CAG atupe hasara ya kutotekelezwa kwa mradi wa umeme kwa miaka 50

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,052
28,239
Iwapo maamuzi ya kujenga mradi wa umeme wa rufiji yalifikiwa miaka ya 70 ningependa kujua ni hasara kiasi gani nchi imepata kwa kutotekeleza mradi huu.

Yaani kwa miaka takribani 50 CAG atueleze tumenunua umeme wa mitambo ya mafuta kwa Tsh ngapi?

Je, tumeshindwa kuendeleza uchumi kwa kiasi gani kutokana na uhaba wa umeme?

#VIVAJPM
 
Hahahaha ni sawa na kumuuliza baba yako ni hasara kiasi gani alipata kwa miaka ya nyuma ambayo wewe alikua hajakuzaa.

Hivi kosa la SIEJII ni nini?
Tuna-analyse kuanzia miaka ya 70 mkuu
 
Kwa mantiki hiyo unataka atueleze na hasara tulizopata Kwa kutokua na mradi wa umeme wa upepo makambako pamoja na singida.
Sidhani kama ni sahihi
ni sahihi sana mkuu kwa kuwa tumeambiwa upembuzi wa mradi ni wa miaka ya 70.
 
Brother this is too low for you. Hilo si la CAG kwasasa kwa majukumu yake bali linahitaji special task force
 
Back
Top Bottom