mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Nchi hii haitafanikiwa kwenye jambo lolote la maana mpaka mwisho wa Dunia

    Ukiuliza sera ya serikali kwa sasa ni nini hata viongozi wenyewe hawajui. Wataanza kukutajia SGR, Bwawa la kufua umeme la Mwalimu Nyerere, watakutajia Bandari na kadhalika. Kwa ufupi hata viongozi hawajui Tanzania na Watanzania wanahitaji nini. Watanzania wenyewe pia hawajui wanahitaji nini...
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe alijiapiza kujiuzulu uenyekiti wa CHADEMA 2015, kwanini ameng'ang'ania madarakani mpaka leo?

    Ahadi ni deni, muungwana hutimiza kauli, kwa nini Mbowe ni Mwenyekiti wa Chadema mpaka sasa,.miaka tisa baadae?
  3. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Congo DR. Vilaza sana... Watachapwa leo mpaka wachakae....

    Sioni wanachocheza kiuhalisia.... Hamna team hapa. Huwa nashangaa wanavyoogopwa huku kwetu. Leo Morocco tunajipigia.
  4. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Kwa waliooa tu, jambo gani au kazi za nyumbani,zinakupa shida pindi mkeo anapokuwa amesafiri na umebaki mwenyewe nyumbani mpaka zinafanya umkumbuke

    Habari, wajf. Kichwa habari kinaeleza. 1. Mimi kuosha vyombo. Hili tu. Wewe je ni jambo gani Hilo mpaka linafanya umkumbuke Mkeo sio mchepuko hapa nazungumzia WIFE MATERIAL. Tiririka
  5. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Unapoishi sasa mpaka nyumbani kwenu ni kilometer ngapi?

    Ukiishi mbali na nyumbani lazima utafikiria ni vipi utasolve ishu ya nauli endapo ikitokea dharura mfano msiba unaokutaka usafiri instantly kwa maana Akiba kuweka zimetushinda na huwez kuwa na hela siku zote wewe sio bank. Kwa waliozaliwa Dar na kwao Dar na wanaishi Dar kwao umbali sio...
  6. aise

    JamiiForums Tanzania Tigo rekebisheni mtandao wenu, tangu jana mpaka sasa ni shida sana kuupata

    Eneo nilipo watu wote wenye laini za Tigo mtandao hausomi! Kwenu hali ikoje? ======
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya kutoka Kitonga kwenda Mbande kupitia Tambani ni hatari kwa maisha ya binadamu

    Serikali ya Tambani (Mkuranga) inapuuzia ukarabati wa miundombinu ya barabara ya kutoka Kitonga kwenda Mbande kupitia Tambani, yapata miezi miwili. TANROADS na TARURA, wanachekea ujinga usiojificha.
  8. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Biashara ya familia mpaka sasa kizazi cha nne ipo hai hawa watu weupe wametengeneza standard ya kwao kivyao.

    "Hii ni biashara ya familia walianza babu zetu ambao mpaka sasa wameshafariki na sisi ni uzao wa tatu na huyo tunaemuona ni kizazi cha nne anaweza akachukua akaendeleza. Matumaini yetu amemaliza chuo juzi lakini ataanzia ngazi za chini atafanya kinachotakiwa halafu akifanikiwa atachukua kazi...
  9. chiembe

    JamiiForums Tanzania Haijaisha mpaka iishe: Halima Mdee na wenzake waiburuza CHADEMA Mahakama ya Rufani dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu

    Wanawake wa shoka, Halima Mdee na wezake wametinga Mahakama ya Rufani kutetea ubunge wao. Tuna imani Mahakama ya Rufani itawapa ushindi wa kishindo.
  10. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu sild hataki kunipa mpaka nimuoe kwa ndoa!

    Wakulungwa nimedate na binti mmoja ambaye ni bikra kwa miezi mitatu na nimempenda sana niko tayari kumuoa hata leo ila tangu nimedate nae hataki kunifungulia mlango nipite kwasababu anadai siku atanifungulia mlango ni baada ya ndoa yetu na anataka ndoa ifanyike 2025 Nimekaa chini nimefikiria...
  11. Msanii

    JamiiForums Tanzania Je Katiba ni mali ya Serikali? Kama sivyo, kwa nini mpaka Rais ndo aruhusu mchakato?

