Naam unachokiona hapo kwenye picha sio ndoto wala editing, ni hali halisi iliyotokea katika mechi ya leo ya ac milan ambapo katika dakika za salama kipa namba moja wa ac milan alilimwa kadi nyekundu akaingia kipa namba mbili naye pia akalimwa kadi nyekundu na ndipo ikambidi giroud achukte...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Njombe imewahukumu kunyongwa hadi kufa Washtakiwa tisa akiwemo Beatus Salum aliyekuwa Mtendaji wa Kijiji cha Kipengere Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe Mkoani Njombe kwa makosa ya mauaji ya Ndugu wawili mwaka 2020 Kijijini hapo.
Hukumu hiyo ya kesi ya mauaji namba...
Jibwa hili linalojulikana kama Commander ameshang'ata wafanyakazi wa ikulu karibia mara 15
Kabla ya Commander, Biden alikuwa na mbwa mwengine aliyeitwa Champ ambaye alikufa akiwa na umri wa miaka 13.
Mkasa uliopelekea commander kuondoshwa ni pale mnamp septemba 25 mnyama huyo aliyemng'ata...
Nimefanikiwa kua na urafiki na paka, mbwa, kuku, ngombe, mbuzi. Urafiki in a way kwamba akikuona anakufata anataka awe karibu yako.
ila
Binafsi nyoka ni kiumbe ninaemchukia kuliko wote, hata niende Zoo niambiwe huyu hana sumu,
Kwanza ila ngozi yake siipendi kabisa.
Za weekend wanaJF,
Nimekuwa nikifikiria sababu inayotumiwa na nchi za Afrika kusafirisha mafuta kupeleka nchi za mbali bila kupata majibu.
Nilitegemea mafuta ya Uganda na Tanzania tungeya-,process hapa kwetu Africa sababu sisi ni watumiaji wa bidhaa hii muhimu halafu ndio tuuze nje. Lakini...
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga ametambulishwa mbele ya waandishi wa Habari leo Septemba 27, 2023 na kuelezea kuhusu mipango ya shirika hilo na kugusia kuhusu changamoto ya umeme.
Kuhusu changamoto ya umeme Nchini, amesema “Tunatarajia...
Mungu uliopo juu Mungu muumba wa vyote vinaonekana mpaka visivyo onekana. Wewe ni Mungu tusema Asante kwa kila Zawadi umetupa Taifa zuri Tanzania. Mungu wa Tanzania ni wanyonge na wachache umewapa kutuongoza wamekuwa na tamaa na kiu yakulitafuna hili Taifa kwa uchu wa mchwa walio na njaa Kali...
NI MPAKA KIFO AMA USALITI PEKEE, NJE YA HAPO NI TAMAA NA MOYO DHAIFU
Ni wakati sasa wakristo tuwe kama nchi ya ufilipino tuzikataze mahakama na makanisa ya mchongo kuvunja ndoa nje ya sababu hizo mbili, kwa wale wataokamatwa wameoa au kuolewa mara ya pili kwa njia za panya wafungwe jela maisha...
Mh Waziri wa Elimu Prof Adolf Mkenda okoa mstakabali wa maisha ya binti huyu.
"Kaka Yericko pole na Majukumu, Naomba kaka nisaidie, mtoto huyu kwenye picha anaitwa SIFIKA DANIELY RUBEN, naomba apate Haki zake, Ipo hivi kaka, Nilikuwa natafuta binti wa kazi za ndani, Nikapata binti kutoka...
Wandugu kwema,
Naomba kujua kwa maeneo tajwa hapo juu..ni wapi naweza kupata Gym. Nimeulizia sana na kutafuta kwenye mitandao ya kijamii sijaona.
Mwenye kujua anisaidie location na ikiwezekana namba za simu.
Wakuu napenda kujulishwa ni mgombea yupi kutoka vyama vya upinzani aliyewahi kuichachafya CCM vibaya sana katika chaguzi kuu zilizopita tangu mfumo wa vyama vingi ulipoasisiwa 1st July,1992 kati ya wafuatao:
1: Augustine Mrema
2. Dkt. Wilbroad Slaa
3. Zitto Kabwe
4. Edward Lowassa
5. Seif...
Jana tarehe 19/9/2023 nilipitia kivuko cha Kigongo Ferry mpaka Busisi, na kwa kawaida unapopitia pale utaona kazi zinavyofanyika kwa ajili ya matengenezo la daraja linalounga Kigongo Feri na Busisi.
Kwa masikitiko yangu sikuona chochote kinachofanyika pale kama vile watu wamehama au wako...
Serikali na ama mamlaka husika, inapokosa mwelekeo thabiti na kutoa maelekezo kwa muda sahihi na mwafaka! Inasababisha tafrani na hasira kwa wananchi
Kutokea Juzi 17 September mpaka hii leo, hakuna mwafaka juu ya mgomo wa daladala za Bagamoyo to Dar!
Maana yake nini?
Je, Serikali imebaini...
Habari JF, katika pita pita zangu nimekutana na hii clip, mzee anaongea kwa uchungu katika mkusanyiko wa kijiji.
Kaenda mbali mpaka kuuliza kwamba Tanzania hii wanaojua kusoma na kuandika ni CCM peke yao tu.
Kama anavyoongea ni kweli, sisi ni nani tusiwe na mashaka na hiki Chama?
Miezi kadhaa sasa tangu niachane na aliyekuwa mke wangu, nahaha kutafuta mbadala bila mafanikio. Kila ninayemsiamamisha haishii kunikataa tu bali kunicheka kabisa; tena wengine kwa kunionyesha vidole kabisa nikipita wakiwa na mashostito wao.
Juzi upwiru ulizidi kiwango, nikaona nachotaka...
Tangu niingie kwenye kubet adi sasa sijapata faida yoyote Zaid ya hasara kila nikisomaga post xozote za kuhusu kuifaidi betting karbu wote wanasemaga usiweke timu nyigi odds 2 tu zinatosha Ayo yote nimefanya lakn n vipigo tu option zote kwenyr football nimezijarbu lakn hakuna tofaut nikahama...
Nafikiri mechi za leo zimeonyesha na kuondoa shaka juu ya timu gani inao ukuta wa yeriko, beki bora zitakupa matokeo bora na beki dhaifu zitakupa matokeo dhaifu ya kushikilia roho na kubaki na option moja tu ya kwenda kwa waganga wa kienyeji Tanga ili kupata matokeo.
Yanga imedhihirisha ubora...
Battle hili hapa la walio kuwa kundi moja na baadae kuvunjika na kuunda Tmk wanaume family na Tmk wanaume halisi.
Makundi yote haya mawili yali bahatika kutoa mikwaju mikali way back naweka battle kati ya mikwaju yao maarufu miwili.
Tatu bila ya Tmk wanaume halisi
VS
Dar mpaka...
Baada ya kumaliza kidato sikupata chuo. Migodi mikubwa ndio ilikuwa imeanza kufunguliwa nchini.
Mimi nikaona isiwe tabu nikaenda Kakola mkoani Kahama kusotea kazi. Kazi zilikuwa ngumu sana kupatikana. Kama huna konection unasotea huku ukiishi kwa kuvunja magoti wanaotinga.
Nilivyooona Mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.