mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. ProcrastinatorInChief

    JamiiForums Tanzania Bunge lakanusha Kauli ya Mbowe kuwa Mshahara wa Wabunge umepanda kutoka Tsh Milioni 13 hadi 18

    Maneno ya kukana hoja Hizo yametolewa na Kitengo cha mawasiliano na uhusiano wa kimataifa Bungeni.. Jana Ijumaa tarehe 22 Machi, 2024 alipokuwa anahutubia mkutano wa hadhara Mjini Babati Mkoa wa Manyara na kisha Video yake kusambaa kwenye Mitandao ya Kijamii Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia...
  2. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelewesha ili kuhusu nyota zilizopo angani na husiano wa maeneo ya makazi, vijiji na miji mpaka sasa

    Wengi wetu tunaona nyota zilizopo angani na zengine zikipewa majina kulingana na mtililiko ulivo wa nyota.ila upande wa nyota umegawanyika kisayansi na kiimani. Hapa nitachukua upande wa kiimani toka kwenye biblia: Nyota isiyo ya kawaida iliwavutia “mamajusi” kutoka Mashariki, na mwishowe...
  3. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Rais mgonjwa mahututi mpaka mauti, lakini makamu wake hajui, aelezwi na anafichwa!

    Yaani kiongozi wa nchi anaumwa muda mrefu, ugonjwa endelevu, anapotelea hospitalini majuma kadhaa, anapambania maisha yake kufa na kupona, hajiwezi. Lakini katika mazingira hayo hayo, taifa zima halijulishwi chochote, makamu wake hajui, aelezwi na anafichwa kimakusudi asijue chochote. Hatimaye...
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Serikali kama imeshindwa Kuweka mishahara ya watumishi katika usawa ni vizuri ipunguze idadi ya watumishi

    Mara nyingi viongozi wakigusiwa jambo hili hutoa wito kwa mashirika mengine ya umma kuongeza ubunifu na uzalishaji ili nao walipane vizuri. Kuna mashirika ya umma Kuna taasisi za umma Kuna wakala wa serikali. Kuna Mamlaka za udhibiti na usimamizi. Kuna bodi mbalimbali Kuna tume mbalimbali...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Mbezi Chini (Barabara ya Mwaikibaki) ni hatari kwa watembea kwa miguu, mpaka itokee ajali mbaya ndio ifanyiwe kazi?

    Wakuu kwema? Niende moja kwa moja kwenye mada. Barabara hii mbali na kuwa ni kero kwa watembea kwa miguu lakini pia ni hatari sana kwa usalama wao. Kwanza hakuna njia kwaajili ya watembea kwa miguu, halafu maajabu ni kwamba kuna vivuko kwaajili ya watembea kwa miguu. Sasa unaweka vivuko...
  6. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Walimu kupiga watoto mpaka kuua! ipo siku atauliwa mtoto wa kiongozi ndipo tutaamka

    Hii tabia imekithiri sana ya kupiga watoto kwa mangumi, mateke, na mbaya zaidi kupiga watoto mgongoni ambako ndiko kuna uti wa mgongo! Tabia ya kuficha na kutoa taarifa za uongo kumkandamiza aliyeuliwa na kukosesha haki ndiko kunafanya walimu waendelee na tabia hii mbaya kabisa! Halafu kuna...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Bwawa la Mwalimu Nyerere lafikia MITA 185 ujazo, lajaa mpaka kikomo

    Bwawa la mwalimu Nyerere limejaa kabisa mpaka kufikia ujazo wa MITA 185 kati ya mita 186 kutoka usawa wa Bahari. Hivyo Serikali kuanzia Muda wowote itaanza kumwaga maji au kufungulia maji Kwa lugha ya Magufuli, hili zoezi linafanyika kwakuwa mitambo ya uzalishaji umeme haijakamilika yote kama...
  8. ProcrastinatorInChief

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Robo Fainali CAFCL, Nusu Fainali Mpaka Mshindi wa CAFCL

    Baada ya kuona Matokeo ya droo ya Timu zitakazocheza Robo Fainali hapa ni Utabiri wangu wa mechi za robo fainali.. kwa timu za Tanzania Yanga atajitutumua atatoa Droo Nyumbani ila Atafungwa Ugenini hivyo kuyaaga mashindano hayo.. Wakati huo Simba atafunga goal nyingi Nyumbani,Ila atafungwa...
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Waarabu wa Sudan waapa hakuna kusitisha mapigano kwenye ramadhani, ni mdundano na kuuana na mpaka kieleweke

    Wote dini moja, tena ndugu ila wataingia kwenye mfungo wa ramadhani na kuteseka na njaa yake ilhali wakiendelea kuuana Senior Sudanese Armed Forces General Yasser al-Atta has said there will be no truce in Sudan during the Muslim holy month of Ramadan unless the Rapid Support Forces (RSF)...
  10. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Ferruccio Lamborghini, mwanzilishi wa kampuni ya LAMBORGHINI, mapito yake binafsi ya kimaisha na kampuni yake mpaka sasa

    KARIBU SANA MWANA JAMIIFORUM TUJIFUNZE na ruksa kukosoa chapisho. FERRUCCIO LAMBORGHINI Zamani nilinunua magari mashuhuli sana ya gran Turismo na katika kila hizi gari nililinunua niliona zina mapungufu. Yana joto sana, au hayakupi ile starehe, au hayana kasi ya kuridhisha au hayajamaliziwa...
  11. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Kama mpaka leo hujui shida za wananchi, wewe hufai kuongoza!

