Mke wangu ananidharau nifanyeje?

Bundakwetu

JF-Expert Member
Nov 18, 2022
551
1,006
Habari zenu humu kwenye Jukwaa hili pendwa, mimi nimeoa mke na tumefanikiwa kupata watoto wa 3 wote wa kike, sasa mke huyu mwaka wa 8 huu hajawahi kuniwekea maji bafuni wala kunufulia nguo zangu. Sasa watoto wangu hatimae wamekuwa na wameanza kujitambua.

Kinachoniuma ni kuona watoto wakishuhudia mimi kama baba wa familia nikiwa nafua nguo zangu mwenyewe, mke nikimwambia anifulie wakati mwingine anajibu kabisa kuwa sifui! Hali hii inanishangaza na kunisikitisha, sasa naombeni ushauri nioe mwingine au nifanyeje? Upendo kwake kiukweli haupo kutokana na anavyonidharau, naomba ushauri wenu.

Nawasilisha.

Pia soma: Asanteni Jf kwa ushauri wenu na hiki ndicho nilichokiamua
 
Habari zenu humu kwenye Jukwaa hili pendwa, mimi nimeoa mke ( Mrangi) na tumefanikiwa kupata watoto wa 3 wote wa kike sasa mke huyu mwaka wa 8 huu hajawahi kuniwekea maji bafuni wala kunufulia nguo zangu sasa watoto wangu hatimae wamekuwa na wameanza kijitambua, kinachoniuma ni kuona watoto wakishuhudia mimi kama baba wa familia nikiwa nafua nguo zangu mwenyewe mke nikimwambia anifulie wakati mwingine anajibu kabisa kuwa sifui hali hii inanishangaza na kunisikitisha sasa naombeni ushauri nioe mwingine au nifanyeje upendo kwake kiukweli haupo kutokana na anavyonidharau naomba ushauri wenu.
Nawasilisha.
Kwenda kuoga mtoni unaona nini?Yani kuwekewa maji ya kuoga ndiyo iwe habari?Nenda mtoni uoge.
 
Habari zenu humu kwenye Jukwaa hili pendwa, mimi nimeoa mke ( Mrangi) na tumefanikiwa kupata watoto wa 3 wote wa kike sasa mke huyu mwaka wa 8 huu hajawahi kuniwekea maji bafuni wala kunufulia nguo zangu sasa watoto wangu hatimae wamekuwa na wameanza kijitambua, kinachoniuma ni kuona watoto wakishuhudia mimi kama baba wa familia nikiwa nafua nguo zangu mwenyewe mke nikimwambia anifulie wakati mwingine anajibu kabisa kuwa sifui hali hii inanishangaza na kunisikitisha sasa naombeni ushauri nioe mwingine au nifanyeje upendo kwake kiukweli haupo kutokana na anavyonidharau naomba ushauri wenu.
Nawasilisha.
Hela, Money,mkwanja, mpunga, Fedha, pesa,kibunda... Tafuta helaaa
 
Habari zenu humu kwenye Jukwaa hili pendwa, mimi nimeoa mke ( Mrangi) na tumefanikiwa kupata watoto wa 3 wote wa kike sasa mke huyu mwaka wa 8 huu hajawahi kuniwekea maji bafuni wala kunufulia nguo zangu sasa watoto wangu hatimae wamekuwa na wameanza kijitambua, kinachoniuma ni kuona watoto wakishuhudia mimi kama baba wa familia nikiwa nafua nguo zangu mwenyewe mke nikimwambia anifulie wakati mwingine anajibu kabisa kuwa sifui hali hii inanishangaza na kunisikitisha sasa naombeni ushauri nioe mwingine au nifanyeje upendo kwake kiukweli haupo kutokana na anavyonidharau naomba ushauri wenu.
Nawasilisha.
Utakavyoanza ndivyo utakavyomaliza.
Ulianza hivyo mwanzo sasa ushakuwa utaratibu
 
Ww ndo chanzo cha matatizo, umelea ugonjwa mwenyewe na haya ndio matokeo yake.

Nadhani uliingia kwenye penzi mzima mzima, ukaona viuno,shape na rangi ya mtume ni vya maana sana, ukapuuzia tabia mbaya za mke kipindi cha awali, sasa yamekufika shingoni ndo unapata akili.

Pole sana umelikoroga mwenyewe kaka.
 
UZI ULITAKIWA UISHIE HAPO KWENYE UMEOA (MRANGI)

UJue vijana tunakosea kujua tabia za makabila,
Huwezi kuishi na mke wa kirangi kama unavyoishi na mke mnyamwezi!

Huwezi ishi na mke wa kichaga kama unavyoishi na mke mzaramo!

Kila kabila lina mbinu zake, Tatizo kubwa lipo kwa waoaji wanaume sisi ndo hatutambui!
Kabla hujaoa kama huwezi kucheza na biti za hilo kabila kwanini unaoa?

Walangi ni wababe na ni watamu na ubabe wao , wachaga ni jeuri lakini ujeuli wao unafaida, wazaramo wana mauno wanafaida na mauno yao!

Ukitaka sifa za huku ulete kule utachemka tu!

Oweni wake wa matamanio yenu bhana mnatusumbua kutoa ushauri

Ajabu huyo unaesema hapeleki maji akiolewa na mwingine maji anatenga vizuri!

Siku moja jamaa alimuacha mwanamke kisa hakati mauno, lakini alikoenda kuolewa jamaa yake alikatiwa mauno balaa!

Hivyo tatizo siyo mwanamke ni namna ya kumuanzisha, unavyoanza naye ndivyo mtakavyomaliza
 
Kwani umesikia mke ni drycleaned kuwa akufulie ngue au make no chief kuwa akupikie... Wanaume tubadilike mitazamo na kusoma alama za nyakati... Sio mbaya mwanamke kukufanyia utakacho ila vingine kama unaweza Fanya mwenyewe tena kwa upendo mkubwa
 
Habari zenu humu kwenye Jukwaa hili pendwa, mimi nimeoa mke ( Mrangi) na tumefanikiwa kupata watoto wa 3 wote wa kike sasa mke huyu mwaka wa 8 huu hajawahi kuniwekea maji bafuni wala kunufulia nguo zangu sasa watoto wangu hatimae wamekuwa na wameanza kijitambua, kinachoniuma ni kuona watoto wakishuhudia mimi kama baba wa familia nikiwa nafua nguo zangu mwenyewe mke nikimwambia anifulie wakati mwingine anajibu kabisa kuwa sifui hali hii inanishangaza na kunisikitisha sasa naombeni ushauri nioe mwingine au nifanyeje upendo kwake kiukweli haupo kutokana na anavyonidharau naomba ushauri wenu.
Nawasilisha.
Tafuta hela dogo, nguo peleka kwa dobi. Maji peleka mwenyewe, hama chumba. Safiri bila taarifa. Hela ya kula kabidhi watoto au house girl. Atakaa sawa tu. Wala usimfokee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom