mradi

  1. D

    JamiiForums Tanzania Mradi wa kilimo cha mbogamboga kwa umwagiliaji wa matone – Zanzibar

    DRAFT 1 MATUMIZI Gharama zisizojirudia kila msimu 1.Shamba: Kukodi laki moja kwa ekari moja. Hapa litakodiwa hekari mbili. 2.Kisima: Gharama ya kuchimbiwa ni milioni mbili. 3.Unatakiwa kuwa na sola, umeme au jenereta. Cost will vary depend on the chosen alternative. 4.Pump (Horse Power 2)...
  2. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania NHC yatelekeza miradi ya mabilioni wilayani Chato

    NAIBU Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angeline Mabula, amesikitishwa kwa kusuasua kwa utekelezaji wa miradi ya shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wilayani Chato mkoani Geita. - Dk Mabula ambaye alitembelea na kukagua miradi hiyo leo Septemba 14, 2021 alionyesha kusikitishwa...
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wananchi bado tunaomba uchunguzi mkali mradi wa stiglers/SGR, huko ndiko kuna vikampuni vya mzee na vifaranga wake waliopeana tenda

    Hii miradi ndio kichaka ambacho mzee alikitumia kupiga mamilioni ya mabilioni, bado tunaomba uchunguzi ufanyike! Kimkakati, katika hizi wizara aliweka watu wa "nyumbani" watunze siri japo na wao wana vikampuni vyao ndani ya miradi Waliacha bomba la gesi wakaanzisha miradi ya dili Mh. Samia...
  4. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM haioni aibu kudanganya juu ya kukamilika mradi wa Sgr Dar to Moro?

    Wakati wa hayati JPM tuliambiwa mradi utakamilika Nov 2019. Hapo tukapata uhakika wa kutembea na train Dar Moro kwa nusu saa. Baadae mambo yakabuma tukaambiwa mwaka 2020 mapema tu mradi utakamilika. Baadae tena baada ya JPM kufariki tukaambiwa April 2021. Lakini mpaka sasa ni kimya kizito...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa mabilioni ya fedha sekta ya anga, elimu, mradi wa SGR na bwawa la kufua umeme la mwalimu Nyerere

    RAIS SAMIA ATOA MABILIONI YA FEDHA SEKTA YA ANGA, ELIMU, MRADI WA SGR NA BWAWA LA KUFUA UMEME LA MWALIMU NYERERE. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan aendelea na utekelezaji wa ufunguaji na ukuzaji wa uchumi wa Tanzania kwa kutekekeleza miradi ya kimkakati kwa kasi...
  6. B

    JamiiForums Tanzania 'Huduma Pamoja' kupitia Shirika la Posta inalenga nini?

    "Tumefanya mageuzi makubwa ndani ya Shirika la @posta_tz. Lengo ni kuwa na Posta ya Kidijitali, Posta kuwa kitovu cha biashara mtandao na huduma za Pamoja. Katika kutekeleza azma hii, Siku ya Jumatatu tarehe 6 Spetemba, tutazindua utaratibu wa Huduma Pamoja". Mhe. Faustine Ndugulile Nimeona...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hongera serikali ya CCM, malipo ya ndege tano, mradi wa kufua umeme (JNHPP) yafanyika bila mkopo

    "Serikali imefanya malipo ya awali ya ya shilingi bilioni 212.95 kwa ajili ya Ndege 5, Ndege kubwa 2, za masafa ya kati 2 na Bombardier ndogo 1, pia serikali imefanya malipo ya Bil. 50 kwenye mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere"- MsigwaGerson
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kyela tutaikumbuka serikali ya Denmark kwa kutuletea mradi wa uhakika wa Maji wa DANIDA

    Huu ndio ulikuwa mradi wa kwanza kabisa mkubwa na wa Uhakika wa Maji safi ya bomba Wilayani Kyela , ulianzia Kasumulu ukapita Lubele, Mbako, Kilasilo, Ibungu, Lupembe, Muungano, Ikolo hadi ziwani huko, kule upande wa pili ukipita Njisi (boda ya sasa), Isaki, Kabanga hadi Katumbasongwe. Huu ndio...
  9. jey n

    JamiiForums Tanzania Ushauri nataka nijitose Mwanza mradi wa SGR

    Habari zenu wakuu, Katika kutafuta mishe za kazi nimefikiria kutua mwanza kufatilia kazi kwenye mradi wa reli. Naombeni ushauri niende nikajitose au namna kwa sasa nipo Dsm.
  10. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa Mwanza - Isaka waanza kwa kasi

    Mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa Mwanza - Isaka waanza kwa kasi Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa
  11. Buza Kwa Mpalange

    JamiiForums Tanzania Mradi gani unafanyika kwenye bonde la Mkwajuni?

    Leo katika kuzurura kwangu nikajikuta naelekea Masaki. Nikiwa ndani ya daladala nikajikuta tunapiga Kinondoni lililo bonde la Mkwajuni nimekuta magari yanapanua ule mto huku mengine yakichota mchanga na kupeleka upande wa pili ya barabara. Je kuna mradi gani unawekwa pale?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Bomba la Mafuta kulikoni?

