Mke wa Benson Kigaila ni mmoja ya wabunge 19 wa CHADEMA, na hupeleka mshahara nyumbani

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,002
20,661
Mke wa Benson Kigaila anapopokea mshahara, lazima anakuja nyumbani na ka mchele, ka maharage, shati la Benson Kigaila, nguo za watoto. Bila shaka Benson Kigaila akikaa meza ya chakula, huwa anakula mshahara unaotoka kwa Mkewe, lakini akienda jukwaani, akiwa amevaa shati na viatu alilonunuliwa na mkewe ameshashiba, anasema ubunge wa Mkewe so halali.

Mke wa Benson Kigaila ni moja kati ya wabunge 19, maarufu COVID-19, Kigaila ni moja ya maafisa wa juu kabisa wa CHADEMA, Naibu Katibu Mkuu, hii inanipa hisia kwamba ni kweli chama kiliwateua, lakini kililazimika kuwakana baada ya mke wa Lissu kukosa nafasi.

Waliokuwepo walijimegea na kimsahau Lissu. Akawatisha kuondoka Chadema kama hawataondoa listi ya wabunge hao.

Kingine cha ajabu, wanahamasisha Watanzania waingie mitaani, sijui katiba mpya, zikitokea nafasi wanawapa wake zao.

Screenshot_20221127-114806.jpg
 
Hili igizo halijakaa sawa hata sisi tumeoa tunajua uhalisia wa mambo

Ni ngumu saaana mke kabsa kushindwa kukushirikisha jambo kubwa la namna hii labda iwe ndoa mfu

Maana kama hajakushirikisha jambo kubwa na la usaliti la namna hiyo unadhan ana siri ngapi kubwa ambazo hauzijui.
 
Chadema nawafananisha na chichi dodo, ndege huyu hapendi kabisa kinyesi, ila huwa anakula funza wanaotoka katika kinyesi hicho.

Mke wa Benson Kigaila anapopokea mshahara, lazima anakuja nyumbani na ka mchele, ka maharage, shati la Benson Kigaila, nguo za watoto. Bila shaka Benson Kigaila akikaa meza ya chakula, huwa anakula mshahara unaotoka kwa Mkewe, lakini akienda jukwaani, akiwa ameshashiba, anasema ubunge wa Mkewe so halali.

Mke wa Benson Kigaila ni moja kati ya wabunge 19, maarufu COVID-19, Kigaila ni moja ya maafisa wa juu kabisa wa CDM, Naibu Katibu Mkuu, hii inanipa hisia kwamba ni kweli chama kiliwateua, lakini kililazimika kuwakana baada ya mke wa Lissu kukosa nafasi. Waliokuwepo walijimegea na kimsahau Lissu. Akawatisha kuondoka Chadema kama hawataondoa listi ya wabunge hao.

Kingine cha ajabu, wanahamasisha Watanzania waingie mitaani, sijui katiba mpya, zikitokea nafasi wanawapa wake zao.

Mbona kawaida tu, hata Zitto alipotaka kuhama Chadema mbona mama yake hakumfuata!! So sio lazima mke akifanya majanga basi kigaila anahusika Kila mtu ana maamuzi yake kisiasa!!

Kuhusu Lissu au whatever, majina ya wabunge yanapitishwa na kamati kuu not otherwise
 
Mimi kinachonishangaza % kubwa ya walioteuliwa/jiteua ni wake wa viongozi au michepuko yao
Nani mwingine? Huyo Kunti ni kiongozi BAWACHA so hata bunge lililopota aliingia kwa tiketi ya BAWACHA same to Hawa Mwaifunga ambaye ni mke wa Bananga unless hoja ingekua kwanini viongozi wa Chadema wanaoa viongozi wenzao!!!
 
Kamati kuu wote walipiga kura kuwa Mdee na wenzake watimuliwe so keshachukua hatua, angekua anamtetea kama Bananga angetakiwa ajiuzulu.
Kwa upande wangu naamini kiongozi anajua hilo picha vizuri kabsaaa

Ndio maana nikasema ni ngumu sana mke aungane na watesi wenu bila kujua na bado hali ibaki shwari ndani

Ila kwavile ni siasa na wanasiasa anaweza kujitetea kwa namna yoyote na akaeleweka

Hivi unaamini kabsa yule mke wa Lissu anaweza kwenda kuapishwa huku Lissu hajui na bado ukawa unawaona wapo wote

Labda tukubaliane kuwa hilo jambo sio kubwa ni la kawaida tu ambalo halina athari kwa Chama wala nchi.
 
Du!!! Kama ni kweli basi Chadema kuna uhuni na uzandiki uliopitiliza. Case closed.
Ukweli upi? Majina hayakupitishwa na kamati kuu so whether Kigaila alishiriki or not it doesn't matter maana walifukuzwa, na Kigaila alipiga kura ya NDIO!! So kilichobaki ni Dr Tulia kuheshimu maamuzi ya Baraza kuu.
 
Chadema nawafananisha na chichi dodo, ndege huyu hapendi kabisa kinyesi, ila huwa anakula funza wanaotoka katika kinyesi hicho.

Mke wa Benson Kigaila anapopokea mshahara, lazima anakuja nyumbani na ka mchele, ka maharage, shati la Benson Kigaila, nguo za watoto. Bila shaka Benson Kigaila akikaa meza ya chakula, huwa anakula mshahara unaotoka kwa Mkewe, lakini akienda jukwaani, akiwa ameshashiba, anasema ubunge wa Mkewe so halali.

