Ripoti ya CAG juu ya kutohuisha upembuzi yakinifu mradi wa JNHPP ni upotoshaji mkubwa, kuna uwezekano CAG anatumika kisiasa

Chagu wa Malunde

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
8,708
5,711
Ukiisoma kwa umakini ripoti ya CAG miradi ya maendeleo ukurasa wa 98 utagundua kuwa kuna upotoshaji mkubwa kuwa upembuzi yakinifu haukuhuishwa kabisa na hivyo data zinazotumika kutekeleza huu mradi ni za mwaka 1970 na mwaka 1980. Jambo ambalo sio kweli.

Huu mradi unaosimamiwa na TANESCO kupitia kitengo chake cha ushauri wa kihandisi una umuhimu kwa taifa letu.

Ni kweli upembuzi yakinifu ulifanyika mwaka 1970 na ule wa utalaamu wa kiufundi ulifanyika mwaka 1980. Kampuni ya Ms Norconsult na M s Norplan zote za Norway.

Lakini taarifa aliyotoa CAG kuwa upembuzi yakinifu haukuhuishwa na sasa watu wanajua ule wa mwaka 1970 na 1980 unatumika sio kweli.

Kwa mujibu wa ripoti ya CAG huu mradi unatakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia sheria ya umeme ya mwaka 2008, sheria usimamizi vyanzo vya maji ya mwaka 2009 na sheria ya mazingira ya mwaka 2004. Hivyo kuutekeleza bila kuhuisha upembuzi yakinifu ilikuwa ni vigumu.

Kwa uharaka wa mradi wenyewe vipengere muhimu vya upembuzi yakinifu kama, tathimini ya mazingira,usanifu wa kiufundi,utafiti wa kitaamamu na ufanisi wa miamba ulihuishwa. Hivyo vipengere vingine kama umuhimu wa kiuchumi na uwezo wa kutekelezeka vilibaki kama awali sababu ni mambo ambayo yanaonekana kuwa yapo vilevile. Hii ipo ukurasa wa 98 wa ripoti ya CAG miradi ya mendeleo.

Kwa mantiki hii hivi inaingia akilini kuwa watalaamu wa CAG mlienda kufanya ukaguzi na kudai kuwa kwa sababu upembuzi yakinifu wote haukuhuishwa kwa vipengele vyote hivyo huu mradi hauwezi kutekelezeka?

Yaani kwa akili ya kawaida mnataka kampuni ipewe kazi ya kufanya feasibility study kujua kama maji yatatosha kuzalisha umeme mto rufiji? Kwamba huu mradi una umuhimu gani kwa uchumi wa taifa letu?

Hata kama ni fitina za kisiasa muwe na aibu.
 
Yaani kwa mara ya kwanza nasikia watu wanatilia mashaka ripoti ya CAG. Hicho ni kipimo cha jinsi watu walivyoshiba Propaganda za Magu.

Kama haya yangetolewa na Assad, ningesema pengine, maana Assad na Magu hazikuiva. Lakini huyu mteule wa Magu? Aahh hapo mmezidi. Kubalini ukweli kwamba Magu alikuwa binadamu tu wa kawaida na alichemsha big time
 
Kasome ripoti ya CAG miradi ya mendeleo ukurasa wa 98.
 
Niulize tu, hivi mbona hatusomi chochote kuhusu report ya CAG kutoka ofisi mbili, ofisi ya makamu wa raisi na ofisi ya waziri wa fedha?

Kwamba ofiri aliyokuwepo SSH ilikuwa safi au ofisi aliyokuwepo mpango ilikuwa safi? Nchi ngumu sana hii.
 
hayo manunuzi ya ndege na utekelezaji wa fedha za miradi ya maendeleo na ya kimkakati yanahusisha wizara ya kilimo na umwagiliaji sio?!...
 
Ukiisoma kwa umakini ripoti ya CAG miradi ya maendeleo ukurasa wa 98 utagundua kuwa kuna upotoshaji mkubwa kuwa upembuzi yakinifu haukuhuishwakabisa na hivyo data zinazotumika kutekeleza huu mradi ni za mwaka 1970 na mwaka 1980. Jambo ambalo sio kweli.

Huu mradi unaosimamiwa na TANESCO kupitia kitengo chake cha ushauri wa kihandisi una umuhimu kwa taifa letu.

