mke

The MPT (stands for Turkish: Millî Piyade Tüfeği, English: National Infantry Rifle) is a modular rifle family designed by MKEK and produced by MKEK, Sarsılmaz Arms and Kalekalıp to meet the demands of the Turkish Armed Forces and to replace its aging rifles such as Heckler & Koch G3 and Heckler & Koch HK33 due to most of them being near the end of their service life. The MPT was designed for robust high altitude, all weather combat, capable of functioning in extreme hot and cold weather. The MKEK MPT is a rifle intended to take abuse and extreme mistreatment and still maintain high accuracy and reliability in order to survive in true battle environments. The Turkish government has invested US$22 million into the project.It made its first public appearance at the Eurosatory 2014, ADEX 2014 and the MSPO 2014 events.

View More On Wikipedia.org
  1. NetMaster

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kumuokoa rafiki yangu, Huu ukarimu wa baba mwenye nyumba umepitiliza, nahisi kamzalisha mke wa rafiki.

    Nahisi baba mwenye nyumba yupo hatua 5 mbele zaidi kuliko rafiki yangu. Ipo hivi, rafiki yangu kapangisha kanyumba kadogo anaishi na mke wake, kwenye kiwanja kuna nyumba ndogo mbili, nyumba nyingine kuna mpangaji mwengine ila hua anasafiri sana. sasa mke wa rafiki yangu alijifungua kama wiki 2...
  2. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Namshangaa mke wangu ananunua sana CHUPI kuliko Sindiria ona sasa matiti yanadondoka TUBWi, hadi wa Ng'ambo wanaliona TITI lililo lala ni aibu

    Miaka kadhaa iliyopita nikiwa maeneo ya Namanga Makangira nikiwa njiani kuelekea kanisa la St Peter pale, nilipofika karibu na shule ya msingi Mbuyuni Kuna gari moja ilitokea Mwenge, karibu na Mbuyuni palikuwa na kijishimo uchwara yule bwana aliendesha gari Kwa kasi na kunimwagia Yale maji(kama...
  3. Vifaranga200

    JamiiForums Tanzania Nilivyochuniana na mke wa mtu kisa nili underperform

    Nisikuchoshe. Huyu mwanamke nilitafuta kila njia kuachana naye. Alistukiwa na mumewe na akaniambia amestukiwa, hakujua anani alert, nikajisemea ni Muda sahihi kuachana na kukimbia mbio. Siku moja nilimpiga mambo, show ilikuwa chini ya kiwango, yaani Ile ilikuwa sshow ya kichovu. Baada game...
  4. 900 Itapendeza zaidi

    JamiiForums Tanzania Mke, mume wafa kwenye ajali iliyoua sita Kiteto

    Ajali hiyo imetokea eneo la Pori namba moja Kata ya Partimbo wilayani Kiteto Mkoani Manyara baada ya gari la wagonjwa kugongana uso kwa uso na gari dogo. Watumishi sita wa Serikali, Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara, wakiwamo mke na mume, wamefariki dunia na wengine watano wamejeruhiwa baada ya...
  5. KIBOD3

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekuta Condom na kilainishi kwenye Pochi ya Mke wangu

    Habari wanajamvi, mimi na mke wangu tuna miaka 4 ya ndoa tangu mwanzo wa mahusiano yetu sijawahi kuona dalili zozote kwamba ananisaliti na familia yetu ikiwa inaishi kwa amani na furaha. Sasa mwezi uliopita wakati natafuta earpods katika mkoba wake wa kazini nikakuta condom ya kiume aina ya...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Salma Kikwete ni Mwanamke wa Shoka, Mke, Mama, na Kiongozi. Ashusha hoja 10 za nguvu, aanza na Samia na kumaliza na Samia!

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala hizi, "Kwa Maslahi ya Taifa" kuzungumzia jambo lolote lenye maslahi kwa taifa letu liwe ni jambo la kisiasa, kiuchumi au kijamii. Kwa vile mimi ni mtu wa mastori stori yaani story teller, naomba nianze kwa mastory ya ilikuwaje...
  7. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kufuma messages za kumtumia muamala mchepuko, mke aja juu nae achukua kiasi cha pesa huku akiapa kutokirudisha. Busara ni kufanya nini hapa?

    Ndo hivyo wadau! Mke afuma muamala wa 20k kwenda kwa mchepuko huku msg za kushukuru na malavidavi nyingi tu. Mke akasirika na kuzama mfukoni mwa suruali ya mumewe wakati yupo bafuni na kutoka na 30k huku akijiapiza kutoirudisha hiyo kwa madai kuwa anapata tabu kumbe hela zinaenda kwa malaya...
  8. ROOM 47

    JamiiForums Tanzania Nikipata mshahara tu ghafla mke wangu namuona kama anageuka kuwa ngendere

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, yaani nikipata mshahara tu gafla namuona wife anataka kugeuka kuwa ngedere, yaani anabadilika kabisa huwezi amin. Yaani nataman hata kumpeleka Hifadhi ya Mikumi. Kwanza masikio yake nayaona yanataka kuwa marefu kama ngedere, manyoya ya mgongo...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kitakachokufanya uone mambo ni rahisi ni "Imani" wakati "Akili" itakufanya uone mambo ni magumu

