mke

The MPT (stands for Turkish: Millî Piyade Tüfeği, English: National Infantry Rifle) is a modular rifle family designed by MKEK and produced by MKEK, Sarsılmaz Arms and Kalekalıp to meet the demands of the Turkish Armed Forces and to replace its aging rifles such as Heckler & Koch G3 and Heckler & Koch HK33 due to most of them being near the end of their service life. The MPT was designed for robust high altitude, all weather combat, capable of functioning in extreme hot and cold weather. The MKEK MPT is a rifle intended to take abuse and extreme mistreatment and still maintain high accuracy and reliability in order to survive in true battle environments. The Turkish government has invested US$22 million into the project.It made its first public appearance at the Eurosatory 2014, ADEX 2014 and the MSPO 2014 events.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mke mbona anaipenda sana kauli, 'mwanamke ni kiumbe dhaifu'?!!!

    Kila tukijadili mambo ya maadili, hususani kukua kwa ufuska kwa vijana wetu wa kike au labda taarifa fulani inayohusu visa vya mapenzi tunavyovisikia kwenye TV au mtaani hapa, basi kauli hii humtoka bila kukawia. Yaani mijadala mitano tuliyoifanya hivi karibuni, ameitoa hiyo kauli Mara nne...
  2. Masai wa Town

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nadhani nimekosa mke wa kuoa

    Ni mwaka wa tatu Sasa Tangu nianze kuwaza kuoa. Kila Mahusiano ninayojiingiza huvunjika baada ya muda mfupi, si zaidi ya miezi 6. Jumla ya wanawake nilioingia nao kwenye Mahusiano Ni Watano. Wa kwanza Alikuwa mhasibu, kosa lake ni kuwa na kampani ya slay quees na walevi. Ni jambo la kawaida...
  3. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unampakiaje mkongo mke wa mtu?

    Hii sio Sawa,yaani unatafuta kabisa mkongo Kwa ajili ya kumpakia mke wa mtu? Hii sio Sawa, ni dhulma mbaya sana, ndio maana tunapata mabalaa Kisha tunatafuta mchawi. Mbaya zaidi unajisifu mbele za watu! Tena wengine wanaenda mbali na kusema wanasukuma pia tope wake za watu. Jamani jamani...
  4. mashatiboyee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tangu nipatwe na Matatizo kazini, mke wangu amebadilika tabia

    Habari za jioni wanajukwaa wa MMU, ikiwa mmetoka katika mihangaiko akili na mwili vimechoka nawaletea jambo jingine hili tupate kulijadili. Mimi na mke wangu ni waajiliwa yeye ni mtumishi wa umma na mimi ni mtumishi wa sekta binafsi, ndoa yetu ina miaka mitatu sasa na tuna mtoto mmoja (asante...
  5. DR SANTOS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa mtu ananipigia simu ya video usiku mumewe akiwa kalala

    Straight to the point, huyu mwana mama yupo Dar es Salaam nami nipo mkoa mwingine. Huwa tunawasiliana mara Moja Moja story za shule maana ni school mate ila alinizidi vidato kadhaa. Tukiwa shule alikuwa kama dada yangu na nilimheshimu hivyo na ikaisha hivyo alifanikiwa kwenda university Fulani...
  6. Munguwetu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijawahi kukutana na mke wa mtu mpumbavi kama huyu

    Kitendo cha kunipiga stori za madhaifu wa mumewe aliye na watoto naye tena wa kutosha walieishi naye miaka mingi. Alinisononesha kabisa . Na nilimuambie aamuombe radhi jamaa na atulie. Kibaya zaid alimsomesha yeye na kupata kazi aliyonayo. Wanawake waoneni hivi tu sio watu. Je mnadhani...
  7. Memtata

    JamiiForums Tanzania Mke hataki ndugu zako, utafanyaje?

    Leo naomba mumsaidie rafiki yangu kumshauri, mimi ni nimeshashauri kwa upande wangu lakini nataka kuona fikra za watu zaidi. Jamaa ana mke na watoto, hivi karibuni kaka yake alipoteza kazi ndugu wakamuomba asaidie kulea mtoto mmoja ambaye alikuwa kidato cha pili. Jamaa alimshirikisha mke wake...
  8. willpower

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tafakari: Miezi 9 ya mahusiano na mke wa mtu pasipo kujua

    Miaka kadhaa nyuma, asubuhi siku ya jumapili, niliamshwa kwa kelele zisizo za kawaida, watu kadhaa walikuwa wakigonga mlango, japo nilikuwa chumbani lakini ugongaji ule wa mlango haukuwa wa kawaida. Nikaamka na kukutana na watu wanne, mzee mmoja, vijana wawili wakiwa na askari. Swali lilikuwa...
  9. Nazjaz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzuri wasababisha mke kupewa talaka

    Bwana mmoja raia wa Zimbabwe Arnold Masuka (40) ameacha watu vinywa wazi baada ya kuiambia Mahakama hamuhitaji tena mkewe Hilda Mleya (30) kwa sababu ni mzuri kupita kiasi. Arnold mbele ya Jaji Henry Chizvidzo ametoa malalamiko hayo ambapo amesema ametoa talaka kutokana na kukosa usingizi...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mama na Mke Nani anapaswa kukaa Siti ya mbele wakati unaendesha Gari?

