Misri waanza ujenzi wa ukuta mkubwa kwenye mpaka wa Rafah

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,654
48,430
Wakimbizi ambao hawataamia kwenye kambi zinazojengwa na Israel, wameachiwa wajifie huko Rafah

=============

Egypt is constructing a wall along its border with the Gaza Strip in Rafah, where 1.3 million civilians remain displaced as Israel clashes with Hamas terrorists, Egyptian officials told the Wall Street Journal on Thursday.

The wall, which is set to span 8 square miles, is being developed as Egyptian officials fear refugees from Gaza will flood into the country after Israel removes Hamas from power. Arab media first reported the construction in December, though the WSJ and New York Times have now confirmed the development of a barrier along the Egypt-Gaza border.

Egypt has previously declared its opposition to any Israeli offensive in the southern Gaza Strip that could destabilize its border with the strip. The Egyptian foreign ministry said on Sunday Sunday of the “grave consequences” of an Israeli military operation in Rafah and called on Israel to refrain from “taking measures that would further complicate the situation and would harm the interests of everyone involved without exception.”

Jerusalem Post
 
Israel yenye huruma kuliko nchi za kiarabu ilipaswa iwachukue hao wakimbizi na kuwapeleka Tel Aviv ili ikamilishe operesheni yake ya kijeshi huko Gaza. Ikishamaliza iwarudishe Gaza
Wanataka kuwa kinga bwana zao wa Hamas ndio maana wanaambatana nao kila wanapoenda. Israel hawezi kukubali kuwa host hata kwa nusu saa tu
 
Wakimbizi ambao hawataamia kwenye kambi zinazojengwa na Israel, wameachiwa wajifie huko Rafah
==================
Egypt is constructing a wall along its border with the Gaza Strip in Rafah, where 1.3 million civilians remain displaced as Israel clashes with Hamas terrorists, Egyptian officials told the Wall Street Journal on Thursday.

The wall, which is set to span 8 square miles, is being developed as Egyptian officials fear refugees from Gaza will flood into the country after Israel removes Hamas from power. Arab media first reported the construction in December, though the WSJ and New York Times have now confirmed the development of a barrier along the Egypt-Gaza border.

Egypt has previously declared its opposition to any Israeli offensive in the southern Gaza Strip that could destabilize its border with the strip. The Egyptian foreign ministry said on Sunday Sunday of the “grave consequences” of an Israeli military operation in Rafah and called on Israel to refrain from “taking measures that would further complicate the situation and would harm the interests of everyone involved without exception.”
Alikuwepo makafiri mkubwa kabla kafiri weye pale Makka na Madina. Lkn siku ya siku uislam umeenea mpaka Uchina na Ulaya Tena kwa kasi ya ajabu
 
Jidanganye na stori za jaba za six day war...Mpaka leo hawajapata mateka 😅😅😅

Zile stori za wapumbavu leo tunaona live hao Yemen mnakimbia wakubwa wote
Ndugu yangu huyo Misri anayetumia silaha alizonunua Israel, USA, Uingereza tena kwa masharti ndo aingie vitani na Israel? Kama ingekuwa vyepesi hivo Iran , Turkey zenye nguvu za kijeshi zingekuwa zimeshavamia Israel, shida yako inaonekana elimu yako ni ndogo sana, nchi ambayo angalau inaweza kupambana na Israel angalau kwa miezi 3 ni Iran au Turkey lakini siyo Egypt
 
😅😅😅Kwani sio katoa pesa ,wakati israel ananunua India.

Achana kuleta uzwazwa vita ni vita ,wasiuze basi watu wanafanya biashara unaleta uchawa hapa.
 
Back
Top Bottom