malezi

Malezi School is a private educational institution based in Nairobi, Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    JamiiForums Tanzania Watoto msiwasasahau baba zenu, mlideka kwa kwa mama lakini huruma sio malezi, Jukumu la baba kuwa kiongozi hapa Afrika sio jambo jepesi.

    Kids tend to lean on their mothers for many things emotionally which give mothers so much power and influence on the kids, kids completely foeget the family is under the leadership and direction of fathers Kwa maisha ya uhalisia yalivyo bongo baba inabidi awe na msimamo wa hali ya juu mno...
  2. tpaul

    JamiiForums Tanzania Tufuate mfano wa malezi wa Christiano Ronaldo; hebu msikilize kwa makini hapa

    Watanzania, hasa akina baba, tunao wajibu wa kuwalea watoto wetu kwa kutowapa kila kitu, hata kama tumejaliwa utajiri wa kutosha. Tunapaswa kuwafanya watoto wetu wa hustle ili wajue kuwa mali zinapatikana kwa uchungu. Sio kila akiomba hela unampa halafu anaenda kuspend na girlfriend wake...
  3. nergomafioso

    JamiiForums Tanzania Mbona kama mama kanilengesha kwa huyu binti! Ndo tulipofikia huku

    Mimi kama kijana ninaye jitafuta bado ninaishi na mama yangu mzazi pamoja na mdogo wangu ambaye kwa sasa yupo kidato cha nne, dada yangu wa kwanza ameolewa yupo na familia yake yeye kaniacha miaka 6 ndio nikafuatia na mimi nimemuacha mdogo wangu wa mwisho kwa miaka 10. Katika swala la maadili...
  4. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Kizazi cha ovyo tulichonacho ni matokeo ya malezi haya!

    Wee mzazi utambue kuwa uwezo wa kumudu maisha ni matokeo ya malezi uliyopitia! Kwanini unataka kumuharibu mtoto wako? Au na wewe ujielewi unataka uzo wako ufanane na wewe?
  5. mwaibile

    JamiiForums Tanzania Masingle moter hatari kwa malezi ya vijana wetu

    Natumaini wikiend iko poa sana twende kwenye mada kuna jamaa yangu mmoja napiga nae mishe yani ni shida kila jambo ukiongea nae au mkashauliana bas lazima lifike kwa mama yake uzuri mama yake baadhi ya biashara namuuziga kwaiyo ananiambiaga nilichokuja kugundua jamaa makuzi ya kulelewa na single...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Ni Viashiria gani ukiviona kwa mtu ujua hakupatiwa malezi mazuri?

    Mara ya kwanza nimeenda out na rafik yangu tukaagiza chakula sasa kika kimechelewa na kikaja cha baridi. Rafiki yangu akamuita yule muhudumu akaanza kumfokea hadi watu wa meza nyingine wakaanza kutuangalia sisi. Ikabidi niingilie kati kumuomba yule kaka arudishe vipashwe moto kwa sauti ya...
  7. realMamy

    JamiiForums Tanzania Tuwapongeze Bibi zetu ( Wazazi wa Wazazi wetu) Kwa malezi yao bora na ya kudekeza wakati Mwingine.

    Mtu yeyote ambaye amekua katika maeneo ya vijijini hata mjini kwa kiasi kidogo anaweza kuelezea uzuri wa malezi ya bibi. Bibi ni mtu mwenye huruma sana hata mzazi akitaka kukuadhibu ukikimbilia kwa bibi basi utakuwa salama kabisa. Lakini Bibi ni mtu ambaye hutanguliza mbele wajukuu zake washibe...
  8. Aaliyyah

    JamiiForums Tanzania Wanaume, watoto wako hawawezi kukugeuka ikiwa ulishiriki malezi Yao tangu mwanzo

    Natumain mna afya njema Kuna namna malezi yanakuwa magumu Kwa walezi wa kiume hasa kubadilisha fikra za watoto wao na kuthaminika Kwa watoto wao japo walijitahid kufanya hivo ila hawakuzngatia code Kiukweli mm ni miongoni mwa watu ambao huwezi kuniambia chochote kibaya kuhus babaangu...
  9. rosesalva

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuimarisha familia kama taasisi ya malezi katika zama zenye ongezeko la makanisa na matumizi ya teknolojia katika huduma

    Familia na dini zimekuwa zikiaminika kama taasisi muhimu katika hatua za awali za malezi na makuzi ya watoto wadogo na hata vijana wa rika balehe kwa kuwapa mafunzo na miongozo inyowajenga kiimani, kiakili na kiroho. Kwa kipindi cha mwaka 2000 hadi kufikia 2024 katika nchi ya Tanzania kumekuwa...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Jinsi unavyowatendea familia na wapendwa wako na namna unavyofanya kazi vinategemea na malezi uliyopitia

    Hili halina ubishi, kama umelelewa kwenye familia ya baba anayejali familia, mama anayejali familia, Familia iiliyo na hofu ya Mungu, Familia yenye wazazi hard workers , wanaoamini kwenye kufanya kazi kwa bidii ili kuendelea kuna uwezekanao mkubwa na wewe ukaiga mwenendo huo ingawa kuna...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiyo Mwanaume wa Shoka: Aliyekuwa Diwani wa Kamena Halmashauri ya Geita afariki na kuacha watoto 34, wajukuu 129 na vitukuu 10

    Mamia ya wananchi wameshiriki maziko ya aliyekuwa Diwani wa Kamena Halmashauri ya mji wa Geita, Peter Kulwa (67) aliyefariki dunia Juni 13, 2024 na kuacha watoto 34, wajukuu 129 na vitukuu 10. Kwa mujibu wa risala iliyosomwa na mjukuu wake, Makutano Sadick, diwani huyo alianza kuugua kisukari...
  12. Lucas Julson

    JamiiForums Tanzania SoC04 Malezi endelevu initiative (MEI) ni suluhu mzizi wa kujenga Tanzania imara na endelevu

    UTANGULIZI. MALEZI ENDELEVU INITIATIVE (MEI) ni wazo la kuandaa mfumo kamili wa kumlea Mtoto wa kitanzania kabla ya kuzaliwa, kuzaliwa mpaka utu uzima ili kujenga Tanzania imara na endelevu. MEI inalenga kumuandaa Mtoto katika nyaja mbalimbali kama; Kimwili Kiroho Kiakili Kiuchumi Kijamii...
  13. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa Tanzania na elimu

    Mwalimu: Ndugu mzazi nakuomba uje shule, mwanao anatupa wakati mgumu Mzazi: Ndugu mwalimu, hata huku anatupa wakati mgumu kuliko ambavyo unafikiria lakini hatujawahi kukuita Bongo Nyoso..!!!!
  14. Pdidy

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Nani yuko nyuma ya Danguro Rainbow Beach? Wanatuharibia watoto. DC Kinondoni na Mkuu Jeshi la Polisi mlitazame hili

    Ni danguro la mabinti wadogo sana wengine wanawake watu wazima eneo la Mbezi Beach - Rainbow Polisi Kawe wameshaaambiwa sana lakini wanachofanya wanabeba wanawake wakifika gizani wanawaachia wanarudi tena usiku huo huo! Huku Beach imegeuka Lodge, walinzi Shirikishi wanawalinda na kuvuta chao...
  15. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Malezi ya mtoto introvert

    Wakati familia nyingi za nchi zilizoendelea zikijitahidi kuwalea kwa umakini watoto wenye tabia za uintrovert, hali ni tofauti huku Uswahilini. Watoto introvert hukumbana na kadhia ya kulazimishwa kuwa extrovert jambo ambalo haliwezekani. Lakini kuwa introvert au extrovert si tatizo. Tafiti...
  16. P

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakakayo tutaipata kwa kuweka msingi bora wa malezi kwa vijana

    Malezi Malezi ndio Msingi bora wa kutengeneza watu bora na watu wa maana katika nchi ,malezi yasipokuwa mazuri kwa watu hakika tutatengeneza Tanzania ambayo itakosa kuwa na viongozi wazuri na wanaowajibika katika kuhakikisha kwamba tunasonga mbele. Malezi sizingumzii kwa watoto tu hata kwa...
  17. TUKUSWIGA MWAISUMBE

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo na mfumo wa malezi katika lishe

    TANZANIA TUITAKAYO NA MFUMO WA MALEZI KATIKA LISHE Mimi ni mwanachama wa Jamii Forums, Jina langu ni mchechemuzi. Ushahidi wa tafiti za kisayansi umeonyesha kwamba msingi wa Taifa lolote lile unategemea sana uwekezaji kwa binadamu katika umri wa awali wa maisha ya mwanadamu hususani umri 0 -2...
  18. N

    JamiiForums Tanzania SoC04 Malezi bora yanayosaidia kuwalinda watoto wadogo wasibakwe wala kulaitiwa au kufanyiwa vitendo vibaya

    Ninaguswa sana ninaposikia stori za watoto kubakwa au kulaitiwa na ndugu au mwalimu au jirani. Tafiti zinaonyesha watoto wengi wanaofanyiwa vitu vibaya ni wale ambao hawana sauti yaani walinyanganywa haki zao za kuongea kwa sababu inawezekana mzazi alikuwa mkali sana au anamchapa au halikuwa...
  19. Leejay49

    JamiiForums Tanzania Naogopa kuwa mama

    Signed out
  20. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Misingi bora ya malezi, Tanzania bora

    MALEZI YENYE MISINGI YA KUMCHA MUNGU, UWAJIBIKAJI NA KURIDHIKA. Katika miaka ya sasa hivi wazazi wengi wamekua wakijikita sana katika shuguli za utafutaji kiuchumi ili kukidhi mahitaji ya familia zao na kupelekea upande wa malezi kwa watoto kutotiliwa mkazo na wazazi kama miaka ya zamani. Hali...
Back
Top Bottom