    KATI YA MAMA NA MKE NANI ANAPASWA KUKAA SITI YA MBELE WAKATI UNAENDESHA GARI? Anaandika, Robert Heriel Rafiki yangu Hosea amenipigia simu akaniuliza hivi; Kati ya Mama yake na MKE wake Nani anastahili kukaa SITI ya MBELE ya GARI wakati yeye(Hosea) anaendesha Gari? Nikaona niilete mada Hii...
  11. Akabi kemanya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke mwema popote ulipo

    Mimi ni kijana umri 37, dini ni Rc. Niko mwanza natafuta mke wa kuishi naye umri 22 mpaka 30, awe mrefu kidogo mwenye chura, sichagui dini wa kabila. Asinipende sana bali aipende sana ndoa yake🙏.
  12. Jooho

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Mke wangu anawasiliana na X wake

    !
  13. Maleven

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeamua niachane na mke wangu sababu muonekano wake haunivutii

    Hajanikosea, hana tabia mbaya ila moyo wangu unakua mgumu juu yake kila siku zinayovyozidi kwenda, sijui nimeingiaje kwenye huu uhusiano. Nimeamua sasa nitafute nitakaevutiwa nae, huyu wa sasa ana irregular shape, nguo nyingi hazimpendezi, am ashamed to walk with her by my side for sure...
  14. Kusini pride

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nipo hapa uwanja wa fisi manzese natafuta mke

    Mwadila Wakuu nipo hapa uwanja wa fisi hapa manzese kutokea jana usiku saa nne kamili mpaka mida hii nikitafuta mke wa kumuoa hawa machangudoa. Kuna mdau wangu mmoja aliwahi niambia eti machangaduo ukiwaoa wanatulia kwenye ndoa sana kwasababu yeye ameoa changudoa tena amemtoa pale mwananyamala...
  15. NetMaster

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sheria inaruhusu mme halali kutoa dozi kwa mwizi wa mke wake akiwafumania live ?

    Nimekuwa nikiona wezi wa wake wakishushiwa vipigo mitandaoni nami nimewahi kushuhudia tukio kwa macho yangu jamaa kakamatwa na mke wa mtu akaanza kupigwa na mme halali. Je kwa sheria za hapa kwetu mambo haya yanafanywa kwa mazoea bila kutii sheria ama sheria inaruhusu ?
  16. Maleven

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni mimi peke yangu ndio nimeoa mke mwenye uwezo mdogo wa akili?

    Yaani mada pekee anayoweza kuimudu ni mnapozungumzia watoto, mapenzi+sex na vingine, Kitu chochote cha ki academic haelewi kama vile hajasoma, nakua na hasira sana. I feel like i married an idiot N.B Hana tako kama ninavyoambiwa, ni wa kawaida tu
  17. T

    JamiiForums Tanzania Manyara: Ahukumiwa kifo baada ya kunyonga mkewe na mtoto baada ya mkewe kumkatalia kuongeza mke wa pili

    Mahakama ya Kuu ya Tanzania Kanda ya Manyara imemhukumu Shamsudini John maarufu SIKUKUU mwenye miaka 35 kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kuwauwa kwa kukusudia kwa kuwanyonga kwa kanga mkewe Asia John aliyekuwa na umri wa miaka 25 na mtoto wake Ahmed Shamsudini aliyekuwa na miaka Tisa (9) baada...
  18. Azizi Mussa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu ndoa kwa wanaowaza kuoa mke mmoja au kuoa mke zaidi ya mmoja. Uzoefu ni mwalimu mzuri

    Declaration of interest: ======== mleta mada hii ana wake watatu ambao ni marafikiri na wanashirikiana na kusaidiana kwa karibu sana. ======÷== Facts 15 kuhusu ndoa ukizitumia zitakusaidia. 1. Ndoa japo ya mke mmoja, kwa mwanaume ni kujivika majukumu. Kama haupendi majukumu usioe, kama...
  19. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hizi hapa ni miongoni mwa sasababu chache ambazo mume hubambikwa watoto na mke wake

    Hii tabia ya kubambikiana watoto haijaanza Leo! Tangu enzi za mabibi na mababu tabia hii ilikuwepo! Kipindi hiko wamama walitumia njia hiyo kama mbinu ya kubakiza mbegu duniani ili kukwepa magonjwa ya kurithi! Magonjwa kama ya siko cell, kifafa, LAANA ZA KURITHI n.k Viliwasumbua kizazi cha...
  20. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama mwanaume: Jitahidi mazingira yako ya nyumbani yawe bora kuliko mazingira ya nyumbani kwa mke wako

    Kuna hili suala la watu kusema hata ukioa mwanamke ambaye kwao wana uwezo kukuzidi sio tatizo. Huko ni kujidanganya. Inakuwa sio tatizo labda mwaka wa kwanza wa ndoa yenu, wakati wa honeymoon period. Ndani ya moyo wake, mkeo ambae ataishi na wewe katika mazingira duni kuliko ya nyumbani kwao...
Back
Top Bottom