Mradi wa bandari ya Bagamoyo nani mkweli?

ego

JF-Expert Member
Apr 10, 2013
1,620
1,407
Awamu zilizopita zilisaini mikataba mingi ikiwemo ya madini, gesi n.k

Awamu ya tano nayo imesaini baadhi ya miakataba

Lakini inapokuja swala la mradi wa bandari ya Bagamoyo

Awamu ya 5 walituambia mradi haufai lakini tumesikia tukiambiwa walishauriwa vibaya

Swali ni je, kwa uzoefu wetu katika mambo ya mikataba tuliyo nayo, ni nani mkweli?
 
Tafuteni video ya maelezo ya eng kakoko ndo mtaelewa huu mradi tunapigwa wachina wametupa masharti 11 tu ila magumu hayatekelezeki ni upuuzi mtu nikiipata ntaweka link humu
 
Mradi wa bagamoyo una maadui wa ndani na nje ya nchi. Ndani ya nchi ni TPA hasa dar port, hawataki kabisa kuusikia mradi huu; nje ya nchi kwa upande wa afrika mashariki ni Kenya hawaitaki hii makitu; nje ya nchi kwa upande wa mabara kuna anti-¢hina nadhani wanajulikana (USA, €uropean countries), japo hatupaswi kuwalegezea ¢hina, tunatakiwa kwenda nao sawa.
 
Mradi wa bagamoyo una maadui wa ndani na nje ya nchi. Ndani ya nchi ni TPA hasa dar port, hawataki kabisa kuusikia mradi huu;
Moja ya tetesi za masharti ya Bandari ya Bgamoyo ni kuwa Bandari ya Dar isifanye kazi mpaka masharti ya mkataba utakapoisha. Sijui nikweli au la, mkataba wenyewe ni siri.
 
awamu zilizopita zilisaini mikataba mingi ikiwemo ya madini, gesi n.k

awamu ya tano nayo imesaini baadhi ya miakataba

lakini inapokuja swala la mradi wa bandari ya bagamoyo

awamu ya 5 walituambia mradi haufai lakini tumesikia tukiambiwa walishauriwa vibaya

swali ni je kwa uzoefu wetu katika mambo ya mikataba tuliyo nayo je ni nani mkweli?
Hili halihitaji siasa bali linahitaji wabobezi wafuatao
Wanasheria
Wana diplomasia
Wasomi wanaojua nini maana ya vita ya uchumi
Wazalendo wa kweli
Wachumi huru, na wachumi wazalendo

Kikubwa ni Tanzania kama taifa tutafaidikaje na huo mradi? Hatutaki uwe wa kinyonyaji
 
Kwa mashart hayo niliosikia kwa hotuba ya mzee marehemu ninahakika wanaosema kwa sasaa ndio.wanafik mrad haun tijaaaa kabisa

Ni haki yako kuamini utakacho, lakini kumtumia huyo marehemu kama sehemu ya imani haba kwenye huo mradi, ni kujipotezea heshima yako. Huyo marehemu alikuwa ni mtu muongo sana, japo alitumia nguvu kubwa kutuaminisha kuwa ni mtu muadilifu. Huyo marehemu alisema Mwezi Desemba 2020 kuwa ATCL imepata faida ya 28b, wakati ripoti ya mahesabu imeweka wazi uongo wake. Kipindi cha utawala wake serikali yake ilikithiri kwa upikaji wa data. Chaguzi zote za nchi hii zilinajisiwa kufuatia maagizo yake. Mtu ambaye sio muadilifu huweza kumtumia kama sehemu ya maamuzi yako, na ukawa sahihi.
 
Tafuteni video ya maelezo ya eng kakoko ndo mtaelewa huu mradi tunapigwa wachina wametupa masharti 11 tu ila magumu hayatekelezeki ni upuuzi mtu nikiipata ntaweka link humu

Huyo Eng.Kakoko haaminiki, mkataba uwekwe wazi kila mtu auone, na kufanyike mdahalo wa wadau ili kufikia maamuzi sahihi.
 
Wachina wajenge bandari kwa pesa zao,halafu unataka masharti yawe na unafuu kwetu!..ulisikia wapi!!!.
 
Mradi wa bagamoyo una maadui wa ndani na nje ya nchi. Ndani ya nchi ni TPA hasa dar port, hawataki kabisa kuusikia mradi huu; nje ya nchi kwa upande wa afrika mashariki ni Kenya hawaitaki hii makitu; nje ya nchi kwa upande wa mabara kuna anti-¢hina nadhani wanajulikana (USA, €uropean countries), japo hatupaswi kuwalegezea ¢hina, tunatakiwa kwenda nao sawa.
Kwani TPA ni mtu binafsi? Kwa hiyo china wana uchungu na Tanzania kuliko TPA ambalo ni shirika letu la umma?
 
Ndugai simuamini hata chembe,ashachungulia fulsa hapo,Mwendazake zake nae mzee wa fiksi....
...Wekeni huo mkataba hapa tujionee wazee.
 
awamu zilizopita zilisaini mikataba mingi ikiwemo ya madini, gesi n.k

awamu ya tano nayo imesaini baadhi ya miakataba

lakini inapokuja swala la mradi wa bandari ya bagamoyo

awamu ya 5 walituambia mradi haufai lakini tumesikia tukiambiwa walishauriwa vibaya

swali ni je kwa uzoefu wetu katika mambo ya mikataba tuliyo nayo je ni nani mkweli?
apo ni unafiki mtupu.........
 
Mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ulisainiwa mwishoni kwa awamu ya nne.
 
awamu zilizopita zilisaini mikataba mingi ikiwemo ya madini, gesi n.k

awamu ya tano nayo imesaini baadhi ya miakataba

lakini inapokuja swala la mradi wa bandari ya bagamoyo

awamu ya 5 walituambia mradi haufai lakini tumesikia tukiambiwa walishauriwa vibaya

swali ni je kwa uzoefu wetu katika mambo ya mikataba tuliyo nayo je ni nani mkweli?
Mradi una makandokando mengi sana. Mchina ameahidi fedha nyingi kwa akina Ndungai na watetezi wenye influence serikalini kama bakshishi iwapo mradi utapita. Huku ni kuuza nchi. Tanzania itafaidika kidogo sana na China itakuwa kama imenunua kipande cha Tanzania.
 
Back
Top Bottom