    Tumeshatoka huko. Huko ambako Rais anatenga muda wa kukutana na wananchi wachache na kuzungumza nao juu ya shida zao. Kwa wakati huo, hizo shida za wananchi zilipata afueni? Jibu ni hapana. Jana imetangazwa kwamba Bi. Kiguu na Njia [nasikia jana katua Nigeria huko]naye ataanza tena huo...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Back up system (bila solar) yenye uwezo wa kurun 140 Watts kwa masaa 7 mpaka 10 maximum

    Kama kichwa kilivyojieleza, Sina uzoefu na mambo ya back up system, shida kila muuzaji unaemuuliza anakupa majibu yake kutetea maslahi Jamii form najua ina watu wenye maarifa na haya mambo nitumie kama muongozo. Battery na invertor capacity gani vinaweza kurun 140Watts kwa masaa 7-10? Bei...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna Watu walivyo 'Washamba' kama wangeshinda Wao 6 kwa 0 wangeshangilia mpaka hata 'Kuukweka' hovyo Mitaani

    Lakini wenye Kuujua wala hawajapiga Kelele na wapo kawaida sana utadhani siyo Wao waliotoa Kichapo cha Kishalubela / Kitakatifu cha Goli 6 kwa 0 Jana kwa Mkapa dhidi ya Wabotswana waliosaidiwa Kuroga na Kuvalishwa Majini na Majini Chura Mafuriko Daima FC kule Baharini Kwao wanakoyafuga mno.
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Nilichomfanyia Bosi wangu hatakuja kusahau mpaka kifo chake

    Ilikuwa miaka kama 6 hivi iliyopita, watumishi wa kada yetu tulikuwa wachache, muda wa kazi au masaa ya kazi kwa wiki au mwezi yalikuwa mengi zaidi ya yale masaa ya shirika la kazi duniani. Hatukulipwa posho ya muda wa ziada (extra duty allowance). Tulikuwa tunafanya kazi mpaka unahisi homa...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania APHFTA: Tutasitisha huduma za NHIF kuanzia saa sita usiku, wagonjwa mahututi tutawaongezea saa 48

    Imeelezwa vituo vyote Binafsi vya Afya vitasitisha kutoa huduma kwa Wagonjwa wapya wanaotumia Kadi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF)kuanzia Usiku wa Saa Sita kuamkia Machi 1, 2024 huku wale ambao watakuwa katika Uangalizi Maalum (ICU) wakiongezewa muda wa Saa 48 kuendelea kupata huduma...
  16. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Kwanini mstari huu kwenye ramani ya Kenya umepinda, ilikuwa kwa nia gani?

  17. Webabu

    JamiiForums Tanzania Houth nao sasa hawashikiki. Meli zawaka moto na nyengine yazama. Saudia waachia kombora liende mpaka Eliot

    Kila siku zinavyokwenda mashambulizi ya Houth dhidi ya Israel na washirika wake yanazidi kupamba moto. Hali hiyo inaongeza mashaka juu ya uwezo na athari ya yale mashambulio ya kila mara yanayofanywa na meli za kivita za Marekani na Uiengereza. Meli kubwa ya mizigo iliyopigwa Jumatatu...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Financial freedom: Shilingi bilioni 1 inaweza kumfanya mtu mwenye nidhamu ya pesa aishi maisha standard mpaka 2060?

    Muhimu: thamani ya pesa inashuka kulingana na muda, shilingi 50 ya 2000 ilikuwa nauli ya daladala kwenda na kurudi lakini hauwezi fananisha na ya 2020 onayonunua pipi moja tu. Ikiwa mtu ana sifa hizi. Kashajenga umri miaka 35.... watoto wanne: first yupo la tano, second yupo la nne, third...
  19. Jackal

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Jeshi la Israeli limeshikilia 70% ya Gaza

    Katika Vita Vya Israeli - Hamas, idadi ya magaidi waliouwawa yaelekea 10,000 kulinganisha na wanajeshi wa Israeli 236 toka vita ianze hiyo October, 30,2023. Huku 90% ya miundombinu ya Hamas ikiharibiwa huko Gaza. ........ The IDF now holds control over approximately 70% of Gaza, significantly...
  20. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Mwijaku: Nikifa nisizikwe mpaka Rais Samia aje kwenye msiba wangu kunizika

    Chawa maarufu na mtangazaji wa CloudsFm Mwijaku, amesema kama ikitokea akatangulia kufa basi mwili wake usizikwe mpaka Rais Samia afike kumzika. Mwijaku ameandika wosia wake kwenye ukurasa wake wa "X", "WOSIA-ikitokea nimetangualia mbele ya thki kabla ya Rais wetu Samia Tafadhali familia...
Back
Top Bottom