Waimbaji wa Injili wamekosa Dira mpaka wamevamia content zetu za minyanduo ni hatari kwa Ukristo siku za usoni

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,413
11,065
Ukristo wageuka dini huria, kila mtu afanya atakalo, uongozi wa kiroho umegeuka biashara.

Content za minyanduo zavamiwa na waimbaji wa Injili. Dunia uwanja wa Fujo.

Yes apewa character ya kunyanyua na kunyandua mchana kweupe Yesu mwamba anaelekezwa afanye kuwanyandua waimbaji.

Toba Toba vituko juu ya vituko

Wadiz nimeduwaa itaonekana mabaharia tumeuza content ya wimbo huo.
 
Ni vyema mambo yao tungewaachia wao wenyewe, sisi waislam tudili na ya kwetu.
Nao ya kwetu watuachie sisi wenyewe, kila mtu afanye anachoona ni sahihi mradi havunji sheria za nchi wala dini yake, wa kumkemea ni watu wa dini yake.

Ukisoma quraan, kuna aya kadhaa Allah anasisitiza "haya ni mazingatio kwa wenye fikra(akili)"
Aya ina maana kubwa sana ile.
Waswahili wana kamsemo, kama sijakakosea ni "mwenye akili haambiwi tazama"
Wao wenyewe watajua ipi pumba ipi mchele, kama hii dini ni uongo ama ni ukweli.
 
Tatizo aliyeimba ni mwanaume, ni matusi makubwq sana kwa dini hii kumkashifu mwana wa Mungu. Lakini wahusika wamekaa kimya tuu badala ya kumkata kichwa.
 
Tatizo aliyeimba ni mwanaume, ni matusi makubwq sana kwa dini hii kumkashifu mwana wa Mungu. Lakini wahusika wamekaa kimya tuu badala ya kum7kata kichwa.
Uwo muda tunatoa wapi wa kumkata kichwa labda nyie mfanye hivyo si mnasemaga Yesu ni Issa na ni mmoja wa mitume wenu.
 
2 Timotheo 3:1-5
[1]Lakini ufahamu neno hili, ya kuwa siku za mwisho kutakuwako nyakati za hatari.

This know also, that in the last days perilous times shall come.

[2]Maana watu watakuwa wenye kujipenda wenyewe, wenye kupenda fedha, wenye kujisifu, wenye kiburi, wenye kutukana, wasiotii wazazi wao, wasio na shukrani, wasio safi,

For men shall be lovers of their own selves, covetous, boasters, proud, blasphemers, disobedient to parents, unthankful, unholy,

[3]wasiowapenda wa kwao, wasiotaka kufanya suluhu, wasingiziaji, wasiojizuia, wakali, wasiopenda mema,

Without natural affection, trucebreakers, false accusers, incontinent, fierce, despisers of those that are good,

[4]wasaliti, wakaidi, wenye kujivuna, wapendao anasa kuliko kumpenda Mungu;

Traitors, heady, highminded, lovers of pleasures more than lovers of God;

[5]wenye mfano wa utauwa, lakini wakikana nguvu zake; hao nao ujiepushe nao.

Having a form of godliness, but denying the power thereof: from such turn away.
 
Ule msemo unaosema kichaa siyo lazima aokote Makopo nimeanza kuuelewa
 
Tatizo aliyeimba ni mwanaume, ni matusi makubwq sana kwa dini hii kumkashifu mwana wa Mungu. Lakini wahusika wamekaa kimya tuu badala ya kumkata kichwa.
Sisi hatuna ujinga huo mungu mwenyewe atamuadhibu kwa namna anavyoona kwa sababu sisi wenyewe sio wasafi mbele za mungu yanini tuhukumu kabla hatuja hukumiwa?
 
Kwakweli mi ningependa vituko viongezeke ili tuongeze siku za kuishi

Hebu wekeni namba yake atumiwe hela ya soda kwanza
 
Ni vyema mambo yao tungewaachia wao wenyewe, sisi waislam tudili na ya kwetu.
Nao ya kwetu watuachie sisi wenyewe, kila mtu afanye anachoona ni sahihi mradi havunji sheria za nchi wala dini yake, wa kumkemea ni watu wa dini yake.

Ukisoma quraan, kuna aya kadhaa Allah anasisitiza "haya ni mazingatio kwa wenye fikra(akili)"
Aya ina maana kubwa sana ile.
Waswahili wana kamsemo, kama sijakakosea ni "mwenye akili haambiwi tazama"
Wao wenyewe watajua ipi pumba ipi mchele, kama hii dini ni uongo ama ni ukweli.
Even 2Pac would be proud of you brethren
 
Back
Top Bottom