mke

The MPT (stands for Turkish: Millî Piyade Tüfeği, English: National Infantry Rifle) is a modular rifle family designed by MKEK and produced by MKEK, Sarsılmaz Arms and Kalekalıp to meet the demands of the Turkish Armed Forces and to replace its aging rifles such as Heckler & Koch G3 and Heckler & Koch HK33 due to most of them being near the end of their service life. The MPT was designed for robust high altitude, all weather combat, capable of functioning in extreme hot and cold weather. The MKEK MPT is a rifle intended to take abuse and extreme mistreatment and still maintain high accuracy and reliability in order to survive in true battle environments. The Turkish government has invested US$22 million into the project.It made its first public appearance at the Eurosatory 2014, ADEX 2014 and the MSPO 2014 events.

View More On Wikipedia.org
  1. eretzisrael

    JamiiForums Tanzania Je, ni sawa kuoa na kuishi kwenu na mke wako?

    Wazazi wamezeeka nyumba ni kubwa na wako peke yao na wajukuu wadogo tu. Na kwa kuwa eneo la nyumba ni kubwa kuna vyumba vya nje (double self) nilivijenga kwa ajili ya kufikia kila nnapoenda nyumbani na familia yangu. Wazazi wameniomba nihamie nikae hapo. Je, kimaadili ni sawa? Nahofia pia mama...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kauli ya " mke wangu ananipa raha" inaakisi mbwembwe za chama kushika hatamu!

    Kauli ya daktari Mpango imenikumbusha enzi za mfumo wa chama kimoja cha siasa ambapo chama kilishika hatamu. Wakati ule kiongozi aliweza kuongea neno lolote tena mahali popote bila kujali chochote kwa sababu chama kilimlinda. Waziri mmoja aliwaambia wabunge " kalalamikeni kuzimu" na baadae...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mke wa Nyalandu asema mumewe hakutaka kutoroka nchini

    Mkuu wa Wilaya ya Longido, Frank Mwaisumbe amesema, Lazaro Nyalandu amezuiwa Namanga kwasababu hakuwa na nyaraka muhimu na atafikishwa Mahakamani endapo atashindwa kuwasilisha nyaraka hizo. Mke wa Lazaro Nyalandu, Faraja Kotta Nyalandu amesema wao wanaishi Arusha na mumewe hahitaji nyaraka ili...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mke mwema

    Mimi ni mwanaume wa miaka 40 na nina watoto 3. Ni mwajiriwa na mfanyabiashara. Nahitaji mke wa kufunga naye ndoa mwenye sifa zifuatazo: 1. Mcha Mungu kweli wa dini yoyote 2. Asiwe mwajiriwa au awe ameajiriwa/amejiajiri sekta isiyo rasmi 3. Umri miaka 25-35 4. Mweusi mwenye umbo la kibantu ila si...
  5. 2019

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mama na Mke nani anastahili zaidi ya 50% ya mapenzi

    Kwanza kabisa tuelewe majukumu ya hawa watu katika sekta zao. Heshima ya Mama haipungui kijana unapooa. Tunajua umuhimu wa Mama toka amekubeba miezi 9 umezaliwa umekuwa na umejitambua hilo ni jukumu lake na lazima apate heahima kama Mungu alivyoagiza. Umejitambua unataka sasa...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini mke wako akikuta meseji ya mchepuko ukiomba msamaha na kufanya nae mapenzi anakusamehe?

    Hii nimeishuhudia mara kwa mara maeneo mbalimbali ila Jioni hii ndiyo 'nimeithibitisha' kabisa. Kuna Mke wa Watu 'Kafumania' Meseji ya 'Hawara' ya Mumewe katika Simu yake na kwa jinsi Mwanamke ( Mke ) huyu alivyokuwa akifoka, akipiga kelele, akitishia Kuondoka kurejea Kwao huku akimtukana huyo...
  7. V

    JamiiForums Tanzania Squirting ni kwa baadhi ya wanawake au wote?

