mke

The MPT (stands for Turkish: Millî Piyade Tüfeği, English: National Infantry Rifle) is a modular rifle family designed by MKEK and produced by MKEK, Sarsılmaz Arms and Kalekalıp to meet the demands of the Turkish Armed Forces and to replace its aging rifles such as Heckler & Koch G3 and Heckler & Koch HK33 due to most of them being near the end of their service life. The MPT was designed for robust high altitude, all weather combat, capable of functioning in extreme hot and cold weather. The MKEK MPT is a rifle intended to take abuse and extreme mistreatment and still maintain high accuracy and reliability in order to survive in true battle environments. The Turkish government has invested US$22 million into the project.It made its first public appearance at the Eurosatory 2014, ADEX 2014 and the MSPO 2014 events.

View More On Wikipedia.org
  1. 666 chata

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haya mambo ya kupata mke mtandaoni yana ukweli?

    Tunaweza tukawa tupo kwenye mahusiano na wapenzi wetu tunaotarajia kuwaoa ila tunazinguana/kugombana kila siku, wakati kuna mitandao ambayo ipo kiganjani kwetu inaweza kututimizia haja ya mioyo yetu. Kiufupi, watu wengi hatuna muda wa kutongoza, hatuna muda wa kupita mitaani na kuangalia...
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mke wa Rais Zimbabwe atunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari nchini Urusi

    Mapema leo, akiwa ziarani nchini humu kuimarisha uhusiano katika nyanja ya elimu, utamadan n.k, Bi.Auxillia Mnangagwa alitembelea Chuo Kikuu kijulikanacho kama "Russian State University for the Humanities (RGGU)". Huko kwenu mna Shahada za kimichongo, ujanja ujanja na speed kali! Ni wakati wa...
  3. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri ndugu zangu, seriously kabisa. Kuna sauti kila siku haiishi kuniambia kuwa mke niliye nae sio!

    Ni mwaka wa 3 nipo na huyu mke na mtoto mmoja tayari; sijawahi kukamata sms ya ajabu wala kumkamata au kupata taarifa za kuchepuka kwake (labda watu wananiheshimu na hivyo hunistahi kwa kutoniambia), lakini pamoja na hayo nafsi yangu, katika kipindi chote, haiachi kuniambia kuwa hapa siyo sehemu...
  4. Bundakwetu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ananidharau nifanyeje?

    Habari zenu humu kwenye Jukwaa hili pendwa, mimi nimeoa mke na tumefanikiwa kupata watoto wa 3 wote wa kike, sasa mke huyu mwaka wa 8 huu hajawahi kuniwekea maji bafuni wala kunufulia nguo zangu. Sasa watoto wangu hatimae wamekuwa na wameanza kujitambua. Kinachoniuma ni kuona watoto...
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mke wa Benson Kigaila ni mmoja ya wabunge 19 wa CHADEMA, na hupeleka mshahara nyumbani

    Mke wa Benson Kigaila anapopokea mshahara, lazima anakuja nyumbani na ka mchele, ka maharage, shati la Benson Kigaila, nguo za watoto. Bila shaka Benson Kigaila akikaa meza ya chakula, huwa anakula mshahara unaotoka kwa Mkewe, lakini akienda jukwaani, akiwa amevaa shati na viatu alilonunuliwa na...
  6. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Kijana ukihitaji kuoa chagua mke kutoka kwenye familia ya kipato cha kati

    Kijana wa sasa ambae hujaoa ila pia unategemea kuoa unapokuwa unatafuta mwenza jitahidi uchague mwanamke anaetoka kwenye familia ya kipato cha kati, vinginevyo itakuwa unaendeleza umasikini au utafanywa mgodi.
  7. Breaking bad

    JamiiForums Tanzania Baada ya baba kufariki, watoto wa mke mdogo wanataka mali, tufanyeje?

    Ipo hivi mzee wetu alikuwa na wake wawili mkubwa ndio mama yetu sisi na mdogo alikuwa ana watoto wake. Sasa huyo mke mdogo alishafariki muda mrefu amebaki huyu mkubwa ambaye ni mama yetu sisi. Muda si mrefu mzee naye kafariki baada ya kusumbuliwa na ugonjwa kwa muda mrefu. Tumefanya msiba na...
  8. Kusini pride

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najuta kuoa huyu mke wangu Adelina

    Wakuu, Kweli nimeamini hawa viumbe ni nyoka aisee, nimekoma kuoa hawa watu watu kutoka kanda ile ya Kaskazini, hawa wanawake siyo poa kabisa najuta kabisa, dah! Huyu mwanamke anajikuta ni 'feminist' sana, jeuri, kiburi na dharau juu, sijui kwanini ananifanyia hivi, sijui anajua nampenda sana...
  9. Kusini pride

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu Adelina Kimambo

    Good morning! Huyu mwanamke nampenda sana na wala mpaka sasa sijaamini kwanini yupo na mimi aisee, jinsi mimi nikijiangalia wala hata siamini kabisa japo mimi naishi Marekani na ako pesa za kubadilishia mboga lakini siamini kabisa. Mke wangu Adelina Kimambo kwanza ametokea familia ya kitajiri...
  10. Protector

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kimada alivyonifanya nimsahau mke wangu yaliyonikuta Najuta