    Rais anavunja katiba wazi wazi kwa kuzuia mchakato wa Katiba Mpya. Anaposema wananchi hawana ufahamu kuhusu Katiba, yeye ni malaika? Aliikuta Katiba na wananchi tunataka Katiba Mpya ili tuweze kurekebisha makosa ambayo watawala wanayafanya wakiamini uongozi ndiyo umiliki wa nchi Rais anapaswa...
  12. Ladder 49

    JamiiForums Tanzania Rais Wallace Karia wa TFF hivi kuanzia aanze kuongoza pale TFF amefanya nini mpaka sasa?

    Wakuu habari zenu, Naomba kuuliza hivi huyu raisi wetu wa mpira wa miguu amefanya nini kwenye kipindi chake cha uongozi? Maana watu wanasema kwenye kipindi chake taifa stars imeshiriki AFCON mara 2,Nataka kujua lakini yeye amefanya kitu gani maana inaweza kuchangiwa na simba na yanga kushiriki...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Taifa Stars ndiyo Team Mbovu zaidi kwenye Afcon

    Bila kujali lolote natamka wazi kwamba timu yetu ni mbovu, hata tunapokuwa 11 bila red card bado hamna kitu Haijulikani hata fomesheni tunayocheza ni ipi. Kwa mtazamo wangu hadi sasa Tanzania ndio kikosi kibovu kuliko vyote vilivyocheza UZALENDO NI PAMOJA NA KUKOSOA, SIYO KUSIFIA TU
  14. Webabu

    JamiiForums Tanzania Sasa Israel yaendeleza uchokozi kwa Misri. Yaitaka ifunge mpaka wa Rafah ili iweze kuwashinda Hamas na kujimilikisha Gaza mia kwa mia

    Katika maadhimisho ya siku mia za vita kati ya Israel na Hamas waziri mkuu wa Israel ameiamrisha Misri ifunge mpaka wake na Gaza na kuiachia Israel kudhibiti eneo lote linalounganisha Gaza na nchi hiyo ya kiarabu. Kipande hicho cha ardhi ambacho Israel kinakiita Philadelphi Corridor kina urefu...
  15. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Burundi yafunga mpaka wake na Rwanda

    Burundi imetangaza kuufunga mpaka wake na Rwanda ikiwa zimepita wiki mbili baada ya kuituhumu Nchi hiyo jirani yake kuunga mkono Waasi waliofanya mashambulizi kwenye ardhi yake.Mtandao wa DW Kiswahili umeripoti kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani wa Burundi Matin Nitereste, ametangaza jana jioni...
  16. Webabu

    JamiiForums Tanzania Houth wasema wataendelea kuifunga Red Sea mpaka Marekani na Israel ziondoke Gaza

    Mjumbe wa baraza la mapinduzi la Yemen,Mohammed Ali Houth amejibu azimio la Umoja wa mataifa linaloitaka kuacha kushambulia meli kwenye bahari nyekundu. Akijibu azimio hilo,kiongozi huyo wa Houth amesema hawatoacha mashambulizi yao mpaka hapo Marekani itakapoacha kuiunga mkono Israel katika...
  17. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Chumba, Sebule, Choo na Jiko Arusha Moshono mpaka Siara nahitaji.

    Wadau habari zenu. Nahitaji nyumba tajwa hapo juu kwa budget ya 150k mpaka 180k iwe ndani ya fence luku ya kujitegemea tafadhali. Ikiwa kuanzia Moshono Corner/Kilimani mpaka Siara itapendeza zaidi. Natanguliza shukran kwenu.
  18. Kisetuu

    JamiiForums Tanzania Wataalamu naombeni gharama zote mpaka kukamilika

    Naomba wale wataalamu wa ujenzi engineering wanipe gharama za mjengo kama huu
  19. MK254

    JamiiForums Tanzania Hezbollah wazidi kusonga mbali na mpaka wa Israel, licha ya makelele yote yale

    Tumekuwa tukiambiwa humu kwamba Hezbollah watafanya....haya hao sasa wanaepuka kichapo... Hezbollah has withdrawn its forces from the Israeli border by two to three kilometers, Maariv reported Thursday, citing a report from The Economist. It is a “tactical withdrawal” and a signal to Israel...
  20. Heci

    JamiiForums Tanzania Kwenye makabila haya yote ya Tanzania, umeshazionja za makabila mangapi mpaka sasa?

    Watanzania wote tumetoka kwenye makabila tofauti tofauti. Hivyo basi hata wapenzi wetu pia wana makabila yao. Swali la kizushi, mpaka sasa umezionja za makabila mangapi? Mimi nita highlight na rangi nyekundu nilizozionja. Wambugwe Wambunga Wameru Wamosiro Wampoto Wamwera Wandali Wandamba...
Back
Top Bottom