mradi

  1. chiembe

    JamiiForums Tanzania MATAGA tunaomba radhi kwa kupotosha watanzania kuhusu mradi wa Bandari ya Bagamoyo, ni mradi safi kabisa

    Tunaomba radhi, tulipotoshwa na watu wenye chuki zao kwa sababu za kisiasa. Kenya wamemaliza Lamu, sisi bado, tinaomba radhi sana maana tulifanya haya mambo kwa kulipwa matokeo yake tukakwamisha nchi. Tunaomba radhi kwa Mama Samia, watanzania wote pia #matege Code-SSH-2025
  2. CCM Music

    JamiiForums Tanzania Machozi yamenitoka kusikia Bandari ya Bagamoyo itajengwa, tena na Wachina

    Wazee tumekwisha rasmi. End of the game. Bado ardhi tu, tubaki kuwa watumwa ndani ya nchi yetu wenyewe. China inalalamikiwa kote Duniani Kwa kufanya miradi inayowaumiza wazawa, sasa zamu yetu imefika rasmi. Walau kwa hili, Magufuli tutamkumbuka mno. Hii bandari ina maslahi makubwa sana kwa...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Bandari Bagamoyo bila uwazi wa ubovu wa mkataba, ni usaliti wa Bandari zilizopo

    Tunataka Miradi mingi katika taifa letu, Lakini tunataka miradi ambayo kiukweli italeta ukombozi wa maisha ya wananchi Mradi wa Bandari ya Bagamoyo, ni mradi mkubwa na unaumhimu wake, Lakini kwa nini usiwe wazi? kwa nini tunadhani JPM pamoja na aliyekuwa mgombea Uraisi kupitia Chadema 2015 mh...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa Bunge ni upi kuhusu mradi wa Bandari ya Bagamoyo?

    Nawasalimu kwa jina la JMT. Je, msimamo wa bunge kuhusu mradi mkubwa wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ni upi? Nawatakia Dominica yenye baraka!
  5. Abdul Nondo

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Zitto Kabwe, Rais Samia sasa kuendeleza mradi wa Bandari ya Bagamoyo

    Mei 2019 , Serikali ilisitisha mradi mkubwa wa Bagamoyo SEZ , Kiongozi wa chama Zitto Zuberi Kabwe aliandika makala akionesha umuhimu wa mradi huu na namna serikali ya awamu ya tano namna ambavyo haikuwa na uwelewa wa mradi huu na umuhimu wake kutokana na hoja zao za kipropaganda kwamba China...
  6. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan: Serikali kufanya mazungumzo kuendeleza mradi wa bandari ya Bagamoyo

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa serikali ipo katika mazungumzo ili kuweza kuendeleza mradi wa bandari ya Bagamoyo. Hayo ameyasema leo Tarehe 26, 06. 2021 wakati wa hotuba yake katika mkutano wa 12 wa baraza la biashara. Rais Samia amesema pia hiyo itakwenda sambamba na mradi wa Mchumchuma...
  7. Sam Gidori

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya yaburuzwa mahakamani kwa kukosekana uwazi mradi wa SGR

    Asasi ya Kiraia ya Okoa Mombasa ikishirikiana na Taasisi ya Uwajibikaji wa Kijamii (TISA) wameiburuza Serikali ya Kenya mahakamani kudai kuwekwa wazi kwa mikataba ya ujenzi wa Reli ya Kisasa ya Mombasa - Nairobi ya Standard Gauge Railway (SGR). Mashirika hayo mawili yanadai serikali iweke wazi...
  8. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya hii ni aibu, mnajengewa hadi vyoo na wazungu?

    Hii pengine inafanyika hata Tanzania sema sijswahi kuiona, nikiiona nitaisema Hii ni aibu wakuu, hii sio miradi ya kufadhiliwa na wazungu, tutazidi kudharaulika Mradi kama huu wananchi wanachangishwa tu fedha kidogo na unajengwa
  9. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa mradi wa barabara nane Kimara-Kibaha umekwama kwa sababu serikali haina pesa ya kumlipa mkandarasi?!

    Ukweli ni kwamba huo mradi umekwama na hauendelei tena kwa kasi ile ya kipindi cha JPM. Mkandarasi inasemekana hajalipwa pamoja na kupeleka certificate karibia tatu za kuomba alipwe na halipwi! Ukweli na usemwe makusanyo ya kodi yamepungua maradufu ndiyo maana malipo ya miradi mingi imekwama.
  10. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa Sabaya: Mwenge wakataa mradi aliosimamia, Mabaunsa wake walikuwa Wajumbe wa Kamati

    Kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa, Luteni Josephine Mwambashi amekataa kuweka Jiwe la Msingi kwenye Kituo cha Afya kilichopo wilayani Hai kwa madai kuwa ujenzi wa kituo hicho umegubikwa na rushwa. Awali katika hotuba ya ufunguzi ilielezwa kwamba aliyekua mkuu wa wilaya hiyo Lengai Ole Sabaya...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Anthony Mavunde aiomba Wizara ya Nishati kutoa matangazo ya fursa katika ujenzi wa Bomba la Mafuta-Hoima

    Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mhe. Antony Mavunde amempongeza Mhe. Rais Mama Samia Suluhu Hassan kwa jitihada kubwa za kuharakisha utiaji saini wa Mkataba wa ujenzi wa Bomba la Mafuta la Hoima - Tanga. Maana Mradi huo utatoa ajira zaidi ya elfu kumi na tano (15,000) kwa Watanzania. Hivyo...
  12. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kufuga wamachinga mijini ni sawa na mradi wa kutengeneza mabomu

    Iko siku hao tunaowaita machinga watakuja kulikataa hilo jina Na kudai wapewe jina lingine Na wanasiasa. Sasa hivi neno wamachinga linatumika fuko kuukuu kubwa la kuwafichia vijana wasiokuwa Na ajira, wasiokuwa Na pembejeo za kilimo, wasiokuwa na zana za kuvulia wala maeneo ya kuchungia Mifugo...
  13. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Si kosa la jinai kusafiri na pesa ili mradi tu zisidi USD10,000

    Unaposafiri na kiwango kikubwa cha pesa ni lazima uwe na ushahidi wa chanzo cha pesa hiyo. Usisahau kuchukua pay slip au salary slip. Kwa usalama zaidi wengine wanachukua na copy ya mkataba wa ajira. Kuna wanaosafiri na USA$ 4,000 -5,000 si ajabu ni watu wamekupa uzifikishe nyumbani. Wengine...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yakopa Dola Milioni 140 kujenga mradi wa kufua umeme wa Mto Malagarasi

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesaini mkataba wa mkopo wa dola za Marekani Milioni 140 (Tshs Bilioni 323) kutoka Benki ya maendeleo ya Afrika (AFDB) kwa ajili ya kugharamia Mradi wa ujenzi wa kufua umeme wa Mto Malagalasi Mkoani Kigoma. Mkataba huo wa mkopo umesainiwa na Katibu...
  15. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Vitambulisho vya machinga ulikuwa mradi wa nani? Kwanini ile hela haikukusanywa na TRA?

    Za asubuhi wadau, Uongozi wa hayati ulikua na mambo mengi yenye ukakasi. Mojawapo ni hili la kuwauzia wamachinga kitambulisho kisicho na utambulisho wowote wa anaye kimiliki. Manaake kitambulisho kingeweza kudondoka na kikaokotwa na kutumiwa na mtu mwingine. La kushangaza zaidi malipo ya hivi...
  16. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Mradi wa SGR Mwanza- Isaka

  17. Spiritual Man

    JamiiForums Tanzania TANESCO mtusaidie kijiji hiki wasimamizi mradi wa REA wanatuibia sana

    Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Nikiwa kama muwakilishi wa wanakijiji wenzangu wenye uchungu,majonzi na masikitiko.Moja kwa moja nafikisha malalamiko kwenu shirika letu la umeme Tanzania TANESCO juu ya RUSHWA kubwa iliyotawala katika usimamizi wa mradi wa umeme wa rea...
  18. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ataenda tena kujitambulisha wapi? Sijasikia akizindua hata mradi mmoja

    Akiwa nchini Kenya, Rais Samia alieleza kuwa nia ya kuizuru Kenya mapema sana ilikuwa kujitambulisha kwa majirani kwa kuwa alikuwa "mpangaji mpya"! Leo akizungumza na wanaoitwa "wazee wa Dar es Salaam" amekariri tena ya kuwa ataendelea kuzuru nchi mbalimbali akitoa sababu ileile ya...
  19. MTV MBONGO

    JamiiForums Tanzania Kwanini kila MRADI mkubwa wa barabara anayesimamia/anayejenga ni Mchina au raia wa Kigeni? Kweli Wabongo hatuwezi?

    Nimejiuliza Sana. Kila barabara zinazojengwa sasa, hukosi WACHINA au raia wengine wa Kigeni, ni kweli tuko hoi kiasi Hicho?
  20. C

    JamiiForums Tanzania Mabeberu, Vibaraka wa Mabeberu, Wazalendo wa Hayati Magufuli, na Mradi wa Bandari ya Bagamoyo

    UTANGULIZI Amini usiamini, wale wale ambao wamekuwa wakijivika uzalendo, linapokuja suala la Mradi wa Bandari ya Bagamoyo, ndiyo hao hao wanaotumikia Mabeberu bila wao kujijua! Nitajadili mada hii katika sehemu mbili:- Kwanini wale wanaoitwa Mabeberu hawawezi kuwa tayari kuona miradi kama ya...
Back
Top Bottom