Kiasi gani cha pesa uliwahi kuliwa kwenye DUBWI mpaka ukachanganyikiwa?

Sina mood

Senior Member
Nov 15, 2018
197
1,310
Kuna watu wanaliwa kwenye dubwi mpaka wanachanganyikiwa.

Nishashushudia jamaa ameliwa laki 2 ya mtaji wa biashara ya mke wake kwenye dubwi.

Mkewe alimtuma akamnunulie vifaa vya kupikia vitafunwa kwa ajili ya biashara na ndo pesa pekee waliyokuwa nayo.

Jamaa kapita karibu na dubwi akapata tamaa acheze kidogo ale angalau elfu 50 sasa kwenye kucheza akajikuta kaangia hasara akawa anafosi arudishe angalau pesa aliyokuja nayo kilichomkuta pesa yote ikaliwa akaweka bondi smart phone yake kwa elfu 20 nayo ikaliwa.

kilichomponzaga alikuwa anawa dabo dabo wanyama anawaweka hata mara tano Tano ila return inakuja ndogo mwisho akarudi mweupe.

Mwingine katoka Moro kwenye kazi za ujenzi karudi na kwenye laki na ushee kabla hajafika kwake kaanzia kwenye dubwi mwisho wa siku kaliwa yote
 
Kuna watu wanaliwa kwenye dubwi mpaka wanachanganyikiwa.

Nishashushudia jamaa ameliwa laki 2 ya mtaji wa biashara ya mke wake kwenye dubwi.

Mkewe alimtuma akamnunulie vifaa vya kupikia vitafunwa kwa ajili ya biashara na ndo pesa pekee waliyokuwa nayo.
Jamaa kapita karibu na dubwi akapata tamaa acheze kidogo ale angalau elfu 50 sasa kwenye kucheza akajikuta kaangia hasara akawa anafosi arudishe angalau pesa aliyokuja nayo kilichomkuta pesa yote ikaliwa akaweka bondi smart phone yake kwa elfu 20 nayo ikaliwa

kilichomponzaga alikuwa anawa dabo dabo wanyama anawaweka hata mara tano Tano ila return inakuja ndogo mwisho akarudi mweupe.

mwingine katoka Moro kwenye kazi za ujenzi karudi na kwenye laki na ushee kabla hajafika kwake kaanzia kwenye dubwi mwisho wa siku kaliwa yote
Mbna Ni wew huyo kbsa

Nina above 30 ++ sijawai kucheza huo mchezo wa kipumbavu hata kuzogelea tu naona upuuz

Kubeti sibeti na Wala sitaki mamb ya kubaahatisha maisha
 
Kuna watu wanaliwa kwenye dubwi mpaka wanachanganyikiwa.

Nishashushudia jamaa ameliwa laki 2 ya mtaji wa biashara ya mke wake kwenye dubwi.

Mkewe alimtuma akamnunulie vifaa vya kupikia vitafunwa kwa ajili ya biashara na ndo pesa pekee waliyokuwa nayo.
Jamaa kapita karibu na dubwi akapata tamaa acheze kidogo ale angalau elfu 50 sasa kwenye kucheza akajikuta kaangia hasara akawa anafosi arudishe angalau pesa aliyokuja nayo kilichomkuta pesa yote ikaliwa akaweka bondi smart phone yake kwa elfu 20 nayo ikaliwa

kilichomponzaga alikuwa anawa dabo dabo wanyama anawaweka hata mara tano Tano ila return inakuja ndogo mwisho akarudi mweupe.

mwingine katoka Moro kwenye kazi za ujenzi karudi na kwenye laki na ushee kabla hajafika kwake kaanzia kwenye dubwi mwisho wa siku kaliwa yote
Hili neno 'Dubwi', ni msamiati mpya ambao sijawihi kuusikia popote.

Lakini kwa maelezo yako nikawa nimeelewa vizuri, kumbe ni hayo madude ya Mchina yanayoharibu tabia za vijana yanaitwa 'Bonanza'?

Michezo hiyo haifai hata kuisogelea ni hatari.
 
Back
Top Bottom