Malezi haya wanayopewa watoto wa kiume na mama zao hasa kwenye nyumba isio na baba, yapo sawa?

R-K-O

JF-Expert Member
Jun 27, 2023
482
2,138


Hatukatai mama na mtoto kupendana kama mzazi na mtoto lakini hii ni sawa?

Ni kweli mvulana huyu anampenda mama yake kwa jitihada za kumuandalia chakula lakini hakukuwa na namna nyingine kuonesha anampenda hadi iwe hivi ?

nae mama wala haoni shida na yawezekana ndie alimzoesha tangu akiwa mdogo, mtoto kawa kwa jinsi alivyolelewa.

si hili tu, tabia zingine mtoto kuoga na mama yake, mtoto kulala na mama yake kitanda kimoja, n.k.

Mtoto huyu akianza kubalehe naona wazi kabisa tabia hii inaweza kuchochea incest (watu wa familia moja kuingiliana)

Mara nyingi hutokea kwa nyumba zisizo na baba.
 
Back
Top Bottom