Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo ametembelea na kukagua mradi wa ujenzi wa barabara nne mpya kutoka Morocco hadi Mwenge ambapo kukamilika kwa njia hizo kutafanya idadi ya barabara kufikia nane jambo linalotarajiwa kupunguza na ikiwezekana kumaliza tatizo la foleni kwenye...
Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi alitembelea mradi wa ujenzi wa meli ya kisasa ambayo ni meli kubwa kuliko zote katika Ukanda wa Afrika Mashariki pamoja na ujenzi wa chelezo kwa ajili ya matengenezo na marekebisho ya meli mbalimbali ikiwa...
Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda amewapiga marufuku Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS) kuipa mradi wowote Kampuni ya Ujenzi ya Nyanza ndani ya mkoa wa Dar
RC Makonda ametoa maagizo hayo baada ya Kampuni hiyo kutumia miezi 12 kujenga Barabara ya Kilometa 3.2 ya Kitunda-Kivule ya kiwango cha...
Nasubiri Bandari Kubwa ya Lamu izuie Bandari Ndogo za Dar na Mombasa: Namna Maarifa Madogo Yanavyoiua Bandari ya Bagamoyo na Kuifaidisha Kenya
Kumekuwa na mijadala mikali kuhusu Mradi wa Eneo la Kiuchumi la Bagamoyo. Mjadala huo wenye malumbano ya kurushiana shutuma umekuwa mjadala mbovu sana...
Sh300bn road project put on hold over debt
The government has suspended the construction of the Sh300 billion Nairobi-Mombasa expressway for two years over the country’s debt concerns.
It would have been Kenya’s first expressway and the largest single-contract road project.
The project...
Nimeangalia kipindi Azam Tv wanaonyesha namna ya huu mradi utakavyo kuwa, yaani Tanzania haitatumia hata sent tano...
Lakini Magufuli alisema huu mradi ni wakinyonyaji na haufai kutekelezwa lakini leo nimeona kwenye kipindi Azam Tv wakisema mradi utaanza kutekelezwa..
Ni kweli huu mradi wa...
UFAHAMU MRADI WA ’STRIEGLER'S GORGE
Mradi wa umeme wa ‘’STRIEGLER'S GORGE’’ uliasisiwa na marehemu baba wa Taifa Mwl Julius Nyerere miaka 1970. Mwalimu Nyerere alianzisha wazo la kujenga mradi huu mkubwa ili kuondoa tatizo la umeme nchini lakini pia ili kuongeza tija ya uzalishaji viwandani. Ni...
Kupitia sera ya kitaifa na mkakati wa nchi kufikia uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025 ni Dhahiri na lazima kwa taifa kuwa na miundombinu imara. Ujenzi wa reli ni nguzo kubwa katika kuchochea na kupunguza gharama na muda wa safari kwa abiria na mizigo. Mataifa yenye nguvu duniani yamejengwa na...
Na Kabwe Z. Ruyagwa Zitto, Mb
(Makala haya kwa sehemu kubwa yametokana na makala iliyoandikwa na mtu mwengine [....]. Mimi nimeiboresha tu Katika baadhi ya maeneo)
Juzi Serikali imetangaza bungeni kuwa Mradi mkubwa wa Ukanda Maalumu wa Kiuchumi wa Bagamoyo (Bagamoyo SEZ) wa thamani ya Dola za...
Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo unaotarajiwa kuanza hivi karibuni chini ya kampuni ya China Merchant Holdings inatarajiwa ukikamilika utaifanya bandari hiyo kuwa kubwa zaid barani Afrika kutokana na kuwa na magati yenye urefu hadi kufikia kilomita 20 na kuhudumia makontena zaidi ya milioni 20...
Benki ya Dunia inapendekeza mkopo wa dola mi $ 100 ya miundombinu kwa ajili ya Tanzania kuongeza utalii na serikali ya Ujerumani hivi karibuni na ilisaini mkataba wa eruo € milioni 18 wa miaka 5 mpango hifadhi kwa Selous.
Rais Magufuli kajinasibu kununua ndege ili kukuza utalii sijajua huo...
Ni hivi watu wengi wanaandika bila kuujua ukweli.
Ukweli ni kwamba kabla ya mradi wowote mkubwa kutekelezwa lazima kifanyike kitu kinachoitwa Environment Impact Assessment.
Ukweli ni kwamba serikali iliunda team iliyojumuisha maprofesa nguli kufanya Environment Impact Assessment ambapo...
Kumbe wajerumani wanafahamu kuna madini mengi na ya thamani kubwa ukiacha uranium ya aina mbalimbali eneo hilo la bwawa la stieglers gorge, wanajua tukianza mradi huo tutayagundua yote na kuanza kuyachimba ndiyo maana wanaweka vikwazo ili ikiingia madarakani serikali dhaifu wairubuni na...
ULE msemo kuwa chelewa chelewa utamkuta mwana si wako umejidhihirisha wazi kwenye suala lauwekezaji wa mradi wa Liganga na Mchuchuma wilayani Ludewa mkoani Njombe ambapo mwekezaji, Sichuan Hongda Group yuko njia panda kwa kukosa mwelekeo na kuungwa mkono.
Kampuni imesema madai yote yalikuwa na...
Heshima kwenu wakuu,
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira na Muungano Mheshimiwa January Makamba, huenda akatumbuliwa kutokana na kuwa kikwazo katika Ujenzi wa Stiegler's Gorge Hydroelectric Power Station.
Inasemekana January Makamba kaunda tume ya Wataalam wa kuchunguza athari...
Waziri wa Nishati, Dk. Medard Kalemani, akiwa mkoani Njombe, ameahidi kuwa, Serikali inatafajia kuzima mitambo yote ya TANESCO, inayotumia mafuta mazito baada ya kukamilika kwa Mradi wa Stiegler's Gorge ifikapo mwaka 2020.
Dk. Kalemani alieleza kuwa, umeme wa mafuta mazito ni wa gharama kubwa...
Serikali ya Tanzania inajiandaa kukata miti eneo la ukubwa wa asilimia tatu ya hifadhi ya taifa Selous.
Mapema asubuhi ya Jumatano, serikali ilipokea maombi ya zabuni ya kukata miti hiyo kutoka kwa makampuni ya ndani na nje ya nchi yaliyoonyesha nia ya kutekeleza mradi huo wa kukata miti...
WAZIRI wa Nishati, Dk Medard Kalemani amesema kazi ya ujenzi wa mradi wa kuzalisha umeme kwa nguvu za maji ya Mto Rufi ji eneo la Stiegler’s Gorge, unatarajiwa kuanza Julai mwaka huu.
Dk Kalemani alisema jijini hapa jana kuwa hatua hiyo ya kuanza kwa mradi inatokana na kazi ya tathmini ya...
Waziri wa zamani na Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye (CCM) ameishangaa Serikali kuweka nguvu nyingi kwenye mradi wa umeme wa Stigler’s George ambao haupo kwenye Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2015 na kuachana na umeme wa gesi ambao waliunadi wakati wa kampeni.
Soma hoja za WWF hapa kwenye linki https://wwf.fi/mediabank/10039.pdf.
Je wewe uko upande upi na kwanini?
=======
WWF is one of the world’s largest and most experienced independentconservation organizations, with over 5 million supporters and aglobal network active in more than 100...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.