mke

The MPT (stands for Turkish: Millî Piyade Tüfeği, English: National Infantry Rifle) is a modular rifle family designed by MKEK and produced by MKEK, Sarsılmaz Arms and Kalekalıp to meet the demands of the Turkish Armed Forces and to replace its aging rifles such as Heckler & Koch G3 and Heckler & Koch HK33 due to most of them being near the end of their service life. The MPT was designed for robust high altitude, all weather combat, capable of functioning in extreme hot and cold weather. The MKEK MPT is a rifle intended to take abuse and extreme mistreatment and still maintain high accuracy and reliability in order to survive in true battle environments. The Turkish government has invested US$22 million into the project.It made its first public appearance at the Eurosatory 2014, ADEX 2014 and the MSPO 2014 events.

View More On Wikipedia.org
  1. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Masanja amsamehe mke wake, kakubali yaishe maisha ya ndoa yaendelee

    Kayaandika haya KILA KAZI INA GHARAMA YAKE!! Acha tulipe gharama ya tulichoitiwa. NAKUPENDA MPAKA PUMZI YANGU YA MWISHO MKE WANGU. Hili nalo litapita🙏🏿 TUOMBEENI NASI TUNAOMBA. MTETEZI WETU YU HAI🙏🏿
  2. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Mke mpya wa Manara avunja ukimya, "Sijafata Pesa"

    Mke mpya wa Haji Manara Rushaynah Bugati amevunja ukimya kwa wanaomshambulia kudai kwamba amefuata pesa kwa Manara jambo ambalo amelikana na halina ukweli wowote. Rushayna amesema alianza kufanya kazi na Manara kwa muda mrefu na anamjua vizuri hana pesa yoyote tofauti na watu wanavyomfikiria...
  3. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akiwa hivi hata hamu ya michepuko ama kuongeza mke inapungua, unakuwa umepata pumziko sio majuto

    kwa ufupi nyumbani pakiwa hivi unapa miss sana, unamuwaza mke na watoto na unapata ari ya kuwapigania.
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitasahau jinsi mchepuko alivyo ninyoa vinywele ukubwa vyote, kisha akanipiga picha na kumpostia mke wangu. Mke wangu akafurahi sana

    Aisee, ilikuwa ndio mwisho wangu wa kuchepuka na kuingia nyumba za wageni kufanya zinaa. Na haitakaa ijurudie tena. Mwaka 2018 nilipata demu mmoja matata sana. Enzi hizo nilikuwa napenda sana toto na sikuwa najali kitu, pesa iliongea na ikanipa kiburi. Huyu mrembo alikuwa ni afisa mikopo...
  5. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Hattrick ⚽⚽⚽, Haji Manara aongeza mke wa tatu

    Hattrick sio mpirani na Ndoani pia ipo.!! ndivyo unavyoweza kusema baada ya Haji Manara Leo kuongeza mke mwingine wa 3 bint anaitwa Rushaynah Athumani.Kumbuka. Kwa utamaduni wa kiafrika walizoishi mababy zetu na kwa dini ya kiislam inaruhusiwa kuoa hata wake wanne kwa sababu wanaume wengi...
  6. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke...

    Jina: Tumaini Umri; 31 Makazi: Mwanza Dini: Mkristo Kazi: Wizara ya mambo ya ndani. Natafuta mke miaka 25-30 awe Mwanza...
  7. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa

    ...
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa ambazo mke anampenda sana mume hazidumu. Kwasababu.......

    ......imeandikwa kuwa " mume ampende mke na mke amtii mume". Na isiwe kinyume chake. Mke hapaswi kupenda bali kupendwa, na kazi ya mke iwe ni kutii kama jeshini vile. Lakini bahati nzuri ni kwamba, mwanume akimpenda mke automatically atamheshimu mkewe, na mwanamke akipendwa na kuheshimiwa...
  9. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Mke mwenye miaka 15 aumizwa vibaya na mume kisa kumwaga dawa ya mbuzi

    Mesoni Kashiro (15) Mkazi wa kijiji cha Gelailumbwa, kata ya Gelailumbwa, tarafa ya Ketumbeine wilayani Longido mkoani Arusha, ameshambuliwa na mume wake Namendea Lesiria kwa kushirikiana na rafiki yake ambaye jina halijafahamika kwa kosa la kumwaga dawa ya mfugo aina ya mbuzi. Ofisa Ustawi wa...
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa mshikaji simuelewi

    Ni shem wangu anapitia kipindi kigumu na mumewe na ananishirikisha mpk siri zake za ndani na analalamika kuwa jamaa hamjali na hata huduma ya unyumba haipati nimemshauri mpk nimeshindwa kuwaweka sawa hii ipoje
  11. Nyenyere

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dalili za awali za mke/mume mwema

    Wakuu amani kwenu. Kumekuwa na maswali mengi sana kutaka kujua kama kweli mwanamie/mwanamume fulani anafaa kufunga ndoa naye ama la. Wengi hutaka kujua ni sifa zipi hasa mwenza anapaswa kuwa nazo kabla ya kujiingiza kwenye mahusiano ya kudumu. Leo nitazungumzia sifa chache muhimu zaidi ambazo...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Usithubutu kumpa mwanamke mtaji. Kama mke wako mpe biashara aisimamie na usimpeumiliki kwa 100%.

