mke

The MPT (stands for Turkish: Millî Piyade Tüfeği, English: National Infantry Rifle) is a modular rifle family designed by MKEK and produced by MKEK, Sarsılmaz Arms and Kalekalıp to meet the demands of the Turkish Armed Forces and to replace its aging rifles such as Heckler & Koch G3 and Heckler & Koch HK33 due to most of them being near the end of their service life. The MPT was designed for robust high altitude, all weather combat, capable of functioning in extreme hot and cold weather. The MKEK MPT is a rifle intended to take abuse and extreme mistreatment and still maintain high accuracy and reliability in order to survive in true battle environments. The Turkish government has invested US$22 million into the project.It made its first public appearance at the Eurosatory 2014, ADEX 2014 and the MSPO 2014 events.

View More On Wikipedia.org
  1. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Mwanajeshi ajinyonga, aandika ujumbe kwa mke wake "Naomba uwatunze watoto nimejitahidi nimeshindwa"

    Askari wa jeshi la Wananchi la Tanzania aliyetambulika kwa jina la William Chacha Giriago mwenye umri wa miaka 40 amekutwa amefariki kwa kujinyonga. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, RPC Martin Otieno amesema mtu huyo amejinyonga kwa kutumia mkanda wa suruali yake aliyokuwa ameufunga kwenye...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume hawezi kukupenda kama anavyompenda mke wake, never ever!

    Anaandika Robert Heriel. Haijalishi atakuambia nini, haijalishi atakupa nini. Mwanaume hawezi kukupenda Kama anavyompenda mkewe. Hilo wala sio siri, wanaume wote duniani tupo hivyo. Asije akakudanganya mtu kuwa ati anakupenda kuliko mkewe huo ni uongo na amekuona hamnazo kichwa maji. Ndio...
  3. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke anaunguza chakula kila siku

    Mke wangu ananipikia chakula kilichoungua kila siku. Nimejaribu kumfundisha lakini amekuwa mkaidi kufuata maelekezo yangu. Hataki kufundishwa wala kuelekezwa chochote. Kama mnavyofahamu vyakula ni gharama sana. Imekuwa kama nateketeza pesa zangu kwa kumwaga vyakula vilivyoungua kila siku...
  4. sanalii

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namuogopa mke wangu, anaweza kuniua

    Mwandani wangu amesema endapo akisikia tu ninamchepuko ataniua tena nikiwa usingizini, anasema hata niuliza atachunguza kisiri siri then akiwa na ushahidi ataniua. Kwamba ni bora asinione kabisa, nimemuuliza kuhusu yeye kufungwa jela anasema hio hajali kikubwa asinione. Nimemwambia akisikia...
  5. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa rafiki yangu anavaa mavazi ya kiume

    Rafiki yangu tuliyesoma wote yeye yupo kwenye mahusiano na mwanamke kutoka Arusha ingawa bado hawaja tambulishana kwa ndugu na wazazi mpaka sasa. Rafiki yangu amekuwa akiniomba ushauri sijui namsaidiaje, anadai kuwa anampenda sana huyo binti nae binti halikadhalika, tatizo kubwa ni kwamba huyo...
  6. Mr George Francis

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimependwa na mke wa mtu lakini watu wananionea wivu

    Habari yako, Sorry leo nipo hapa katika jukwaa hili naomba ushauri kuhusiana na hili ninalolileta kwako muda huu. Naitwa Mr George Francis kwa jina maarufu. Kuna dada mmoja anaitwa Latipha niliwahi kusoma nae sekondari. Kipindi hicho tulikuwa na mahusiano lakini tulivyomaliza shule, mahusiano...
  7. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Mke wa hayati Mrema akimlilia mumewe

    Jamani mshahesabiwa huko? Wandugu Kama mjuavyo penye msiba hapakosi kilio... huyu hapa chini ni mke wa hayati Mrema akimlilia mumewe kwa uchungu... Wanazengo wengi wametoa maoni yao kwamba hiki sio kilio cha kweli kwani mliaji wa ukweli hawezi kulia na miwani, pia mliaji wa kweli anatoa...
  8. Nobunaga

    JamiiForums Tanzania Mume kizimbani kwa kutishia kumuua mke kisa kupeleka chakula kwa mchungaji

    Japo kutishia kuua ni kosa, ila alilofanya huyu dada ni ujinga na upumbavu kwa wakati mmoja. Hatukatai mtu kumtolea Bwana sadaka ila aina hizi za sadaka ni dhambi si sadaka tena. --- Joseph Moses dereva wa ‘bodaboda’ mkazi wa Mbeya anayekabiliwa na shtaka la kutishia kumuua mkewe kwa maneno...
  9. whiteskunk

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anataka kuwa mke bora baada ya kunidharau

    Tulidumu karibu miaka 10, nia yangu ilikiwa ni kumuoa ila baada ya kukamilisha mipango niliyojiwekea, ilipobaki miezi michache tuoane akanikalisha chini akaniambia kuwa hawezi kuendelea kuwa na mimi. Ikabidi niheshimu mawazo yake japo roho iliniuma mpaka kufikia hatua nikawa napata maumivu...
  10. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Habari kwanini humtunzi mkeo kama ninavyomtunza wangu? Kwanini mimi mke wangu simfananishi na wako? Je, tukiwaweka sawa watafurahiana?

    Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema kwa kutuamsha wote tukiwa SALAMA saliminin,lakini pia hata Kwa wale wenye changa moto afya Tumwombe Mungu wetu sote awaponye na kuwarejeshea afya njema. Nitakuwa kiumbe cha ajabu nisipo mshukuru Mungu kwa AJILI ya walio twaliwa maana nayo...
  11. Joao de Matos

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume njooni hapa, Unapotafuta mke, Ni sahihi kumueleza binti unataka kumuoa unapomtongoza kwa Mara ya kwanza?

    Habari wanajamii forum. Nimekuwa na maswali mengi kuhusu Unapotafuta mke. Na inapofika hatua ya kumpenda binti flani na kumueleza hisia zako za kutaka kuwa nae, hivi Ni sahihi kumueleza Moja kwa moja kuwa unataka kumuoa? Maana kuna vitu najiuliza, kwamba wakati mwingine inaweza kuwa njia...
  12. JITU LA MIRABA MINNE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba awe mke baadae awe mwalimu miaka 24+ awe secondary

    Uwe mrembo mwenye msimamo, unajitambua na mchapakazi, sichagui kabila mm nipo Dar, mfanyakazi wa serikali taasisi ni siri yangu tuonane pm tutambuane mm ni half maji ya kunde,urefu Sm 177 mwanamke awe mweupe au maji ya kunde Nipo serious Nahtaj mwalimu kwani atakua mama,mlezi,na mwalimu kwa...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mke wa Rais wa Marekani akutwa na COVID-19

    Ikulu ya Marekani imesema Jill Biden, Mke wa Rais wa Marekani Jill Biden amepimwa na kukutwa na maambukizi ya COVID-19. Taarifa ya Elizabeth Alexander, Mkurugenzi wa Mawasiliano kutoka ofisi ya Mke wa Rais imesema Jill Biden anakabiliwa na home kidogo na ameanza kutumia dawa ya Paxlovid...
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ana viatu pair 75, handbags 47, mikanda 70, mawigi 62 nimeamua kumuacha kimya kimya

    Nimetoka kufanya sensa ya vitu anavyomiliki huyu kiumbe, hapo sijahesabu nguo zake, yaani akisema afungue boutique hana haja ya kuagiza mzigo China. Hapo gesi imeisha wiki nzima hana hela ya gesi,friji ni kama simtank limejaa maji tu Nimeona hanifai, sitaki ushauri nawapa tu taarifa, msije...
  15. sanalii

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unajisikiaje unapokutana na ex wa mke wako au mpenzi wako?

    How it feels to meet someone who was once in love with your wife or love, the man whom your wife/love was once madly in love with him, doing all stupid stuffs? The man who sees your wife through the dressing she has? how is the experience ? those who married single mothers are special and they...
  16. MsosaJr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia za mke wa jamaa zinamchanganya

    Wanawake wa pwani Wana mambo
  17. Nakukunda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wanaotaka kuoa, tafuta mke unayemmudu

    Habari, Nimekuwa nikifuatilia nyuzi mbalimbali hapa, nilichojifunza mapenzi ni dynamic, not all size fit for all. Sio kila ushauri unaweza kuwork kwenye mahusiano yako sababu tunadeal na wenza wenye haiba mbalimbali, utashi, tabia, uwezo na personality nk. Muhimu kwa kaka na wadogo zangu wa...
  18. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, Ukiwa upo vizuri kiuchumi na wanawake wengi wanazipenda hela zako, unaweza kupata mke Loyal kwa kujifanya masikini kama kwenye muvi za wanaijeria?

    Ni kazi sana mwanamke kujuia na pesa za mwanaume labda awe ni mtoo wa kishua au ana kazi yake inamlipa fresh, Hali hii imepelekea vijana wengi wenye pesa kutembea ama kuoa wanawake wanaojali pesa zao tu, na endapo kukawa kuna mtu mwenye pesa zaidi basi hawajiulizi mara mbili kukuacha ama...
  19. Bujibuji mafuriko

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu anapenda hili neno "kunyandua" yaani nilimtamani lakini basi tena!

    Kwenye haya mambo hakuna haja ya salamu! Mke wa Ngosha mmoja mweny asili ya kimanga mchanganyiko na wayao alinivutia Sana siku za mwanzo. Kadri tulivyozidi kuwa karibu mdomo ukachemsha. Matamsh yalimdharaulisha
  20. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Huyu mwenzenu alikimbiwa na mke kisa ni kumlisha kauzu na dona kila siku

Back
Top Bottom