President William Ruto alikiwa mbishi zaidi ya watangulizi wake,but naona mwishowe amenyanyua mikono na ameamua kwenda kwenye mazungumzo.
Mwezi wa 7 mwishoni katika maandamano yaliyoongozwa na mzee Odinga,Walifariki zaidi ya 30 na watu zaidi ya 300 walishirikiwa na polisi.lakini jitihada zao...
Afrika kweli nimeamini tunanyonywa sana, wenye nchi yao wameunga mkono mapinduzi na hawamtaki rais aliepinduliwa. Kwanini nchi nyingine zipangie wananchi hao kiongozi anaewafaa? Kuna nini ndani yake? Ufaransa iko tayari kuisaidi Muungano wa kijeshi wa Ecowas kumrudisha rais, kwanini?
Kumbe...
Rais kuhudhuria shughuli za Simba ni mpaka aalikwe kwenda Simba day, hii inatia mashaka, hivi Raisi wa Tanzania anashindwaji kubalance mzani wa usimba na uyanga ?
Rais aliibembeleza Yanga ikubali mualiko kwenda Ikulu maana wakati huo Yanga ilikuwa na ratiba ngumu ya kwenda kumaliza mechi za...
Kama kuna kitu unataka kununua kwa matumizi ya kesho na unaishi kwenye maeneo tajwa hapo juu, tafadhali nunua leo.
Pia wanaopanga kwenda kanisani nivema mkaabudu majumbani. Kuna hatari inawanyemelea huko.
Ni hivi, kesho ntakuwa najifunza kuendesha pikipiki na ntatumia hiyo barabara hivyo...
Siku ya Kimataifa ya Bia Duniani ambayo husherehekewa kila Ijumaa ya Kwanza ya Mwezi Agosti, ilianzishwa mwaka 2007 huko Santa Cruz, California, Marekani
Siku hii hunganisha Dunia kwa kusherehekea aina mbalimbali za #Beer kutoka Mataifa yote Duniani, ambapo marafiki hukusanyika na kufurahia...
Kumekuwepo na fununu za muda mrefu juu ya kuwepo kwa wapiganaji wa kikundi cha Wagner kilichohusishwa na kiongozi wa Urusi,Vladmir Putin.Hii ilikuwa ni kabla hata ya kuanza kwa vita vinavyoendelea sasa baina ya Ukraine na Urusi.
Katika kipindi kifupi fununu hizo ziliongezeka baada ya kutokea...
Habari ndio hiyo wakuu,
Mpaka Tanganyika inapata uhuru wake mwaka 1961, ni wananchi wawili tu walikuwa wamesoma kwa kiwango cha shahada ya kwanza(Degree).
Wa kwanza alikuwa ni Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambaye alikuwa ni Rais wa kwanza na baba wa Taifa. Mwalimu Nyerere alikuwa na...
Watanzania wanashauriwa kukaa kimya kuhusiana na mkataba wa DP World kwasababu kauli zao hazina staha, hazifuati taratibu za kisheria katika uwasilishwaji wake hivyo ni sawa na kelele na usumbufu kwa wanchi hivyo basi hatua kali za kisheria zitachukuliwa kwa wale wote wenye nia ya kuikashifu...
Ni ngoma fulani hivi ina mdundo wa pekee niliokuwa nausikia kwenye spika za gari yangu, kubwa zaidi ni uzuri wa mirindimo ya vinanda uliokwenda sambamba na sauti za wasanii hawa zilizobeba ujumbe fulani very inspirational(wale wapambanaji wataelewa nachomaanisha); Ngoma inaitwa HAYATABIRIKI...
Habari yako mwanajamii, nina imani ulipo unaendelea vema, kama haupo sawa Mungu akutangulie katika jambo lako.
Leo tena nimepata muda wa ku-share vitu nilivyopitia katika maisha yangu.
Mimi ni mzaliwa wa Nyanda za Juu Kusini (Songwe -Mbozi) nimesoma shule ya primary Songwe Mwaka 2008 na...
Kajala na Jonas wanajisumbua tu kujificha na penzi lao la wizi wizi .
Hilo penzi lao watu tunalijua kitambo wenyewe eti wanadhani wanafanya siri 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Halafu mbaya zaidi Kajala alianza ku date na Mkude kipindi ambacho yupo na Harmonize ,halafu sasa Harmonize na Mkude walikuwa ni mabest ...
Siamini kama raisi atamke jambo kwenye mei mosi halafu lisitekelezwe.
Kwahiyo naamini kabisa Kuna nyongeza isiyoonekana kwa macho haya ya damu na nyama, kwa hivi nategemea ndugu Gerson Msigwa atakuja na ufafanuzi sooon kuelezea namna nyongeza hii ilivyo,
Niwasihi watumishi tuendelee kuchapa...
Nimesikitika sana. Huyu dada tupo naye ofisini. Sasa nilipungukiwa tu vicent kadhaa kwa ajili ya kuongezea kununua shamba sehemu fulani.
Nikamwambia aniazime nijazie ntamrudishia baada ya week. Akaniambia sawa niende nikachukue kwake Mbezi jana jioni. Nimeenda tukapiga stories na kupata msosi...
Harakati za maisha zilinifikisha kijiji kinachoitwa Chiuta huko mkoani Lindi. Kijiji kipo eneo fulani ndani na uwanda wa juu (Makonde plateau) kama unaelekea Tandahimba ukitokea mji wa Mtama (kwa watoto 😆😆😆).
Miaka yangu michache niliyoishi kule nikifanikisha jambo fulani hivi, aisee...
Kuna sheria ya utumishi wa Umma endapo mtumishi akitoka kwenye ajira yake na kuteuliwa kwenye nafasi kisiasa hata kama bado haja staafu hawezi kurudia ajira yake.
Miezi kadhaa kuna mabosi wa Chama cha Walimu walikataa katakata kutoka kwenye ajira zao na kwenda kwenye teuzi.
Mimi binafsi...
Kwa hii Mbinu Jezi #6 FC nawasifu hakika Marketing mnaijua kuifanya vyema.
Mlianza kwa Kumvalisha Jezi yenu mpya ya 'Magemu Magemu' ili Kuwaaminisha Mashabiki.
Wafuatiliaji wa mambo tunajua kuwa tayari ni DONE DEAL Uarabuni ila mmeuchuna Kutangaza na mkalianzisha la Chama ili Kufunika bado...
Ni zaidi ya mwezi sasa hili suala la bandari limeendelea kuwa gumzo, kinyume na matarajio yangu!
Mwanzoni nilidhani lilikuwa ni upepo tu upitao kama yalivyo masuala mengine.
La hasha. Haijawa hivyo.
Kila kunapokucha, gumzo la bandari zetu ndo linatawala vinywa vya wananchi.
Hali hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.