Nafikiri mechi za leo zimeonyesha na kuondoa shaka juu ya timu gani inao ukuta wa yeriko, beki bora zitakupa matokeo bora na beki dhaifu zitakupa matokeo dhaifu ya kushikilia roho na kubaki na option moja tu ya kwenda kwa waganga wa kienyeji Tanga ili kupata matokeo.
Yanga imedhihirisha ubora...
Battle hili hapa la walio kuwa kundi moja na baadae kuvunjika na kuunda Tmk wanaume family na Tmk wanaume halisi.
Makundi yote haya mawili yali bahatika kutoa mikwaju mikali way back naweka battle kati ya mikwaju yao maarufu miwili.
Tatu bila ya Tmk wanaume halisi
VS
Dar mpaka...
Baada ya kumaliza kidato sikupata chuo. Migodi mikubwa ndio ilikuwa imeanza kufunguliwa nchini.
Mimi nikaona isiwe tabu nikaenda Kakola mkoani Kahama kusotea kazi. Kazi zilikuwa ngumu sana kupatikana. Kama huna konection unasotea huku ukiishi kwa kuvunja magoti wanaotinga.
Nilivyooona Mambo...
MHE. WARYUBA AZINDUA ZOEZI LA UWEKAJI VIGINGI VYA MPAKA WA PORI LA AKIBA KILOMBERO
Mkuu wa Wilaya ya Malinyi, Mhe.Sebastian Waryuba amezindua zoezi la uwekaji wa vigingi vya mpaka wa Pori la Akiba Kilombero katika hafla iliyofanyika Septemba 11, 2023, Kilosa Mpepo, Mkoani Morogoro.
Akizungumza...
Reli Hiyo ni maalumu kubeba mizigo hasa madini kuitoa mkoa wa Katanga DR Congo na mkoa wa Copper Belt Zambia na kuipeleka bandari ya Lobito Angola.
=====
African Union now a permanent G20 member
The G20 welcomed the African Union as a member at their annual summit Saturday.
There was...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa, ambazo zinachapishwa kwenye gazeti la Nipashe kila siku za Jumapili.
Leo naendelea na sehemu nyingine ya Ijue Katiba ya JMT kwa jicho la mtunga katiba. Sehemu ya kwanza nilifundisha katiba ni...
Wote mnaweza kufikiria ni namna gani mtu asiye mkazi au mfanyakazi au mwenye appointment kwenye makazi rasmi ya Malkia wa Uingereza angeweza kupenya bila kuonekana, akafanikiwa kuingia ndani ya jumba hilo, akapiga misele kidogo, akaingia ofisi ya Malkia Elizabeth kufyonza mvinyo maalum wa...
Hili amenidokeza rafiki yangu mmoja mwenye Vituo vya mafuta. Walishakaa na Waziri wakawekana sawa na sasa ni utekelezaji. Kwa kweli jamaa anasema mama anaupiga mwingi mpaka unamwagika.
Watanzania endeleeni kunywa mtori. Nyama zipo chini. Nyingi tu. Ni nyie kufumbua macho. Msilale lale. Shauri...
Mnamo taehe 29 Agosti ndege ya abiria ya Sychelles ikiwa na abiria 128 ilipata matatizo ya kiufundi ikiwa angani eneo la Saudi Arabi. Ndani ya ndege hiyo kulikuwa na abiria watalii wa kiyahudi wakiwemo maofisa wa serikali waliokuwa likizo.
Ndege ilipofika uwanjani abiria wote wakapatiwa huduma...
My take: Baada ya mambo kuwa magumu kwenye vita vyake na Ukraine, kupoteza silaha nyingi,Urusi yaanza kuhamisha silaha toka maeneo mengine kupeleka frontline dhidi ya Ukraine.Njia rahisi ya kumaliza vita,ni Putin kuondoka Ukraine,ikiwemo Crimea 🤔
....
Russia has taken away anti-aircraft missile...
Mke wangu mbegu nyingi humtoka baada ya kusex naye nashindwa kuelewa maana bado hatujapata mtoto na mimi ndo mtoa bikira karibia mwaka sasa
Embu nipeni shule maana hasikii maumivu yoyote kama nilivyo ambiwa kuwa kunaweza kukawa na kitu kama kidole kina zuia mbegu kwenda mbele
Ngoja taratibu nianze kuangalia Arusha kuna Rasilimali gani na labda unaweza Kuwekeza katika lipi Ukishirikiana na Wazungu ( hasa Wamarekani ) na Waarabu ( hasa wa Yemen na Dubai ) ili GENTAMYCINE nisije kuwa Namlaumu tu Mtu bure.
Hello!
Kwa tunayoyaona makazini, mitaani na serikalini itoshe kusema kuwa hizi elimu za juu zaidi kuanzia Master's na kuendelea mara nyingi wanapewa watu wenye uwezo mdogo kichwani lakini wana uwezo wa kukariri masomo.
Kuna baba mmoja kazini ana PhD, yaani ni kituko.
Kipindi kile akiwa na...
Kocha hana mpango na mfungaji bora, kocha anataka magoli, kocha an at a mchezaji yeyote ambaye yupo ndani ya box anatakiwa kufunga goli, kocha hataki ufalme wa mchezaji, kocha anataka ufalme wa Yanga.
Wale wachezaji aina ya Inonga kumkamia mchezaji Fulani ndio mfungaji muwape ujumbe, gari...
Katika dunia tunapitia mambo mengi ya huzuni na furaha, ya amani na magomvi vipi katika maisha yako jambo gani limewahi kutokea na ukajisemea kweli Mungu yupo.
Binafsi ni jinsi nilivyo faulu kidato cha sita yaani daah!
Nikikumbuka naishia kusema kweli Mungu yupo na anatenda maana nilijua...
Kuna kijiwe ambacho mida ya jioni, wazee hukutana kujadili baadhi ya vitu na kubadilishana mawazo, watu wengi hukusanyika hususani vijana kuchota busara za wazee hao.
Watajadli mambo mbalimbali kuanzia mpira, Imani mpaka siasa na yote wanayojadli vijana huokota chochote Cha kuwafaa maishani...
Mwaka 2013 nilipata kazi kwenye kampuni moja katika branch yake Wilaya ya Maswa Mkoa wa Simiyu, sasa basi maisha yalianza kwa kufanya kazi kwa sababu sikua najua chochote ilibidi nijifunze kupitia kwa yule niliyemkuta ndio alinipa uzoefu sababu yeye alikuwa kanitangulia na anajua vingi kuhusu...
Habarini wanajamvi,
Leo kuna gari Moja ndogo ya abiria (hiace)imegonga watoto wawili wa shule na kuwaua karibu na sheli moja hivi.
Sasa kuanzia asubuhi wananzengo wamefunga Barabara zote kuu hasa Ile ya Mwanza-Musoma. Gari linalolazimisha kupita linapigwa mawe balaa. Magari mengi yashaharibiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.