Nasimama kuhesabiwa: Hakuna mradi hata mmoja wa hayati Magufuli niliouunga mkono na hoja nilizotoa ndizo za leo

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,555
35,880
Ndiyo nilikuwa mkweli na hoja zangu zilikuwa za moto hadi wenzangu wakahisi kuwa nina chuki binafsi na Rais hayati Magufuli.

Mwaka 2016 mapema mwezi wa nne nilimshauri ajiuzulu na nikajenga hoja. Nilishambuliwa sana hadi uzi ukatupwa kapuni. Nilimuonya kuwa hatokuwa na ushawishi wowote ule kimataifa. Labda kitaifa kwa kuwa atafanikiwa kudanganya na kuziba watu midomo. Leo iko wapi?

Niliupinga mradi wa Stiglers na nikasikitishwa na kukatwa kwa miti zaidi ya milioni tatu huku tukijua kuwa chanzo cha maji yale ni miti. Nikaonya kuwa Stiglers haitokaa izalishe megawati 2000 zinazotajwa na kuwa tulikuwa tunadanganywa. Napo nikanangwa.

Nikaja kwenye fly overs na nikafikia kusema kuwa siku nikiwa Rais nazivunja vunja. Niliziita fly overs uchwara!

Daraja la Salenda hadi nikaonya kuwa lilileta ugomvi kati yake na Ombeni hadi akafukuzwa. Daraja la kule Kigongo ndiyo uwiiiii! Yani sitaki hata kukumbuka.

Nikaonya ule mreli wa gharama kubwa upo kwa ajili ya nani? Napo nikabezwa na kubagazwa! Nikalia juu ya kuvunjwa kwa jengo la Tanesco pale Ubungo nikaitwa mpiga dili aliyetupwa sasa analia lia!

Nilitukanwa, nikabezwa na ilipofika baada ya uchaguzi mkuu mchafu wa mwaka 2020 nikajiapiza kuwa sitokuja kuzungumzia tena chochote kile atakachofanya hayati na ikawa hivyo.

Leo tunarudi ili tusimame kuhesabiwa!
 
Yani bado sijaelewa why Hadi flyovers uzichukie? Kisa zimejengwa na Magufuli?

Mimi Magufuli yapo mengi alinifanya nisimpende kabisa.

Mfano
1.Kupigwa risasi Tundu Lissu
2.Kupotea Kwa Ben Saanane na Azory..

Lakini yapo mengi alifurahisha Kutimua mawaziri madalali wa wakezaji..
Kama Muhongo na Nyalandu na wengineo..

Kukataa mkataba wa wachina wa Bandari Bagamoyo..

Kudhibiti bei ya petrol
Na mengineyo
 
Yani bado sijaelewa why Hadi flyovers uzichukie?Kisa zimejengwa na Magufuli?

Mimi Magufuli yapo mengi alinifanya nisimpende kabisa
Mfano
1.Kupigwa risasi Tundu Lissu
2.Kupotea Kwa Ben Saanane na Azory.
Lakini kumbukumbu mikataba ya Magufuli hatuijui na wa Bagamoyo tumeelezwa na ndio maana umeukataa ingawa bado hatuna uhakika wa hicho tulichoelezwa kuhusu huo mradi wa Bagamoyo.

My advice: Think twice brother especially when it comes to politicians.
 
Ndiyo nilikuwa mkweli na hoja zangu zilikuwa za moto hadi wenzangu wakahisi kuwa nina chuki binafsi na Rais hayati Magufuli.

Mwaka 2016 mapema mwezi wa nne nilimshauri ajiuzulu na nikajenga hoja. Nilishambuliwa sana hadi uzi ukatupwa kapuni. Nilimuonya kuwa hatokuwa na ushawishi wowote ule kimataifa. Labda kitaifa kwa kuwa atafanikiwa kudanganya na kuziba watu midomo. Leo iko wapi?...
Kwa hiyo unataka.kijazi flyover ivunjwe?
 
Ndiyo nilikuwa mkweli na hoja zangu zilikuwa za moto hadi wenzangu wakahisi kuwa nina chuki binafsi na Rais hayati Magufuli.

Mwaka 2016 mapema mwezi wa nne nilimshauri ajiuzulu na nikajenga hoja. Nilishambuliwa sana hadi uzi ukatupwa kapuni. Nilimuonya kuwa hatokuwa na ushawishi wowote ule kimataifa. Labda kitaifa kwa kuwa atafanikiwa kudanganya na kuziba watu midomo. Leo iko wapi?..
We mlevi unalalama nini? Yaani JNHPP haitazalisha Mw 2100 kwa sababu zipi?
 
Mleta mada una mihemko, tafuta dawa umeze upone, hilo daraja la Kigongo-Busisi ulileta uzi juzi bila hata kuwa na data zozote za maana ku-support hoja yako, ukaacha hole kwenye hoja yako ndio maana wengine wakaijaza kwa kuingiza ukabila, ukapingwa kwa kuoneshwa umuhimu wa hilo daraja, kwa akili za anaejielewa ungeacha huu ushamba wako wa kijijini, lakini leo tena umerudi na utumbo ule ule bila aibu.
 
Ndiyo nilikuwa mkweli na hoja zangu zilikuwa za moto hadi wenzangu wakahisi kuwa nina chuki binafsi na Rais hayati Magufuli.

Mwaka 2016 mapema mwezi wa nne nilimshauri ajiuzulu na nikajenga hoja. Nilishambuliwa sana hadi uzi ukatupwa kapuni. Nilimuonya kuwa hatokuwa na ushawishi wowote ule kimataifa. Labda kitaifa kwa kuwa atafanikiwa kudanganya na kuziba watu midomo. Leo iko wapi?