Ni kweli upembuzi yakinifu ulifanyika mwaka 1970 na ule wa utalaamu wa kiufundi ulifanyika mwaka 1980. Kampuni ya Ms Norconsult na M s Norplan zote za Norway.

Lakini taarifa aliyotoa CAG kuwa upembuzi yakinifu haukuhuishwa na sasa watu wanajua ule wa mwaka 1970 na 1980 unatumika sio kweli.

Kwa mujibu wa ripoti ya CAG huu mradi unatakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia sheria ya umeme ya mwaka 2008, sheria usimamizi vyanzo vya maji ya mwaka 2009 na sheria ya mazingira ya mwaka 2004. Hivyo kuutekeleza bila kuhuisha upembuzi yakinifu ilikuwa ni vigumu.

Kwa uharaka wa mradi wenyewe vipengere muhimu vya upembuzi yakinifu kama, tathimini ya mazingira,usanifu wa kiufundi,utafiti wa kitaamamu na ufanisi wa miamba ulihuishwa. Hivyo vipengere vingine kama umuhimu wa kiuchumi na uwezo wa kutekelezeka vilibaki kama awali sababu ni mambo ambayo yanaonekana kuwa yapo vilevile. Hii ipo ukurasa wa 98 wa ripoti ya CAG miradi ya mendeleo.

Kwa mantiki hii hivi inaingia akilini kuwa watalaamu wa CAG mlienda kufanya ukaguzi na kudai kuwa kwa sababu upembuzi yakinifu wote haukuhuishwa kwa vipengele vyote hivyo huu mradi hauwezi kutekelezeka?

Yaani kwa akili ya kawaida mnataka kampuni ipewe kazi ya kufanya feasibility study kujua kama maji yatatosha kuzalisha umeme mto rufiji? Kwamba huu mradi una umuhimu gani kwa uchumi wa taifa letu?

Hata kama ni fitina za kisiasa muwe na aibu.
Si useme huo utafiti mpya ulifanywa na kampuni gani na mwaka upi?
 
Kazi ya kuhuisha baadhi ya vipengele ilifanywa na kampuni gani na mwaka gani? Tupe hizo taarifa kama ulizisoma mkuu, kama ni kweli tujue CAG anatumika kisiasa kama hauna basi unatumika kueneza propaganda za kisiasa ili kumchafua CAG
 
akikijib nitag
 
Kati ya CAG na wewe nani alituma watu kwenda kufanya ukaguzi wa huo mradi? Lete data zako za kweli ulizoenda kufanya ukaguzi ambazo hazina upotoshaji
 
Kazi ya kuhuisha baadhi ya vipengele ilifanywa na kampuni gani na mwaka gani? Tupe hizo taarifa kama ulizisoma mkuu, kama ni kweli tujue CAG anatumika kisiasa kama hauna basi unatumika kueneza propaganda za kisiasa ili kumchafua CAG
Screenshot_20210411-002240.png

Soma vizuri ukurasa wa 98 ripoti ya CAG majibu mazuri aliyopewa CAG.
 
Huo mradi wa Bwawa la Nyerere unapingwa na vigogo wa awamu ya nne sababu kuu wana hisa kwenye gesi ya mtwara wanataka kuuza gesi yao kwa Tanesco na pia wana hisa kwenye mikampuni yenye mitambi ya umeme ya IPTL Dowans nk hawataki tujitegemee kwenye umeme watupige kwa kutuuzia wa mitamvo yao.Hizi kelele zote ni za mijizi na mifisadi ya serikari ya awamu ya nne imeona akaunti zao waluzoficha uswisi salio haliongezeki linapungua tu kila siku.Ndio maana u akuta wameshupalia hilo na bandari ya bagamoyo

Mama Samia akae sawa hawa watu ni mafia hawana woga wala aibu wala woga wala huruma kwa watanzania walio wengi na wako tayai kwa lolote kutimiza agenda zao akae nao mbali
 
CCM inapasuka vipande vipande.

Ukifuatilia malumbano huku mitandaoni utadhani ni kati ya chama tawala na upinzani, asilimia kubwa ni ccm wenyewe kwa wenyewe.

Upinzani wangekuwa smart wakatumia huu mwanya, 2025 wangechukua nchi.
 
Back
Top Bottom