Ni mimi peke yangu ndio nimeoa mke mwenye uwezo mdogo wa akili?

Maleven

JF-Expert Member
Sep 8, 2019
624
2,772
Yaani mada pekee anayoweza kuimudu ni mnapozungumzia watoto, mapenzi+sex na vingine,

Kitu chochote cha ki academic haelewi kama vile hajasoma, nakua na hasira sana. I feel like i married an idiot

N.B
Hana tako kama ninavyoambiwa, ni wa kawaida tu
 
Yani mada pekee anayoweza kuimudu ni mnapizungumzia watoto, mapenzi+sex na vingine, kitu chochote cha ki academic haelewi kam vile hajasoma, nakua na hasira sana
I feel like i married an idiot
Kwani umemuoa ili awe academic teacher wako?Ulitaka mke ashindwe kujadili mapenzi na watoto ili aweze kujadili ugunduzi wa aina mpya za suruali za kiume zenye mifuko kwenye fliers?😂😂😂😂😂
 
Duuh!
Nimemuonea huruma.
Nenda nae taratibu mkuu labda Mungu kamleta kwako ili umpanue uelewa wake.
Cha msingi anakuheshimu na ana hofu ya Mungu na yuko makini na malezi ya watoto wenu kama ulivyosema.
Anaweza akawa na uelewa mkubwa wa mambo viingereza vingi vingi halafu anakudharau itakufaa nini?
Please be easy with her.
 
Nachojua wanawake wa namna hiyo wengi huwa submissive na huwachukulia waume zao kama mwanzo na mwisho. Hawana dreams wala matarajio katika maisha yaani kiufupi maisha yao yanaanza na kuishia pale yako yanapoanza na kuishia "wewe ndiye maisha yake"

Najua anakupa amani ya moyo sababu hakupi challenge na pengine ndio sababu ulimuoa Ila kwa sasa you want more...

Unaweza kumpa exposure ukitaka lakini ukiona ni kazi katafute wa kukupa hiyo package unayoitaka lakini nina uhakika bado kuna vitu vingi utavimiss kwa mkeo japo kwa sasa unavichukulia poa sababu ndivyo unavyovipata daily kiasi umevizoea, vimekuboa na havikusisimui tena

All in all do whats makes you happy
 
Back
Top Bottom