kabisa na hivyo data zinazotumika kutekeleza huu mradi ni za mwaka 1970 na mwaka 1980. Jambo ambalo sio kweli. Huu mradi unaosimamiwa na TANESCO kupitia...
  14. seedfarm

    JamiiForums Tanzania Prof. Mussa Assad: Nilipokuwa ofisini niliomba nyaraka za SGR, Air Tanzania na mradi wa Stiegler's Gorge lakini sikupewa hata moja

    Profesa Assad amefichua kuwa aliomba nyaraka za ununuzi wa ndege, reli ya SGR pamoja na Bandari ya Bagamoyo kwa kutumia technical reason lakini mkuu wa nchi wa wakati huo alikataa kuzitoa akawa anamtafutia sababu ya kumtoa ofisini. Prof Assad amesisitiza kuna muda watu wanavunja katiba waziwazi...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Mradi wa bandari ya Bagamoyo nani mkweli?

    Awamu zilizopita zilisaini mikataba mingi ikiwemo ya madini, gesi n.k Awamu ya tano nayo imesaini baadhi ya miakataba Lakini inapokuja swala la mradi wa bandari ya Bagamoyo Awamu ya 5 walituambia mradi haufai lakini tumesikia tukiambiwa walishauriwa vibaya Swali ni je, kwa uzoefu wetu katika...
  16. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijapata kuona wanafiki kama Watz, haya huyu muingine (aliyekua timu misifa) aibuka na kuponda mradi wa ufuaji umeme wa Stiegler

    Mojawapo wa vitu nilivyoshuhudia sana kwa Watanzania, huwa wana unafiki uliopitiliza, yaani jamaa huongea kistaarabu na wanaweza wakakakusifia mpaka ufurahi sana ila subiri uondoke, utasemwa mpaka basi. Watakuita mkuu, wataongea na wewe kwa furaha mpaka uone kama vile uko bingu nyingine...
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Tusiukubali mradi wa Wachina wa Bandari ya Bagamoyo kwa sababu zozote zile. Utakuwa ni mtego utakaotunasa kama nchi

    Tuna sababu moja kubwa ya kuukata Mradi wa Wachina wa Bandari ya Bagamoyo nayo ni historia mbaya ya China kona mbalimbali za dunia walipotekeleza miradi ya aina hii au walipozikopesha nchi mikopo mikubwa ya miondombinu. Wamechukua bandari Sri Lanka, Pakistan, Australia na Djibouti kupitia...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Kuna mradi hata mmoja wa Hayati Magufuli uliowahi kuwekwa wazi kwa umma ili tumtofautishe na watangulizi wake?

    Naomba kama kuna mwenye jibu anipatie ii na mimi niweze kuwa huru kumsifu na kumpongeza shujaa wetu huyu na niweze kumtofautisha na wale wengine waliotupa matumaini ya uchumi wa gesi mwaka 2015 na tukawa tunashangilia mithili ya "mazuzu". Sio kama miradi yake yote siiungi mkono,bali ningetamani...
  19. G Sam

    JamiiForums Tanzania Nasimama kuhesabiwa: Hakuna mradi hata mmoja wa hayati Magufuli niliouunga mkono na hoja nilizotoa ndizo za leo

    Ndiyo nilikuwa mkweli na hoja zangu zilikuwa za moto hadi wenzangu wakahisi kuwa nina chuki binafsi na Rais hayati Magufuli. Mwaka 2016 mapema mwezi wa nne nilimshauri ajiuzulu na nikajenga hoja. Nilishambuliwa sana hadi uzi ukatupwa kapuni. Nilimuonya kuwa hatokuwa na ushawishi wowote ule...
  20. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Profesa Muhongo huna credibility ya kuwashauri watanzania kuachana na mradi wa JNHPP na usidanganye watu kuwa Hydro power zimepitwa na wakati

    Kwa hiyo wewe profesa ulietetea wizi wa fedha za Escrow kwa nguvu nyingi mpaka ukatukana watu ni matumbili leo hii unapata wapi ujasiri wa kutuambia watanzania kuwa umeme maji unachelewa kuanza kuzaa faida na umepitwa na wakati? Kwa hiyo huko Usa na China ambazo ni nchi zilizoendelea kwa kila...
Back
Top Bottom