Ebejo
New Member
- Aug 5, 2023
- 1
- 1
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 33, pia ni kijana ninayezidi kupamba kukumbizana na umasikini,
Nahitaji ushauri maana mimi mwaka jana nilibahatika kupata mtoto japo haikua malengo yangu kwani mama wa mtoto tulikutana naye kwa mara ya kwanza kwenye tamasha la sabasaba nikiwa na ni rafiki yangu ambaye waliongea naye na kufikia hatua ya kubadilishana namba za simu ila rafiki yangu simu yake ilikua imezima hivyo basi alitumia simu yangu kuchukua namba na kupiga ili kuthibitisha kama namba ni sahihi.
Ilipofika jion binti alituma sms ila sikumjibu coz nilijua alikua na shida na rafiki yangu, siku iliyofuata rafiki tukiwa kwenye harakati za kazi ya kutafuta riziki, Rafiki yangu alichukua namba na kuunza safari ya mawasiliano na binti, ila rafiki yangu anamke pia Anawatoto 2.
Cha kushangaza yule binti alikua anatufahamu vizuri na pia alimuuliza rafiki yangu kuhusiana na ile namba yangu, ndipo alianza kunitumia sms kadri ya alivyoweza japo sikua najibu nilwambia rafiki yangu nayeakasema msikilize anashida gani maana kwake hamjibu sms akimtumia pia hata simu hapokei.
Ilikua usiku wa tarehe 20/7/2022, alinipigia simu na kuniomba tuonane kunaswala anahiji kunishirikisha, mimi sikusita, siku iliyofuata tulionana ila cha ajabu ilikua ni gesti ila kwangu nilitambua kua ni gest baada ya kuingia chumbani kwani nilipitishwa mlango wa nyuma.
Nilijiuliza sana kwa nini kafanya vile ila sikua na jibu maana nakumbuka kuna siku alinitumia sms ya kua anahamu ya sex, basi na mimi kutokana na kuwa mbali na mpenzi wangu pia kua na muda mrefu bila kufanya sex nilijikuta kutoa support ila niliomba kondomo kwa muhudumu nikaletewa wakati wa kufanya alikataa nisitumie na kudai kua mafuta hua yanamuwasha.
Kumbuka nillikuana njaa ya siku nyingi sikufikilia litakalotokea badaye, baada ya siku mbili yule bint alijistukia na kuanza kuniambia nimtongoze ili kutimiza azima kua nilimtongoza kwani nilikula mzigo Bila kumtongoza.
Ndio nilipomwambia kua mimi ninamtu wangu na ninampenda siwezi kumdanganya yeye kua nampenda , ila baada ya siku kadhaa bint alidai anamimba yangu nakuhitaji nimuoe niliweka msimamo wangu wa kutokuudanganya moyo wangu kwa kumuoa.
Kumbe alikua amekwisha pewa wasifu wangu sehemu aliyokua anajitolea baada ya kuhitimu chuo kikuu 2021, kua sijaoa pia n mpambanaji kwa upande wangu nilijilaumu sana na hadi Leo naichukia ile siku kwani sikumpenda huyu bint pia sikuwa na malengo ya kuzaa zaa watoto hovyo Bila kuoa /kukaa na mama wa watoto/mtoto.
Nilimshauri na kueleza atakapozaa mtoto atukua single mama nikitumai kua angetoa mimba ila hakuteteleka na lolote, mwanzo niliwaza sana na kujipa jibu moyoni mwangu kua mtoto sio wangu japo siku mwambia.
Cha ajabu mtoto amezaliwa anafanana na Mimi pia baadhi ya alama anazo ambazo zipo kwa dada yetu wa mwisho na mtoto wa kwanza wa kaka yangu ( yaana kidole cha kati mkono wa kushoto kimegawanyika sehemu nne kwa kawaida ni tatu).
Kwa sasa nasumbuliwa na pesa za malezi ya huyu mtoto kwani nimekua nikitoa 50,000/= na kudai kua haitoshi, pia na mimi nimeyumba kiuchumi zaidi.
Naomba mnishauli je, ni kiasi gani cha fedha kitakua sahihi kumpatia ? Japo inaniuma sana kila nikimuwaza mtoto pia namchukia sana mama yake.