Kuna Watu walivyo 'Washamba' kama wangeshinda Wao 6 kwa 0 wangeshangilia mpaka hata 'Kuukweka' hovyo Mitaani

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,646
109,027
Lakini wenye Kuujua wala hawajapiga Kelele na wapo kawaida sana utadhani siyo Wao waliotoa Kichapo cha Kishalubela / Kitakatifu cha Goli 6 kwa 0 Jana kwa Mkapa dhidi ya Wabotswana waliosaidiwa Kuroga na Kuvalishwa Majini na Majini Chura Mafuriko Daima FC kule Baharini Kwao wanakoyafuga mno.
 
Hawawezi kupiga kelele kwa sababu walishapiga mtu 7 hapo msimu uliopita tuu

Hao wengine pengine tangu mashabiki wao wazaliwe hawajawahi kushuhudia hilo
 
Lakini wenye Kuujua wala hawajapiga Kelele na wapo kawaida sana utadhani siyo Wao waliotoa Kichapo cha Kishalubela / Kitakatifu cha Goli 6 kwa 0 Jana kwa Mkapa dhidi ya Wabotswana waliosaidiwa Kuroga na Kuvalishwa Majini na Majini Chura Mafuriko Daima FC kule Baharini Kwao wanakoyafuga mno.
Hawa mashabiki mbumbumbu ndo wanashinda hapa jukwaani kulaumu wachezaji, coaches, na viongozi kwamba hawafai. Hawa mashabiki ndio walimwita Ntibazokiza mzee, mhujumu team, leo wanashangilia!

Hawa mashabiki ndio walishinikiza uongozi umfukuze Chama kuwa hana kiwango. Hawa mashabiki ndio walishinikiza uongozi uwaache Kapombe na Tshabalala ati ni wazee. Hawa mashabiki ndo walisema kipa Lakred ni garasa. Hawa mashabiki walizomea Mwenyekiti leo wanashangilia mipango yao ya kuleta ushindi.

Hawa mashabiki siku hizi wanawaandama wachezaji wapya Fred na Jobe eti hawana viwango kesho ndo wakifunga watashangilia na kujisahau.

Mbona sisi Wananchi (Yanga) ni mashabiki kweli wa mpira hata mchezaji asipo perform hatuletei usumbufu

Kuna kipindi Aziz ki alikuwa hafanyi vizuri tulimpa utulivu saiv anakiwasha

Mbumbumbu mjifunze kuwa mashabiki wa mpira kweli

Litimu lenu lishauzwa kwa Kanjibai
Kwa hisani ya ngara23
 
Acha porojo wewe,umecheza na nani?

Msimu uliopita uliwafunga Horoya,
Mwaka huu kibonde Jwaneng Galaxy,yaani ni kupiga bomu mochwari.

Lakini wanaume msimu huu tumekutana na kundi gumu usipime,kundi ambalo hakuna aliyekuwa na uhakika wa kuingia quarter final hata kwa asilimia ishirini.

Lakini tumetoboaaaa!!

Sasa Yanga hii itawashangaza watu kama ilivyokuwa msimu uliopita kufika fainali shirikisho.

Wapo ambao hatua ambayo huwa wanaishia inajulikana,wapewe tu mwanaume Mamelody awapige (nyuma na mbele) yaani nyumbani na ugenini biashara yao itaishia hapo.
 
Ugumu wa Kundi lako ulikua kwenye Nin Na urahisi wa Makundi Mengine ulikua kwenye Nin au nyiny wezetu Kundi lenu wachezaji wa timu pizani kwenu walikua ni Majini
 
Lakini wenye Kuujua wala hawajapiga Kelele na wapo kawaida sana utadhani siyo Wao waliotoa Kichapo cha Kishalubela / Kitakatifu cha Goli 6 kwa 0 Jana kwa Mkapa dhidi ya Wabotswana waliosaidiwa Kuroga na Kuvalishwa Majini na Majini Chura Mafuriko Daima FC kule Baharini Kwao wanakoyafuga mno.
Katika wabovu lazima apatikane mwenye nafuu, mmempata kibonde wenu katika wale wagonjwa 4 kwenye kundi Lenu mnakuja kutupigia kelele hapa, mngekuwa kwenye kundi la wanaume ata point moja msingeipata, Kama mmelala uwanjani mnamloga ata jwaneng timu iliyokwishajifia mnapata wapi ujasiri wa kutamba!
 
Back
Top Bottom