    Kwema Wakuu! Leo sina mengi ya kuandika, Watoto wanaimani kuliko watu wazima. Sio ajabu wakaona mambo ni rahisi. Imani ndio kitu pekee kitakachokufanya uone maisha ni Rahisi. Ukiona unayaona maisha ni magumu basi elewa tayari ushaanza kukomaa kiakili. Hiyo ni ishara Namba moja ya mtu...
  10. Rabonn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Almanusura brother kunyimwa mke ukweni

    Habari zenu wadau, mambo vipi? Moja kwa moja kwenye mada. Juzi kati nikiwa katika harakati zangu za kuzunguka sana mikoani kuuza maneno (marketing) kulingana na nature ya kazi nayofanya ili mradi tu nipate wateja (sales) wa kunipatia mkate wa kila siku nikajikuta niko Iringa mjini. Hapa mimi...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kuzembea wajibu wa matunzo makusudi kunaweza kuvunja Ndoa

    Maana ya Talaka Sheria inayosimamia masuala ya talaka ni sheria ya Ndoa ya mwaka 1971. Na kwa mujibu wa sheria hiyo, “Talaka ni ruhusa ya kisheria ambayo mume au mke hupewa wakati anapomwacha mwenzie”. Chombo chenye mamlaka ya kutoa talaka Chombo pekee chenye uwezo wa kuvunja ndoa ni...
  12. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu mke wangu kutokubadilika

    Habari za Leo Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 35 nimeoa na kubahatika kupata watoto wawili. Nimeoa takribani miaka 6 iliyopita na mke wangu nilimtoa kijijini kutokana na hali yangu ya uchumi haikua sawa. Changamoto iliyofanya kuandika huu uzi ni kwamba mke wangu habadiliki kabisa, ule...
  13. NetMaster

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni sawa kwa mwanaume kumtafutia mke wake 'Bull' wa kumridhisha kama yeye hawezi?

    Haya mambo siyo fantasy, ni mambo yapo kabisa kuhalisia. Kila mwanadamu kapewa matamanio, wake kwa waume, haya matamanio yasipopunguzwa huwa si ajabu kuzuka mabalaa. Kwa hali hii kuna baadhi ya wanaume wasio na uwezo wameshakubali matokeo na kuwatafutia wake zao njia mbadala. Mwanaume anajiona...
  14. 44mg44

    JamiiForums Tanzania Kumbe unaweza ukawa na mke ndani akawa anakubania ila wa nje anawapa?

    Wazoefu mnijibu swali langu, wa nje anawakubali kirahisi wanafanya yao halafu wanaondoka lakini mume wake wa ndani anambania. Yaani mpaka dakika tisini zinaisha mke kabana, tatizo ni nini hapa? NB: Siongelei timu za Kariakoo.
  15. To yeye

    JamiiForums Tanzania Dalili za mke au mume aliyekuchoka

    Yaan kakuchoka au hajawahi kukupenda na aliingia kwenye ndoa akiwa na malengo yake Mi naanza na; 1. Kosa dogo tu kakasirika au kudai talaka kabisa. 2. 3. 4. 5. 6.Nakuendelea.... Kupopolewa ruksa maana katika maisha lazima upokee hasi na chanya.
  16. Mr George Francis

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wema wangu umeniponza nimefirisika na kukimbiwa na mke

    MDAU ANAOMBA USHAURI "Mimi ni mtoto wa tatu kuzaliwa kwenye familia ya watoto wanne kwa wazazi wetu huko Moshi - Kilimanjaro. Nilikuja mjini Dar es Salaam kwa kusaidiwa na kaka zangu wawili hasa huyu wa pili kuzaliwa. Kwa taratibu za kule kwetu uchagani huwa tuna desturi ya kushikana mkono...
  17. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Mchungaji asimamishwa kazi tuhuma za kumtorosha mke wa muumini wake

    MCHUNGAJI wa Kanisa la Anglikana Yombo Kiwalani jijini Dar es Salaam Edwin Taji, amesimamishwa kutoa huduma ya kichungaji baada ya kudaiwa kumtorosha mke wa muumini wake na kumpangishia nyumba maeneo ya Pugu Kajiungeni. Madai hayo yametolewa na muumini wa kanisa hilo ambaye ni Mume wa mwanamke...
  18. muu00

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji mke, awe na umri wa miaka 18-32

    Habari zenu wana JamiiForums nahitaji mke alie na utulivu wa nafsi na siyo mwenye tamaa. Awe MUSLIM na pia awe bado hajazaa, umri awe 18-32. Awe mweusi au mweupe, pia awe na umbo zuri (shape). Mimi ni mweupe, mrefu kiasi, umri wangu 33, ni mfanya biashara. Kama upo serious karibu PM au ni...
  19. Yofav

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninapoishi ni mimi pekee ambae sijaoa

    Habari wakuu, (Brothers, Sisters, Baba na Mama mliomo humu) Kama heading inavyosema hapo juu, Ni kwamba nilipopanga chumba nimejikuta mimi pekee ndiye sina mke, Ipo hivi; Mimi ni kijana mwenye miaka 23 na niliwahi kuishi na mwanamke (yeah, niliishi na dada mmoja tuliishi kwa miaka mitatu na...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kenya: Mlinzi wa mke wa Raila Odinga auawa kwa kupigwa risasi

    Mlinzi huyo aliyefahamika kwa jina la Barrack Jaraha ameuawa leo Ijumaa Oktoba 14, 2022 nyumbani kwake huko Riat, Kaunti Ndogo ya Kisumu saa 11 alfajiri. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Nyanza, Karanja Muiruri amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, akisema uchunguzi unaendelea ili kubaini sababu za...
Back
Top Bottom