Kijana ukihitaji kuoa chagua mke kutoka kwenye familia ya kipato cha kati

Lovebird

JF-Expert Member
Sep 27, 2012
4,504
4,513
Vipi kuhusu upendo wa kweli / Agape love ukilinganisha kwa wanaotoka kipato cha chini /kati / juuu? je wanawake wanatofautiana?
 
Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Oct 21, 2021
2,664
5,478
Vipi kuhusu upendo wa kweli / Agape love ukilinganisha kwa wanaotoka kipato cha chini /kati / juuu? je wanawake wanatofautiana?
Upendo huwa hauchagui mkuu....ni sawa na njiwa anaepaaa hutua popote, tena mwanamke anaetokea kwenye familia ya kipato cha kati au cha juu huwa anakuwa na mapenzi ya ukweli kwa sababu haendeshwi na dhiki
 
30 Reactions
Reply
Top Bottom