    Maisha ya Tanzania yamejawa na matukio leo uraiani kesho Serikalini kama sio huku basi itatokea Kanisani au kwenye Chama cha Siasa. Bahati mbaya mambo ya msingi hayatiliwi maanani kabisa. Hebu fikiria suala la Tozo za Miamala hatima yake haijulikani. Kama ulimsikia Spika wa Bunge utajua...
  13. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mradi wa kilimo cha biashara unaojumuisha wasomi wa kada mbali mbali

    Kilimo cha biashara ni njia ya kujitoa katika umasikini. Mtaji katika kilimo hiki ni changamoto kubwa. Wazo lililopo ni kuunganisha nguvu na ujuzi wa watu mbali mbali. Wahitimu wa kilimo, uhandisi, HR, accounts, marketing nk waungane na kuunda kampuni. Eatafute eneo kuanzia heka 20, wa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Stiglers Gorge HEP hauwezi kukamilika 2022, Novemba 2021 bwawa halianzi kujazwa maji

    Huu mradi wa maji ya kuleta umeme wa nyerere tumekuwa tukidanganywa kila siku kuwa utakamilika June 2022, kitu ambacho c Cha kweli hata kidogo, pia tukidanganywa Mwezi wa 11 maji yataanza kujazwa kwenye bwawa huu ni uongo mkubwa, kwanini nasema hivo 1. Njia za kupeleka maji kwenye mashine...
  15. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Marais Wastaafu, Mawaziri Wakuu wastaafu watembelea Bwawa la Nyerere la mto Rufiji

    Kwa kutambua umuhimu wa mradi wa kufua umeme wa Mto rufiji Marais wastaafu na mawaziri wakuu wastaafu wametembelea bwawa la kuzalisha umeme la NYERERE Hii ni hatua kubwa za kuenzi legacy ya JPM Ndio maana tunasema JPM rest in power === Viongozi wakuu wastaafu Rais Ali Hassan Mwinyi na Jakaya...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Si busara kubeza mradi wa Stiegler’s Gorge, wakati wakubwa wanazindua mabwawa makubwa zaidi ya kuzalisha umeme

    Siku chache kabla ya maadhimisho ya miaka 100 ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), China ilizindua kituo kikubwa cha kuzalisha umeme kwa nishati ya maji kilichoko Baihetan Kusini Magharibi mwa China. Kituo hicho ni moja ya miradi mikubwa ya umeme sio nchini China tu, bali pia duniani. Mradi...
  17. B

    JamiiForums Tanzania EU yatoa mamilioni kusaidia mradi wa Eco - Fish ziwa Victoria

    30 June 2021 Dar es Salaam, EU YATOA MAMILIONI KUSAIDIA MRADI WA ECO - FISH ZIWA VICTORIA Mkurugenzi Wizara Ya Mifugo na Uvuvi Bwana Emmanuel M. Bulai akizungumzia kuhusu Mkutano wa Usimamizi wa raslimali za Uvuvi Ndani ya Ziwa Victoria unaosimamiwa na nchi tatu wanachama wa Jumuiya ya Afrika...
  18. Idugunde

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU mnatumika vibaya ipo siku ukweli utajulikana. Mlitumiwa na wanasiasa wa CCM 'kum-harass' Deusdeth Kakoko ili mhalalishe mradi wa kifisadi

    Watanzania sio wajinga hata kidogo japokuwa wengi wao ni elimu ya kawaida tu maana hata mimi ni Std 7. Mungu ametubaliki uwezo wa kujua kusoma na kuandika pamoja na uwezo wa kudadavua mambo mengi. Deusdedith Kakoko alikuwa smart akaeleza ukweli kuwa taifa la Tanzania halina manufaa na mkataba...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, tupitie upya tena mradi mkakati wa ujenzi wa kiwanja cha ndege cha Omukajunguti ambacho kitaunganisha EAC

    Rais wetu kipenzi, Kabla ya mambo kubadilika, kulikuwa na mpango mkakati wa ujenzi wa kiwanja cha ndege eneo la Omukajunguti mkoani Kagera. Huu mradi ulilenga kuziunganisha nchi za Afrika Mashariki, lakini si hivyo tu mama, kama umeenda Bukoba umeona ni jinsi gani ndege zinastrugle kutua katika...
  20. Jerry94

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu na TAMISEMI kwanini makosa haya yanajirudiarudia au ni mradi wa watu?

    Moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Kumekuwa na makosa yanayojirudiarudia kila ajira zinapotangazwa. Ingawa kwasasa wamejitahidi sana kupunguza hilo, sijui ni mradi wa 'wakubwa' au ni makosa ya 'system'?. Mosi, mtu mmoja kupata ajira mara mbili ndani ya miaka mitatu, katika sekta/kada...
Back
Top Bottom