malezi

Malezi School is a private educational institution based in Nairobi, Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. Mamujay

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano wowote kati ya malezi na kujifungua kwa operation?

    Habari wana jamvi, Nina jambo hapa naomba kuuliza. Je, kuna uhusiano gani kati ya kujifungua kwa kisu na malezi ya binti husika? Bila kumkwaza mtu naomba kuleta hii mada mezani, mimi nachowaza nasema hivi uhusiano upo. Mabint wengi ambao wamelelewa kwa kudekezwa ndio wanajifungua kwa...
  2. Aaliyyah

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kuhusu wanaume

    Natumaini mko poa, Nilipoteza baba nikiwa najitambua kiasi nikabaki na mama pekee. Mama alikuwa mchakarikaji sana lakini kuna vitu vilibadilika sana mambo hayakuwa kama yalivyo awali. Maisha yalikuwa tofuti sana na kipindi baba yangu yuko hai nikaona ni kiasi gani mzee aliteseka kuhakikisha...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Haki Tano za Msingi za Malezi Bora ya Watoto

    Sheria ya Mtoto inamtafsiri mtoto kama mtu mwenye umri chini ya miaka 18. Watoto ni sehemu muhimu ya jamii na ndiyo tegemeo la uendelevu wa taifa lolote, hivyo hawana budi kulelewa vizuri na kuendelezwa. Aidha, watoto wanayo mahitaji ya msingi ambayo kote Duniani yanatengeneza haki zao...
  4. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Athari za Malezi

    Nakutana na watoto wawili wakiwa wanampiga ndege akiwa katika Kona moja ya nyumba,umri wao ni kama miaka mitano Kwa kukadiria. Mmoja anamwambia mwenzake Yule ndege ni wangu lakini tukimpata tutagawana nyama wewe nusu na Mimi nusu. Mashallah nikajikuta nawaza mbali Sana. Huwa tukiwa wadogo...
  5. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Jinsia ya mtoto isiwe sababu ya kumnyimwa malezi makini

    Chaguo la kupata mtoto wa kike au wa kiume imekuwa ikiwatesa wazazi wengi kwa muda mrefu sana, hasa baada ya kupata mtoto tofauti na jinsia waliyoitarajia, yaani mzazi alipenda apate mtoto wa kike lakini akapata mtoto wa kiume, au wa kiume akapata wa kike. Wazazi hawa baada ya kupata mtoto nje...
  6. mama D

    JamiiForums Tanzania Kuhani Musa Richard Mwacha - Malezi mabovu, kujamiiana hovyo kunakopelekea kukataa mimba/kutelekeza watoto ni moja ya vyanzo vya panyaroad

    Kujamiiana hovyo kunapelekea kukataa mimba au kutelekeza watoto, pamoja na malezi mabovu kwenye jamii vyanzo vya panyaroad Wengi wa hawa tunaowaita panya wana baba zao na mama zao
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wazazi acheni kudekeza watoto ni hatari

    Wazazi nchini wameaswa wasiwadekeze watoto, ikiwa ni pamoja na kuzuia wasifanye kazi shuleni kwani ni hatari kwao siku za usoni. Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Shule ya Msingi Rockeni Hill na Shule ya Sekondari Anderlek Ridges, wilayani Kahama, mkoani Shinyanga, Alexander Kazimili na...
  8. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Wakina mama wenye watoto wakiume, Haya malezi mnayojidanganya ni kuwajali watoto kiuhalisia ni hatari kwenye ulimwengu wetu wa wanaume

    Sana sana kwa wamama ambao wanalea peke yao watoto wa kiume Imefikia stage niseme tu kwamba baadhi ya wamama wanaolea watoto wao wa kiume hawana tofauti na mama kondoo anealea mtoto simba kwa malezi ya kikondoo. Ndio tunajua kwamba mnawapenda watoto wenu lakini muwe mnakumbuka hao watoto ni...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mamilioni ya pesa anayotaka Jackline Mengi kwa ajili ya malezi ya watoto wake haya hapa!

    Mahakama imeeleza kuwa uamuzi wa kiasi halisi kinacholipwa lazima ufanywe kwa kuzingatia njia na hali ya maisha ya baba. Mawasilisho na viambatanisho vinadhihirisha kuwa kabla ya kifo cha marehemu alikuwa akitoa kiasi kilichoombwa kutokana na uwezo na hadhi yake. Marehemu alikuwa baba mzazi wa...
  10. JESCA DONISIANI

    JamiiForums Tanzania SoC02 Malezi Bora suluhisho la yote

    MALEZI BORA SULUHISHO LA YOTE. Ni wazi kwamba sisi sote tumekuwa wa kwanza na wapenzi wa misemo ya kiswahili hususani "Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo", " samaki mkunje angali mbichi", " Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu". Je Hawa walimwengu ni kina nani haswa ambao watamfunza?, Je...
  11. Brainwashed

    JamiiForums Tanzania SoC02 Aiba, malezi, maadili; kuvunja mnyororo wa uongozi mbovu

    Uongozi ndiyo kiini cha mafanikio au anguko la jamii yeyote ile. Hakuna jamii, tasisi, kampuni hata taifa ambalo mafanikio yake au anguko lake halihusishwi na uongozi wake uliyopita au uliyopo sasa. Wengi wetu tunakubalina na dhana hii, na ndiyo sababu tunakuwa wepesi kuwaanyooshea vidole vya...
  12. Jaquelines

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uwajibikaji Katika Malezi

    Utangulizi Uwajibikaji ni neno la Kiswahili linalotokana na neno 'wajibu' likiwa na maana ya jambo la lazima ambalo mtu au watu fulani kulifanya. Uwajibikaji wa malezi ya watoto katika familia, jamii na hata taifa zimandio hulea mabadiliko (manufaa au yasiyo na manufaa) katika jamii au taifa...
  13. prince basho jr

    JamiiForums Tanzania Wazazi wajikite kujenga misingi bora ya malezi ya watoto wao

    WAZAZI WAJIKITE KUJENGA MISINGI BORA YA YA MALEZI YA WATOTO WAO. Kasi ya mabadiliko ya hali ya maisha imekuwa ikitengenisha wazazi na watoto wao hadi kufikia wazazi kukosa muda wa kutosha kukaa au hata kuishi na familia zao kwa muda mrefu katika Dunia ya sasa. Katika Dunia ya sasa sio jambo la...
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Changamoto za Malezi ya Watoto kipindi wakiwa kwenye Balehe

    Huu ni wakati ambao mabadiliko mengi katika mwenendo wa maisha ya mtoto hujitokeza ambayo hutokana na homoni ambazo husababisha mabadiliko ya kimwili, kiakili, kihisia, na mahusiano yake kijamii pia. Katika umri huu, watoto hufanya uamuzi wenyewe kuhusu marafiki, michezo wanayoipenda. hisia za...
  15. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Muda katika malezi ya watoto na athari zake kwenye maisha ya mtoto na jamii yake

    Yaliyomo: UTOTO NA UWAJIBIKAJI WA MZAZI KATIKA MALEZI YA MTOTO MTOTO NA ELIMU MTOTO NA JAMII TABIA NA MATENDO MTOTO NA MTAZAMO WA MAISHA ATHARI ZA MALEZI DUNI UTOTO NA UWAJIBIKAJI WA MZAZI KATIKA MALEZI YA MTOTO Utoto hauepukiki lakini je watoto wengi wanafurahia utoto wao? Hali ya...
  16. R

    JamiiForums Tanzania SoC02 Malezi ya Msanii Diamond Platnumz katika kuibua mabilionea vijana kupitia vipaji vyao

    Diamond Platnumz alizaliwa katika hospitali ya Amana iliyopo jijini Dar es Saalam tarehe 02 Oktoba 1989. Jina halisi alilopewa na wazazi wake ni Naseeb Abdul Juma. Akiwa na umri mdogo wazazi wake walitengana na alibaki akilelewa na mama yake mzazi aitwaye Sanura Kassim maarufu kama “Sandra”...
  17. Kigamba

    JamiiForums Tanzania SoC02 Malezi ya mama pekee

    Malezi mengi ya watoto kwa sasa yamekua majukumu ya mama hili linachangiwa na sababu mbalimbali ikiwemo talaka, mimba za utoto, ubakaji,utelekezwaji pamoja na mtindo wa maisha. Katika mada ya Leo tajikita kwenye malezi ya mama kama mtindo wa maisha. Wanawake wengi wamekua wakichagua mtindo huu...
  18. Ncha Kali

    JamiiForums Tanzania Kwa dunia ya leo na ijayo, malezi ya babu na bibi hayana tija kwa future ya mtoto

    Ni ukweli usiosemwa! Wazee wetu ambao tumekuwa tukiaminishwa kuwa ni visima vya hekima na busara, kwamba tuwasikilize na kujifunza kwao. Kiuhalisia hawana mchango wowote kwenye dunia ya leo ya sayansi na teknolojia. Malezi yao hujikita kwenye kile wanachokiita maadili na mila, na kwa wachache...
  19. kataip

    JamiiForums Tanzania Pole mwanaume uliyeacha malezi ya damu wako ukawekeza kwa demu

    Mwanaume huna muda na wanao, mkeo na watu wako. Umepata neema miaka 10 watoto 4. Mkeo anawaangalia kwa mapenzi na kukueshimu hana out, dinner wala lunch na wanao hata akikuomba mtoke unasema una kazi nyingi. Unakutana na wasichana kwenye kazi, semina na vikao nk unavuta unawekeza, out, safari...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Je, haya ni malezi bora Kwa kizazi chetu cha kesho? Tujitathimini

    Amani iwe kwenu nyote wandugu. End.
Back
Top Bottom