Mke wa Benson Kigaila ni moja kati ya wabunge 19, maarufu COVID-19, Kigaila ni moja ya maafisa wa juu kabisa wa CDM, Naibu Katibu Mkuu, hii inanipa hisia kwamba ni kweli chama kiliwateua, lakini kililazimika kuwakana baada ya mke wa Lissu kukosa nafasi. Waliokuwepo walijimegea na kimsahau Lissu. Akawatisha kuondoka Chadema kama hawataondoa listi ya wabunge hao.

Kingine cha ajabu, wanahamasisha Watanzania waingie mitaani, sijui katiba mpya, zikitokea nafasi wanawapa wake zao.

chichi dodo ni yale majinga yasiyopenda mabeberu ila yanapenda hela za mabeberu usiku na mchana yanazurura kuombaimba hela za mabeberu
 
Unapo owa feminist jua kibaya kwake ni kumfumania tu, vitu vingine ni maisha Yao uwezi kumzuia mwanamke anapojiona yuko sahihi.

So huo mzigo usimbebeshe kihaila ausiani nao usiingilie mambo ya kifamilia Za watu acha umbea.

Kuna Familia Zina mpangilio wa kuishi ndani ya nyumba, ukumbuke uyo mke ni mwana siasa anazijua haki zake
 
Kwa upande wangu naamini kiongozi anajua hilo picha vizuri kabsaaa

Ndio maana nikasema ni ngumu sana mke aungane na watesi wenu bila kujua na bado hali ibaki shwari ndani

Ila kwavile ni siasa na wanasiasa anaweza kujitetea kwa namna yoyote na akaeleweka

Hivi unaamini kabsa yule mke wa Lissu anaweza kwenda kuapishwa huku Lissu hajui na bado ukawa unawaona wapo wote

Labda tukubaliane kuwa hilo jambo sio kubwa ni la kawaida tu ambalo halina athari kwa Chama wala nchi.
Mkuu najua lazima Kuna walio shiriki ila tayari wote kwa sauti Moja wamewafukuza hao wabunge (Akiwemo mke wa Kigaila) kwenye chama; so kama Dr Tulia akiheshimu maamuzi ya Baraza kuu it won't matter anymore maana wameshafukuzwa
 
Nani mwingine? Huyo Kunti ni kiongozi BAWACHA so hata bunge lililopota aliingia kwa tiketi ya BAWACHA same to Hawa Mwaifunga ambaye ni mke wa Bananga unless hoja ingekua kwanini viongozi wa Chadema wanaoa viongozi wenzao!!!
Ni vizuri wana siasa kuowana wenyewe sawa na wasanii au Bongo movie kuowana wenyewe.

Ni mwanaume asiyekuwa na akili tu ndio anaweza kumuowa mwanamke mwanasiasa wakati wewe si mwanasiasa au kumuowa msanii wakati wewe si msanii, ni ukosefu wa akili tu.

Wanawake wanaoshiriki siasa wanabinuliwa sana mpaka kufikia kupata Madaraka na hii ni kwa vyama vyote.

Mbunge wa Segerea Bona Kamoli ameachwa na mume wake Advocate Karua na Sasa hivi ni mzigo wa Hussein Bashe na inasemekana amemuowa kimya kimya kabisa ni Mke wake wa Pili.

Mwanaume yeyote usiingie mkenge kuowa wanawake waliopo kwenye makundi niliyoyataja kama wewe haupo kwenye makundi hayo, hayo makundi wana tabia za Bluetooth kuconect device ambayo ipo karibu.
 
Chadema nawafananisha na chichi dodo, ndege huyu hapendi kabisa kinyesi, ila huwa anakula funza wanaotoka katika kinyesi hicho.

Mke wa Benson Kigaila anapopokea mshahara, lazima anakuja nyumbani na ka mchele, ka maharage, shati la Benson Kigaila, nguo za watoto. Bila shaka Benson Kigaila akikaa meza ya chakula, huwa anakula mshahara unaotoka kwa Mkewe, lakini akienda jukwaani, akiwa ameshashiba, anasema ubunge wa Mkewe so halali.

Mke wa Benson Kigaila ni moja kati ya wabunge 19, maarufu COVID-19, Kigaila ni moja ya maafisa wa juu kabisa wa CDM, Naibu Katibu Mkuu, hii inanipa hisia kwamba ni kweli chama kiliwateua, lakini kililazimika kuwakana baada ya mke wa Lissu kukosa nafasi. Waliokuwepo walijimegea na kimsahau Lissu. Akawatisha kuondoka Chadema kama hawataondoa listi ya wabunge hao.

Kingine cha ajabu, wanahamasisha Watanzania waingie mitaani, sijui katiba mpya, zikitokea nafasi wanawapa wake zao.

Kwani ukiishi na mkeo lazima akushirikishe mipango yake yote? Hujaona wanaume wanalea watoto sio wao? Au unategemea mke wako atakuambia mtoto si wako? Usione kila mtu anaingia ndani na mke wakafunga mlango, ukadhani ni lazima humo ndani wanalala kitanda ama chumba kimoja? Ukiwa mtu mzima utaelewa nini namaanisha.
 
Back
Top Bottom