    Habari zenu wadau. Mtakumbuka nilipost hapa kuwa natarajia kufunga ndoa, nashkuru ndoa imepita salama licha ya kupata michango hafifu sana kutoka kwa marafiki. Nimekutana na kitu ambacho cjawahi kukutana nacho kipindi cha ubachelor, nikiwa nakula tunda la mke wangu baada ya muda...
  8. Zero IQ

    JamiiForums Tanzania Andika kazi ya mme/mke wako ambayo unataka awe nayo

    Ni simple tu: Andika kazi ya mme/mke wako ambayo unataka awe nayo? Cc Zero iq Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Kyawanjubu

    JamiiForums Tanzania Nimetembea na msichana wangu wa kazi, mke kajua kimenuka

    Habari zenu ndugu zangu, Nimekua nikipata misusuko kwenye mahusiano na mke wangu huyu hii imekua too much, mke wangu alifiwa na baba yake tukaenda msibani, nyumba tukamwachia dada wa kazi, baada ya mazishi mimi nikarudi nyumbani, tumekaa siku tatu siku ya nne nikashindwa uvumilivu kama ile...
  10. farusofia

    JamiiForums Tanzania Story ya kweli: Vijana tujifunze kuchunguza wachumba kabla ya kuwageuza kuwa wake

    Jana jioni nilipata mwaliko nyumbani kwa rafiki yangu mmoja ambae pia ni kapteni wa JWTZ kikosi cha anga (Air Transport Station) hapo Majumba sita. Baada ya kufika nyumbani kwake maeneo ya huku Kitunda, akanijuza anahitaji nimpe namba ya shemeji yangu flani. Nikataka kujua anaitaka ya nini...
  11. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Onyo: Usikubali kwenda mikoa hii. Mke usiruhusu mumeo aende. Mimi Tanga na Tabora siendi tena

    Wadau, Kutokana na mikasa mingi ambayo nimewahi kuipata na pia kusikia kwa ndugu, jamaa na marafiki nawashauri sana kuna mikoa msikanyage kabisa hizi ni story za kweli na nimezikatisha sana ili isiwe kero kwa wavivu wa kusoma kwa waliokuwa ndugu zangu hasa wale ambao wanatumia vichwa vidogo...
  12. mzibua chemba

    JamiiForums Tanzania Hivi ni ubwege kumsaidia mke wako kufua, kupika na kwenda sokoni?

    Najisikia vibaya sana kila wanaume wanavyonisema kuwa mimi ni mume bwege kisa namsaidia wife vikazi kazi. Huwa sometime napenda kumsaidia kufua vyupi au kupika spesho msosi na siku naamua naenda zangu sokoni nanunua mahitaji ya home sasa hii imepelekea majirani kunikalia vikao kua nimelishwa...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

    Nianze kwa kusema mimi ni kijana wa miaka 35 sasa, nimeoa mwaka wa 6 huu, na nina watoto wawili, ila ujumbe wangu wa leo vijana mnapoamua kuoa muwe mmemaanisha hawa wake zetu unahitaji akili ya ziada kuishi nao wengi wana upeo wa chini sana na wasahaulifu kupitiliza. Hivyo kijana usipokuwa...
  14. josewatano

    JamiiForums Tanzania Je? Mwanamke anayejiuza anaweza kuwa mke mwema zaidi ya yule ambaye hajiuzi?

    Mada ni hivi kweli upo uwezekano wa malaya anayejiuza akawa mke mwema zaidi ya yule mwanamke ambaye hajawahi fanya hiyo biashara
  15. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Mke amkimbia mume anayependa kufanya mapenzi zaidi ya mara 10 Kila siku

    Mwanamke mmoja nchini Malaysia ameamua kuomba talaka kumkimbia mume wake ambaye anapenda sana kufanya mapenzi akimlazimisha kufanya mapenzi zaidi ya mara 10 kila siku. Mwanamke...
Back
Top Bottom