Kwanini mstari huu kwenye ramani ya Kenya umepinda, ilikuwa kwa nia gani?

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
18,659
20,994
IMG_20240223_180836_083.jpg
 
Scramble for,
Eneo la bandari ya Mombasa libaki Kenya kwaajili ya shughuri za uchumi wa kikoloni, lakini pia Wajerumani walilitaka eneo la mlima Kilimanjaro, so ikabidi ipigwe kona.

Vipande vyote walivyojikatia wajerumani ni vikubwa na vyenye utajiri mkubwa, wao ndo walikuwa moja ya mataifa makubwa wakati huo
 
Huo mpaka umenyooka kwenye makaratasi ila kwa ground mambo ni kinyume. Uulize sisi tuliokulia maeneo ya mpakani.
 
Hivi kwenye ground wanajuaje Kuwa hapa ndio mpaka ule unaoonekana kwenye makaratasi??
 
Back
Top Bottom