    Hii ni story ya kweli nilisimuliwa na jamaa yangu nami naileta kwenu kama funzo. Ilikuwa mwaka 2004 ujenzi wa barabara ya Shinyanga-Mwanza umepamba moto chini ya Grinaker LTA nami nikiwa mmojawapo kati ya wafanyakazi wa kampuni hiyo. Kazi yangu ilikuwa ni kugawa mafuta kwenye magari na mashine...
  11. Mwanangikolo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kutoka kuichakata mbususu kimasikhara mpaka kuwa mke wa ndoa

    Kinehe bankima na bangosha Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni mzaliwa wa mkoa wa mwanza wilaya ya ilemela kata ya nyamanoro mtaa wa kona ya bwiru au zaman ikijulikana kama mtaa wa maduka mawili nadhani apa kwa wazawa wa mkoa wetu huu pendwa wa sato sangara na jiji la pili kwa ukubwa...
  12. marundoo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Salaam, Natafuta rafiki ambaye ataenda kuwa mke wangu. Nina miaka 34, ni mkazi wa Arusha, awe na miaka kuanzia 25 mpaka 32, Mkristo, kabila lolote. Kwa aliyetayari na mhitaji karibu PM kwa mawasiliano zaidi. Asante.
  13. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke ni mhitajiwa na sio mpendwa kwa mumewe

    Niende kwenye mada, kuoa ni hitaji la mwenza na si pendo la mwenza, mwanaume anaoa ili atimize mahitaji yake ya maisha na kuishi hivyo kuoa ni strategia ya kumpata msaidizi wa kusaidiana kufikia malengo hayo Hivyo uendelevu ni pale mke (mhitajiwa) anavyoishi na kuenenda namna mume ama mhitaji...
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania NAKAZIA: Acha ujinga, usimpe pesa mwanamke ambaye si mke au mchumba wako

    Wanaume, Acheni kutoa pesa kirahisi kwa wanawake. Wanawaona mapimbi tu mkiwapa pesa. Penzi huja automatically, halinunuliki. Unaweza kupewa mpaka maku lakini hupendwi, just unaonjeshwa tu utelezi ili akuchune zaidi. Wanaume wengi waliyodhani wanapendwa kumbe wanaliwa tu, baadaye hufilisika na...
  15. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa aliyetayari kuolewa mke wa pili

    Habari zenu, Kama kichwa cha mada kinavyojieleza, wasifu wangu, mimi ni kijana wa miaka 35, nina mke na watoto watatu, muislam, nimejiajiri naishi Dodoma. Nahitaji kuoa mke wa pili, sifa zake awe na umri kati ya miaka 23 - 28, kazi au biashara siyo kipaumbele, awe muislamu, asiwe ameolewa...
  16. NetMaster

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kumuokoa rafiki yangu, Huu ukarimu wa baba mwenye nyumba umepitiliza, nahisi kamzalisha mke wa rafiki.

    Nahisi baba mwenye nyumba yupo hatua 5 mbele zaidi kuliko rafiki yangu. Ipo hivi, rafiki yangu kapangisha kanyumba kadogo anaishi na mke wake, kwenye kiwanja kuna nyumba ndogo mbili, nyumba nyingine kuna mpangaji mwengine ila hua anasafiri sana. sasa mke wa rafiki yangu alijifungua kama wiki 2...
  17. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Namshangaa mke wangu ananunua sana CHUPI kuliko Sindiria ona sasa matiti yanadondoka TUBWi, hadi wa Ng'ambo wanaliona TITI lililo lala ni aibu

    Miaka kadhaa iliyopita nikiwa maeneo ya Namanga Makangira nikiwa njiani kuelekea kanisa la St Peter pale, nilipofika karibu na shule ya msingi Mbuyuni Kuna gari moja ilitokea Mwenge, karibu na Mbuyuni palikuwa na kijishimo uchwara yule bwana aliendesha gari Kwa kasi na kunimwagia Yale maji(kama...
  18. Vifaranga200

    JamiiForums Tanzania Nilivyochuniana na mke wa mtu kisa nili underperform

    Nisikuchoshe. Huyu mwanamke nilitafuta kila njia kuachana naye. Alistukiwa na mumewe na akaniambia amestukiwa, hakujua anani alert, nikajisemea ni Muda sahihi kuachana na kukimbia mbio. Siku moja nilimpiga mambo, show ilikuwa chini ya kiwango, yaani Ile ilikuwa sshow ya kichovu. Baada game...
  19. 900 Itapendeza zaidi

    JamiiForums Tanzania Mke, mume wafa kwenye ajali iliyoua sita Kiteto

    Ajali hiyo imetokea eneo la Pori namba moja Kata ya Partimbo wilayani Kiteto Mkoani Manyara baada ya gari la wagonjwa kugongana uso kwa uso na gari dogo. Watumishi sita wa Serikali, Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara, wakiwamo mke na mume, wamefariki dunia na wengine watano wamejeruhiwa baada ya...
  20. KIBOD3

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekuta Condom na kilainishi kwenye Pochi ya Mke wangu

    Habari wanajamvi, mimi na mke wangu tuna miaka 4 ya ndoa tangu mwanzo wa mahusiano yetu sijawahi kuona dalili zozote kwamba ananisaliti na familia yetu ikiwa inaishi kwa amani na furaha. Sasa mwezi uliopita wakati natafuta earpods katika mkoba wake wa kazini nikakuta condom ya kiume aina ya...
Back
Top Bottom