Niliupinga mradi wa Stiglers na nikasikitishwa na kukatwa kwa miti zaidi ya milioni tatu huku tukijua kuwa chanzo cha maji yale ni miti. Nikaonya kuwa Stiglers haitokaa izalishe megawati 2000 zinazotajwa na kuwa tulikuwa tunadanganywa. Napo nikanangwa.

Nikaja kwenye fly overs na nikafikia kusema kuwa siku nikiwa Rais nazivunja vunja. Niliziita fly overs uchwara!

Daraja la Salenda hadi nikaonya kuwa lilileta ugomvi kati yake na Ombeni hadi akafukuzwa. Daraja la kule Kigongo ndiyo uwiiiii! Yani sitaki hata kukumbuka.

Nikaonya ule mreli wa gharama kubwa upo kwa ajili ya nani? Napo nikabezwa na kubagazwa! Nikalia juu ya kuvunjwa kwa jengo la Tanesco pale Ubungo nikaitwa mpiga dili aliyetupwa sasa analia lia!

Nilitukanwa, nikabezwa na ilipofika baada ya uchaguzi mkuu mchafu wa mwaka 2020 nikajiapiza kuwa sitokuja kuzungumzia tena chochote kile atakachofanya hayati na ikawa hivyo.

Leo tunarudi ili tusimame kuhesabiwa!
We mbwa tunakuombea meno yaumane ili uwaache watanzania wajenge nchi yao
 
Kama kila kilichofanywa na Magufuli kilikuwa ni kibaya hivyo, vunjeni kila kitu.

Hakuna anayewazuia.

Mfuteni kabisa hata kwenye vitabu na tengenezeni sheria ya kuadhibu wote watakaolitamka jina lake.
Naona msukuma unateseka ukiwa Denmark unabeba maboksi
 
Ndiyo nilikuwa mkweli na hoja zangu zilikuwa za moto hadi wenzangu wakahisi kuwa nina chuki binafsi na Rais hayati Magufuli.

Mwaka 2016 mapema mwezi wa nne nilimshauri ajiuzulu na nikajenga hoja. Nilishambuliwa sana hadi uzi ukatupwa kapuni. Nilimuonya kuwa hatokuwa na ushawishi wowote ule kimataifa. Labda kitaifa kwa kuwa atafanikiwa kudanganya na kuziba watu midomo. Leo iko wapi?

Niliupinga mradi wa Stiglers na nikasikitishwa na kukatwa kwa miti zaidi ya milioni tatu huku tukijua kuwa chanzo cha maji yale ni miti. Nikaonya kuwa Stiglers haitokaa izalishe megawati 2000 zinazotajwa na kuwa tulikuwa tunadanganywa. Napo nikanangwa.

Nikaja kwenye fly overs na nikafikia kusema kuwa siku nikiwa Rais nazivunja vunja. Niliziita fly overs uchwara!

Daraja la Salenda hadi nikaonya kuwa lilileta ugomvi kati yake na Ombeni hadi akafukuzwa. Daraja la kule Kigongo ndiyo uwiiiii! Yani sitaki hata kukumbuka.

Nikaonya ule mreli wa gharama kubwa upo kwa ajili ya nani? Napo nikabezwa na kubagazwa! Nikalia juu ya kuvunjwa kwa jengo la Tanesco pale Ubungo nikaitwa mpiga dili aliyetupwa sasa analia lia!

Nilitukanwa, nikabezwa na ilipofika baada ya uchaguzi mkuu mchafu wa mwaka 2020 nikajiapiza kuwa sitokuja kuzungumzia tena chochote kile atakachofanya hayati na ikawa hivyo.

Leo tunarudi ili tusimame kuhesabiwa!
Unapokula kichwa mradi wa umeme kutoka bwawa la Nyerere ambao umefikia 50% itabidi watuambie umeme tutatoa wapi?.

Unapokula kichwa serikali kuhamia Dodoma na kusema ni hasara itabidi wajieleze.

Unapokula kichwa reli ya kisasa ambayo inakaribia Makutupora itabidi wajieleze kwa watanzania hiyo Tanzania ya viwanda itawexekana vipi.

Unapokula kichwa ujenzi wa meli mpya kwenye maziwa makuu itabidi watueleze watatusafirisha na nini?

Wanapokula kichwa ndege zetu itabidi tuwawekee video za kina Heche ,Lema,Lisu wakitukana serikali iliyoshindwa kununua ndege

Watakaposema wachimbaji wadogo, bodaboda na mama ntilie wafukuzwe itabidi watueleze wanafanya haya kwa faida ya nani?

Watakapoamua zahanati na hospitali zote zilizojengwa na Magufuli zifungwe ,itabidi watueleze tutaenda kutibiwa wapi?

Watakaposema wamefuta elimu bure itabidi watueleze kodi zetu zinafanya kazi gani?

Watakaposema lazima watanzania millioni 60 wachanjwe, itabidi watueleze wao mpaka sasa
hawajachanjwa
Nyungu hawajapiga,
Hawajajifungia ndani wanaenda kazini kila siku
Mbona hawajafa na corona sasa??

*Watakaohoji haya maelezo siyo Magufuli wala watoto wa Magufuli ni watanzania.

Anayedhani itakuwa rahisi kuuwa legacy ya Magufuli atakutana na nguvu ya uma.
*
Muda utaongea .
 
Back
Top Bottom