Rais John Magufuli akizindua mradi wa maji ulioko Kagongwa, Isaka - Kahama
Mradi umegharimu takriban Tsh bilioni 23.157 fedha ambazo zimetolewa na serikali ya Tanzania. Matenki yanajaza lita milioni 1.6
Serikali ilitoa tsh. 24 mkandarasi alitumia Tsh bilioni 23.157
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC) kwa Kushirikiana na Taasisi ya Sekta Binafsi (TPSF) inapenda kuwaalika wafanyabiashara, watoa huduma, wakandarasi, wasafirishaji wa mizigo na wadau wote katika Kongamano la wadau utakaofanyika jijini Mwanza katika...
Timu ya Watalaamu wa Serikali imefika na kufanya ukaguzi wa kwanza katika maporomoko ya mto Ruhudji katika kijiji cha Itipula mkoani Njombe ambao unatarajiwa kujengwa mradi mkubwa wa umeme utakaozalisha megawats 358 za umeme.
Mradi huo ambao utajengwa katika kipindi cha miezi 36 unaotarajiwa...
Naona Mabeberu yameingia kazini tena.
Kampuni ya Montero imeazimia kuishitaki serikali ya Tanzania ikikusudia kudai fidia kutokana na kupoteza mradi wake wa utafiti wa madini wa Wigu Hill uliotokana na mabadiliko ya sheria ya madini ya mwaka 2010 iliyofuta baadhi ya leseni zilizokuwa zikitolewa...
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amewataka watendaji wanaosimamia ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Songwe kufanya kazi kwa weledi na kuzingatia taratibu za mawasiliano zilizopo serikalini
Amewataka watendaji hao kutoa taarifa za maendeleo ya ujenzi wa mradi huo katika mamlaka...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe, Selemani Jafo amesema ndani ya miaka mitatu ijayo matamanio yake ni kuona Halmashauri zinajitegemea zenyewe kupitia mapato ya ndani na kwamba ifike muda ziwe zinalipa watumishi wake mishahara.
“Nikiangalia hoteli...
Serikali imevunja mkataba na Mkandarasi aliyekuwa akitekeleza mradi mkubwa wa maji wa Same, Mwanga na korogwe, kutokana na kushindwa kuukamilisha kwa wakati.
Mradi huo ambao umegharimu zaidi ya Sh bilioni 262, ulipaswa kukamilika Mwaka 2017 na kuhudumia jumla ya wananchi 438,000.
Waziri wa...
Habari wakuu.
Wazo la mradi wa biashara ya matangazo.
Wazo linahusiana na kufungua kampuni itakayokuwa inatoa huduma ya kufanya matangazo ya kibiashara katika mfumo wa kidigitali (digital Marketing agency),katika mfumo na mtindo ambao Tanzania haujafanyika bado,kwa nchi nyingine tayari...
Wasalaam wana jamvi.
Bila shaka kila Mtanzania aliyepata wasaha wa kupita jangwani atakubaliana nami na Watanzania wengine kuwa Jangwani kunahitaji suluhu nyingine na si kila leo kutoa mchanga na kuchimba mitaro kwa sababu hivyo vyote havijawahi kuwa suluhu kabisa pale Jangwani kwani kila leo...
Nimesikia Mkoa wa Kagera umezawadiwa kuhusu utekelezaji wa mradi wa anwani za makazi mwaka huu nikapata hamasa kutoa maoni yangu kuhusu umuhimu wa kukamilisha mradi huu nchi nzima kwa haraka iwezekanavyo ili kuchochea ukuaji wa uchumi.
Mradi huu unaonekana kwenye macho ya wananchi kama ni kitu...
Habari mkuu.
Leo napenda share nanyi mradi simple niliouanzisha mwezi September 2020 na hadi November hii inaanza umeonesha mafanikio endelevu nikipitia hatua 3 muhimu.
Hatua 3 muhimu nilizopitia ni :
1. Nilijiuliza wateja wangu ninaowalenga ni akina nani?
Nikaona ni wanawake walioathirika...
Drone Online Ads tumekuwa kwa muda mrefu tukiwasaidia watanzania mbinu tofauti na ushauri bure wa namna ya kujenga nyumba bora kwa kutumia gharama nafuu. Hii inatokana na uzofu wetu katika ujenzi, timu ya wataalam wa kutosha wanaoshirikiana sambamba na uwezo wa kupata materials ya ujenzi kutoka...
Kenya kwa mara nyingine tena wamekwenda kulialia kwa IMF kuomba msaada wa bajeti (loan) ili wapambane na madhira ya COVID-19.
Ikimbukwe kwamba hawa viongozi walipokea jumla ya US$ 739,000,000 mwezi wa tano tu mwaka huu
Na kuonyesha msisitizo, Rais Kenyatta ametangaza night curfew upya na...
Kikatiba, ni haki ya mpiga kura kuchagua Mbunge au muwakilishi anayeona anafaa.
Kanuni na maadili ya Uchaguzi yanakataza kutisha, kutoa rushwa au ahadi za vitu kwa upendeleo .
Maji ni hitaji la lazima kwa mtu achilia mbali viumbe hai wengine.
Fedha za miradi zinatokana na kodi inayolipwa na...
Nimemsikia Mhe. Rais akisema barabara ya Namanga hadi Tengeru ni barabara iliyojengwa kwa usumbufu wa RC Arusha, nikipitia kwenye website na maandiko mbalimbali yanaonyesha ile ni barabara ya Afrika Mashariki na mipango yake ya ujenzi imeanza miaka mingi nyuma, aidha inaelezwa hiyo barabara...
Miradi mingi ya maendeleo ya Tanzania kwa miaka mingi inatokana na mikopo pamoja na ufadhili. Kinachopewa ufadhili au mkopo siyo chama Cha siasa bali ni nchi, kwa muktadha huo hakuna chama Cha siasa ambacho hakina uwezo wakuongoza nchi.
Katika kuongoza nchi kinachotakiwa nikuimarisha uaminifu...
Kwanza napenda kumshukuru aliyekuwa Meya wa Dsm Isaya Mwita kwa kutolea ufafanuzi namna miradi wa ujenzi wa stendi mpya Mbezi ulivyoratibiwa.
Mwita amekubaliana na Rais Magufuli kwamba thamani ya mradi ni sh 51 bilioni na kwamba hadi yeye anaondolewa ofisini kulikuwa hakuna ongezeko lolote...
Hata kama huna gari, huna hela na hata ukipata hela kuna baadhi ya magari yamekaa na sura/muonekano sio rafiki, hayakushawishi, yataje.
Mimi binafsi sijawahi kumiliki gari ila ukinipa lift kwenye VX, Noah na vigari flani vipo hasa hasa vipo Njombe wanavifanyia biashara ya tax sijui vinaitwaje...
Zifuatazo ni hatua 9 za kufuata ili kupata cheti cha tathmini ya athari za mazingira kwenye mradi wako;-
1. Usajili (Registration)
Sajili mradi wako kwa kujaza fomu maalum ya maombi ya usajili kwenda baraza la taifa la hifadhi na usimamizi wa mazingira (NEMC). Gharama yake ni 70,000/=.Kwa siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.