Naomba kuelewesha ili kuhusu nyota zilizopo angani na husiano wa maeneo ya makazi, vijiji na miji mpaka sasa

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,609
8,736
Wengi wetu tunaona nyota zilizopo angani na zengine zikipewa majina kulingana na mtililiko ulivo wa nyota.ila upande wa nyota umegawanyika kisayansi na kiimani.

Hapa nitachukua upande wa kiimani toka kwenye biblia:
Nyota isiyo ya kawaida iliwavutia “mamajusi” kutoka Mashariki, na mwishowe iliwaongoza kwa mtoto mchanga Yesu, anaeleza mwandikaji wa Biblia, Mathayo. (Mathayo 2:1-12)

Kwa nini nimetumia mfano wa biblia ?. nilikutana mzee mmoja alinieleza miaka ya nyuma ya mababu zetu kuanzia koo au vijiji vyao vilifata eneo au kukaa karibu na nyota ilipo. Mimi ni mpenzi wa channel ya National geograph,discover na kwa upande wa youtube ni channel za tafitini na sayansi.

Katika pita za kuangalia kuna wanajolojisti waliogundua mapiramidi yasiyo tambulika huko msitu wa wa amazon waliweza kutumia kanuni ile ile iliyotumika kujenga Mapiramidi ya Misri.

Kwenye mapiramidi ya Misri nayo yalifata nyota kama mtaweza kufatilia.

Je, ilikuwa na sababu gani?
 
Back
Top Bottom