Haya mambo ya kupata mke mtandaoni yana ukweli?

666 chata

JF-Expert Member
Mar 14, 2013
1,688
3,818
Tunaweza tukawa tupo kwenye mahusiano na wapenzi wetu tunaotarajia kuwaoa ila tunazinguana/kugombana kila siku, wakati kuna mitandao ambayo ipo kiganjani kwetu inaweza kututimizia haja ya mioyo yetu.

Kiufupi, watu wengi hatuna muda wa kutongoza, hatuna muda wa kupita mitaani na kuangalia angalia mabinti na kuanza kuwatongoza, so unakuta upo kwenye mahusiano kwa mazoea tu kusogeza siku ziende na kungojea mabadiliko ya mwenzako then ndo umuoe, ila still kunatokea hakuna mabadiliko.

Sasa yawezekana humu mitandaoni kweli kuna mabinti wana dhamira za dhati kabisa za ndoa na roho zao ni nyeupe sana zenye kutamani ndoa na wakiwa na sifa zote. Sasa basi, naomba nijibiwe swali ilo kwa shuuda mbali mbali na mie nianzee upyaaaaaaa😂😂

Wadau hivi vitu ni kweli?
 
Ni kweli kabisa ondoa hofu ya kuwa kila mtu ni tapeli lakini elewa wenye Nia,uhitaji wa kweli wapo na Tapeli wapo,waliokuwa humu ndio hao unaopishana nao,kusalimiana nao mtaani,kazini ,kanisani na msikiitini

Naomba unielewe
 
Tofauti ya ku-bet na kutafuta mnawamke mitandaoni ni ndogo sana,kumbuka 1/Dec ili kuwa ni juzi tu na watafiti wamesema ya kwamba asilimia 70 ya maambukizi mapya ya UKIMWI ni vijana kati ya miaka 14 hadi 25 na hao ndio wamejaa humu mitandaoni
 
Attachments

  • FB_IMG_1455102332407.jpg
    FB_IMG_1455102332407.jpg
    52 KB · Views: 2
I thnk inawezekana. Sema wengu wanaogopa coz wanaume wengi wako kimasihara zaidi.
Lakini ukieka bandiko lililoshiba vzur unapata mwandani kbsa
Kwa mfano makaveli10 juzi alileta mrejesho kuhusu kupata mtoto kutokq kwa mdada wa hapa haoa Jf. Ni hongera kwake.
Lakini ukiangalia bandiko lake la.kutafta mke lilikua limeshiba na uweledi wa kutosha.
So i think its all abt nia , dhamira.na kujua unachokitaka. Sio kugeneralize vitu
 
Imagine, unaandika tu, namtaka mke mwenye sifa hizi, sijui mweupe, ana vi maziwa vidogo, mkristo, umbo la wastani, elimu yoyote tu, msafi n.k nk. alaf boom unampata vile vile the same. Yaan its like unajibumbia mke wako na anakua. surely i will try this.
 
Waliokuwepo mtandaoni ndio hao hao hao wanaoishi mtaani.

Unataka kuniambia wanawake wote jf ni malaya, hapana si kweli, japo sikatai kuwa malaya ni wengi, kama vile uonavyo mtaani malaya na watulivu malaya ndio wengi kwa siku hizi. Basi na mitandaoni ni hivyo hivyo

Unataka kuniambia wanaume wa jf wote ni malaya,!? Hapana si kweli, japo sikatai malaya ni wengi, kama vile uonavyo mtaani, malaya na watulivu, malaya ni wengi

Mtandaoni kuna wachamungu, washenzi, malaya, wastaarabu, walevi.. Ni kama vile mitaani, sababu wanaochati humu ni watu na sio maroboti, ndio wale wale tunaoishi nao mitaani.
 
I thnk inawezekana. Sema wengu wanaogopa coz wanaume wengi wako kimasihara zaidi.
Lakini ukieka bandiko lililoshiba vzur unapata mwandani kbsa
Kwa mfano makaveli10 juzi alileta mrejesho kuhusu kupata mtoto kutokq kwa mdada wa hapa haoa Jf. Ni hongera kwake.
Lakini ukiangalia bandiko lake la.kutafta mke lilikua limeshiba na uweledi wa kutosha.
So i think its all abt nia , dhamira.na kujua unachokitaka. Sio kugeneralize vitu
Wanaochati humu(mitandaoni) ndio wale wanaoishi mitaani, siku hizi mtaani malaya ni wengi,(wale malaya officials na wale wazee wa kimya) watu wema wachamungu, nakadhalika.. Basi na humu mtandaoni kupo hivyo hivyo
 
Back
Top Bottom