Rare Sapphire

JF-Expert Member
Jul 24, 2021
576
1,625
Wakuu,

Mzazi wako akikukosea anaombaje msamaha? Omba msamaha kama mzazi/mlezi wako anavyokuomba akikukosea. Twende kazi...

====

Unajua wewe ndio umesababisha mpaka nikakuchapa (kosa linatajwa upya na lawama zote zinarudi kwako zinarudi kwako tena, hapo ndio imetoka hiyo😂😂😂).....
 
Back
Top Bottom