malezi

Malezi School is a private educational institution based in Nairobi, Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Unaiona wapi Tanzania ya kesho kupitia malezi ya watoto wa leo?

    Mwandishi maarufu wa vitabu, Robert T. Kiyosaki, kaandika kuwa mahali sahihi pa somo la mafanikio kufundishwa ni nyumbani. Kwa msingi huo, makuzi ya mtoto yatakuja kumwathiri si yeye peke yake tu, bali pia familia yake, Jamii yake na Taifa lake kwa ujumla. Je! Malezi yetu ya Kitanzania...
  2. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Pauline Gekul ni zao la malezi ya Chadema, rejea Mahojiano ya Dkt. Slaa na Dar24

    Dkt Wilbroad Slaa alipoulizaa kuhusu suala la Tundu Lissu kupigwa risasi,anasema "siwezi kuzungumzia sababu utekaji upo ndani ya Chadema" “Kuna watu wananiuliza kuhusu Tundu Lissu kupigwa risasi, kuwa sipendi kulizungumzia hilo kwa kuwa sina taarifa zake za uhakika. “Nitoe mfano iliwahi...
  3. Kinyonyoke

    JamiiForums Tanzania 'Single Mothers' na Changamoto ya Malezi kwa watoto

    Kama mwalimu ambae ninakutana na watoto wengi kutoka katika 'background' tofauti tofauti, naomba niseme watoto wanaolelewa na mzazi mmoja hususani mama (single mother) ni jipu kubwa ambalo linahitaji kutumbuliwa mapema Sana. Watoto wanaolelewa na mama pekee bila uwepo wa mzazi wa kiume...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mzazi wako akikukosea anakuombaje radhi?

    Wakuu, Mzazi wako akikukosea anaombaje msamaha? Omba msamaha kama mzazi/mlezi wako anavyokuomba akikukosea. Twende kazi... ==== Unajua wewe ndio umesababisha mpaka nikakuchapa (kosa linatajwa upya na lawama zote zinarudi kwako zinarudi kwako tena, hapo ndio imetoka hiyo😂😂😂).....
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ifike mahala Watu waelewe kuwa Jukumu la Malezi sio la Serikali

    IFIKE MAHALI WATU WAELEWA KUWA JUKUMU LA MALEZI SIO LA SERIKALI Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Ukishaishi kwenye taifa ambalo halina Dini ila Watu wake wanadini, hiyo itoshe kukueleza kuwa jukumu la Malezi ni jukumu la wananchi wenyewe na sio jukumu la serikali. Ni kosa la kiufundi kufikiri...
  6. cold water

    JamiiForums Tanzania Malezi ya mtoto baada ya kuachana yana changamoto zake

    Heloe JF, Kuna kitu napitia kizito kidogo, Mimi ni binti wa makamu nilibahatika kupata mtoto, lakini kuna maugomvi ya hapa na pale yalisababisha kuachana na baba mtoto, mtoto alichukuliwa na ndugu zake upande wa kiume. Sasa karibu shule zinafungwa nazani baba ake atamchukua kwaajili ya...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ntate: Wazazi Kuweni Makini na Malezi Hasa ya Watoto wa Kike

    Mbunge wa Viti Maalum (Anayewakilisha Wafanyakazi Nchini) Anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Janejelly James Ntate amewaasa wazazi na walezi kuwa makini na malezi ya watoto hasa watoto wa kike kwa kuwa watoto hao wapo hatarini sana kutokana na kukumbana na vishawishi vya kila aina tofauti...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Malezi bora anayotakiwa kupata mtoto kutoka kwa mlezi aw mzazi wakee...

    Habari wna jf naomb tupitie hii nakala fupi itatusaidia mahali🙏🤝 Ni vizur mtoto kupata mda mzur wa kupata malezi mema kutoka kwa wazazi aw walezi wake kabla dunia haijamfunza kip cha kufanya Maan walezi aw wazazi ndio waalimu wakwanza kuwafundisha watot mambo mema na maadili mazuri na ata...
  9. N

    JamiiForums Tanzania WanaJF nipeni kazi au kibarua, maisha ya malezi yasije nishinda kuhudumia

    Habari za humu ndugu wana JF natumaini wazima wa afya na tunasonga mbele, kama kichwa cha habari kinavyosomeka, Wadau nipeni kazi / kibarua nifanye nipate pesa za matumizi za kupata mahitaji ya mtoto mwaka kesho anaanza shule darasa la awali, chekechea, baadhi ya vifaa nimenunua kama kitambaa...
  10. Ebejo

    JamiiForums Tanzania Je, ni kiwango gani sahihi cha fedha kumpatia mzazi mwenzako kwa ajiri ya malezi ya mtoto?