    Habari! Sasa tumechoka kusikia vilio vyenu enyi wanaume wenzetu. Nature ya mwanamke ni kutawaliwa, ndio maana mtawala akiwa mwanamke kwa level yoyote ile lazima ichukuliwe special issue. Binti ukimpa mtaji na akauukuza na akili yake ataikuza kuona vile ambavyo hajaviona kabla ya mtaji kukua na...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Amuua mke wake baada ya Mganga kumwambia atamuona ndotoni

    Jeshi la Polisi mkoani Tabora linamshikilia Ali Idd Mkonongo, mkazi wa Kijiji cha Inala kwa tuhuma za kumuua mke wake aliyefahamika kwa jina la Mariam Yusuph kwa kumpiga na kitu kizito kichwani wakati akiwa amelala majira ya saa sita usiku, kisha kuuchukua mwili na kuutumbukiza kisimani kwa...
  14. Mr mdandavuzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Iwapo itampendeza Mwenyezi Mungu, nahitaji Mke

    Mimi ni kijana mwenyewe umri wa miaka 34, muislam, natokea familia ya kawaida sana, elimu yangu ya kawaida sana, ninafanya kazi halali ya kumpendeza Allah. Nahitaji rafiki mwenye hitaji la kuwa mama wa familia. Sichagui dini, umri kuanzia 20 mpaka 32, awe mkweli mwenye hofu na Mungu. Mengine...
  15. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Awe tayari kuanza familia. Umri kuanzia miaka 22 had 39, Mwenye kumpenda Mungu. Elimu yangu ni ya chuo na Nimeajiriwa Dar.
  16. M2 makiniy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi au mke mwenye VVU

    Habari zenu waungwana, Mimi naitwa Ashiraph umri miaka 30. Naishi Kahama natafuta mwenza aliye serious. Mimi ni mwathirika wa VVU natamani nipate mke mwenye hali kama yangu ili tuishi kwa pamoja. Ni mwajiriwa pia na biashara zangu Ambae yuko tayari anipigie sim 0753360886
  17. NetMaster

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuoa mke aliesoma chuo huku akiendelea kuomba ajira ni mtihani, umejipangaje siku akipata ajira nje ya mkoa??

    Kuwaoa hawa wanawake waliomaliza vyuo katika taaluma mbali mbali kunaweza kuleta mabadiliko ndani ya ndoa mda wowote ikija tokea wameomba kazi hasa hizi za serikalini na wakaitwa rasmi waanze kazi, na kiukweli hawa wahitimu wa vyuo huwa wana mzuka sana na hizi ajira lazima ataenda tu kuripoti...
  18. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke bora aliyetoka kwa bwana

    Miaka iliyopita, nilichepuka na dada mmoja; kwa bahati mbaya yule mdada alinogewa na akatamani kupindua meza; kwa kuniwekea mazingira, nikikutana na mwanamke mwingine, jogoo asisimame ila kwake tu. Siku moja niko na 'wife', jogoo akagoma kabisa kusimama, kula kongoro, mara mbuzi n.k hakuna...
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama una demu, mchumba au mke anapiga picha huku makalio ameyatazamisha kwenye kamera hapo ujue kabisa hauko peke yako.

    Mada inajieleza. Usije kusema sijakutonya. Ukiona makalio yametazamana na camera sijakuambia muachane ila nimekuambia tu kuwa wewe pia uko kwenye foleni.
  20. 44mg44

    JamiiForums Tanzania Mazingira ambayo mke wako akizini lazima umsamehe na muendelee na maisha ya ndoa

    Mkeo akiliwa kwa situation zifuatazo lazma umsamehe 1. Azini ili apate chakula Cha watoto,wew ukiwa umefulia 2.Kugongwa mbele yako wakat mmevamiwa na majambazi 3.Akizini kwa lengo la kuokoa maisha yako,mfano unaumwa harafu hakuna hela ya matibabu,haraf akapata mwenye hela kwa shart la kumla...
Back
Top Bottom