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 33, pia ni kijana ninayezidi kupamba kukumbizana na umasikini, Nahitaji ushauri maana mimi mwaka jana nilibahatika kupata mtoto japo haikua malengo yangu kwani mama wa mtoto tulikutana naye kwa mara ya kwanza kwenye tamasha la sabasaba nikiwa na ni rafiki...
  11. A

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mapungufu yaliyopo katika malezi ya watoto na nafasi ya wataalam

    Malezi ni jambo ambapo Kila mtu/mwanajimii anapaswa kulitimiza. Malezi pia hutafsiria kwa namna tofauti kulingana na mtazamo wa wahusika, ngazi za elemu na pia aina za kazi au kipato hivyo kutupatia aina za malezi ambazo ni kulingana na maisha yetu na utamaduni. Mara nyingi tumekua na kawaida...
  12. MlekwaKik

    JamiiForums Tanzania SoC03 Unafiki, uoga, ubinafsi, uongo na malezi yetu

    Kikwazo kikubwa cha uwajibikaji na utawala bora katika nchi yetu ni malezi anayopitia mtanzania wa kawaida, kuna namna ambavyo malezi yetu kuanzia shuleni hadi nyumbani yanatengeneza vijana waongo, wanafiki, wabinafsi na waoga. Maisha yetu kuanzia tukiwa watoto mpaka tunakuwa watu wazima ili uwe...
  13. T

    JamiiForums Tanzania SoC03 Malezi ya Mtoto hutoa mwelekeo katika maisha yake

    Mtoto ni hazina ya taifa. Malezi ya mtoto huanza pale anapozaliwa na kuanza kujenga uhusiano baina ya mtoto na mzazi au mlezi wake. Naposema malezi bora aidha kutoka kwa mzazi wake au mlezi hupelekea mwelekeo au dira ya mtoto kama wahenga walivyosema "mtoto umleavyo ndivyo akuavyo" hapa...
  14. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Malezi haya wanayopewa watoto wa kiume na mama zao hasa kwenye nyumba isio na baba, yapo sawa?

    Hatukatai mama na mtoto kupendana kama mzazi na mtoto lakini hii ni sawa? Ni kweli mvulana huyu anampenda mama yake kwa jitihada za kumuandalia chakula lakini hakukuwa na namna nyingine kuonesha anampenda hadi iwe hivi ? nae mama wala haoni shida na yawezekana ndie alimzoesha tangu akiwa...
  15. N

    JamiiForums Tanzania SoC03 Pachua pachua katika malezi

    Pachua ni kitendo Cha kutegua ficho kwa kuweka wazi, kionekane kile kilichomo ndani. Hivyo basi, mimi leo napachua kile kilichomo katika malezi kama shule ya kwanza ya ukuzaji na uleaji. Malezi ni shughuli nzima ya utunzaji kwa lengo la kukuza kuanzia hali ya chini mpaka juu pale ulipokusudia...
  16. Byangwam

    JamiiForums Tanzania SoC03 Malezi bora ya watoto nchini Tanzania

    Malezi Bora ya Watoto Nchini Tanzania: Kuleta Mabadiliko Chanya Utangulizi Malezi bora ya watoto ni suala muhimu katika kujenga jamii imara na yenye maendeleo. Nchini Tanzania, kuna umuhimu mkubwa wa kuwekeza katika malezi ili kuwapa watoto msingi thabiti wa kuwa raia wema na wenye mchango...
  17. C

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji na mabadiliko ya malezi

    Wazazi wa kitanzania hawajibiki kwenye malezi ya watoto ambao sio wa kwake mfano: mtoto anaweza kuwa anafanya kosa aisha wanapigana na kuna watu wazima wanawaona na wasiwajaripie kwa kua sio watoto wao. Huu sio uwajibikaji kwenye malezi Kila mwana jamii natakiwa kuhusika moja kwa moja kwenye...
  18. beatboi

    JamiiForums Tanzania Malezi ya Mama pekee husaidia kugundua kipaji kuliko ya wazazi wote wawili

    Naamini kila binadamu amezaliwa na kipaji ila ukija kwenye uhalisia inakuwa tofauti, 1. Watoto waliolelewa malezi bora(baba na mama) wanakosa muda wa kuangalia vipaji vyao kwa kubanwa pande zote mbali. huwa na vipaji vya elimu? wenyewe wanakwambia wana vipaji vya kusoma japo wengine wananunua...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Baba, mtoto wako yuko huru kukueleza jambo lolote?

    Wakuu, Wewe unayeitwa baba, uwe mlezi au mzazi, mtoto wako yuko huru kuongea na wewe kuhusu jambo lolote ikiwa anahitaji kusikilizwa na wewe? Au ndio wawe wale wazazi wakali mpaka mtoto akueleze kitu inabidi atume barua ya maombi kwanza? Mbali na kuwa na uangalizi wa mama, kusikilizwa na...
  20. G

    JamiiForums Tanzania SoC03 Umomonyoko wa Maadili na malezi duni nani alaumiwe?

    Uwajibikaji na utawala bora ni mambo muhimu sana katika kuhakikisha maendeleo ya nchi yetu. Hata hivyo, umomonyoko wa maadili na malezi duni umekuwa ukisababisha changamoto kubwa katika kufanikisha uwajibikaji na utawala bora. Kwanza kabisa, tunapaswa kuwalaumu wazazi kwa kushindwa kuwalea...
Back
Top Bottom