malezi

Malezi School is a private educational institution based in Nairobi, Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. Sema Tanzania

    JamiiForums Tanzania Malezi ~ Jinsi malumbano ya wazazi yanavyowaathiri watoto ndani ya familia

    Katika miaka ya hivi karibuni malumbano ndani ya nyumba zetu yameshika hatamu. Tumeshuhudia tabia iliyozoeleka kwa wazazi - baba na mama wakipigana, kurushiana maneno, matusi na kadhalika mbele ya watoto tena bila aibu. Kisaikolojia mtoto hujengeka zaidi na kuwa mwenye furaha kutokana na kuwepo...
  2. Sema Tanzania

    JamiiForums Tanzania Malezi - Sababu nne kwa nini watoto wanahitaji malezi ya baba pia

    Ripoti ya idadi ya watu ya mwaka 2000 huko nchini Brazil ilionyesha kwamba familia milioni 11.2 kati ya familia milioni 44.7 zinaongozwa na wanawake. Nchini Nikaragua 25% ya watoto huishi na mama zao pekee. Mnamo mwaka 1990 huko nchini Kosta Rika takwimu zilionyesha kwamba idadi ya watoto...
  3. Barbarosa

    JamiiForums Tanzania Malezi mazuri, Mnyenyekevu sana

  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa Uweledi huu, Upendo huu mkubwa na Malezi haya mema unategemea kweli Wachezaji wa Simba SC ' wasipafomu ' Uwanjani na Kubeba Mataji yote?

    WACHEZAJI NA BENCHI LA UFUNDI LEO KILA MMOJA AMEPOKEA KIASI CHA TSH 10M ZA BONUS BAADA YA KUTINGA FAINALI YA KOMBE LA FA KIASI HIKO CHA 10M KILA MMOJA NI SAWA NA 380M KWA KIKOSI CHOTE CHA WACHEZAJI 29 BILA KUJALI ULICHEZA AU ULIKUA JUKWAANI. simbadaily.com Asante sana ' Big Boss ' Mo Dewji na...
  5. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Mzazi kumpa mtoto chochote anachokitaka ni sawa na kumharibu?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa Jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu watanzania; Mzazi mwenye uwezo kumpa mtoto chochote anachokitaka ni sawa na kumharibu? Na kumnyima napo ndio kumjenga? Nimeamua...
  6. mgt software

    JamiiForums Tanzania Wasanii Jifunze kwa yaliyompata Irene Uwoya. Ni baada ya Malezi mabovu, watu wamempandia hewani hadi kutoa machozi

    Wana Jf Ukisikia mwanakuyatafuta na mwanakuyapata Ni pale msanii maarufu baada ya kuposti picha chafu za kumdhalilisha mwanae wa kiume mavazi ya kike na kumpamba mithili ya like. Wanamitandao walichukizwa na kitendo kile na kuanza kumtukana wakitaka ajirekebishe, matusi Yale yalimtikia mwanae...
  7. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Matukio ya ubakaji yanazidi kuongezeka sana siku hizi?

    Naomba wazazi na walezi kama mimi tukumbushane kuwaelimisha watoto wetu wa kiume na hasa wa kike kuhusu mazingira hatarishi ya kupelekea unyanyasaji wa kingono au ubakaji. Nimeona mada kule twitter mabinti wengi wakieleza namna walivyobakwa na kuwataja wabakaji wao na kutaka wachukuliwe hatua...
  8. Sema Tanzania

    JamiiForums Tanzania Malezi - TAFITI: Watoto wanaoangalia sana TV wanaweza 'Kuharibu Miundo ya Ubongo'

    Kuangalia sana Televisheni kunaweza kubadilisha muundo wa ubongo wa mtoto na hivyo kumletea madhara, kulingana na utafiti mpya uliofanywa na wataamu toka Chuo Kikuu cha Tohoku kilichopo katika jiji la Sendai nchini Japan. Watafiti hawa waligundua kuwa kadiri mtoto anavyotumia muda mwingi zaidi...
  9. Sema Tanzania

    JamiiForums Tanzania Malezi - Sheria ya Mtoto inasemaje kuhusu picha za watoto mitandaoni?

    Sheria ya Mtoto ya mwaka 2009 inatamka wazi kwamba 'Mtu hatachapisha, kutengeneza, kuonyesha au kuagiza kuchapishwa, kuendeshwa au kuonyeshwa picha au taswira ya mtoto au mtoto aliyefariki, inayoonyesha ukatili au katika pozi za ngono.' Ama kwa kujua au bila kujua, jamii hukiuka sheria hii...
  10. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mbinu nayotumia kumlea mwanangu anayesoma private awe mjanja, awe na furaha, asigeuke kuwa kuku wa kisasa

    TUELEWANE MAPEMA, MAMBO MUHIMU. 1.Mtoto wangu hachezi na watoto wa kihuni mitaan na akienda kijijini ni nje kidogo ya mji na ndiko nlipokulia, watoto anaocheza nao wengi walezi wao nawajua tunafahamiana, pia hakuna watoto wa mitaani huko kama mjini. 2. sifurahi kwamba mwanangu ni mjanja au...
  11. Gily Gru

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuboresha malezi ya watoto wa kike?

    Wadau poleni kwa hofu ya Corona Ngoja niende moja kwa moja na mada yangu. Kutokana na wanafunzi kupewa likizo warudi majumbani mdogo wangu wa kike ambaye yuko form two amefika kwangu. Wiki iliyopita nimesikia akiongea na simu usiku nikanyata mpaka mlangoni kwake nisikie anaongea na nani saa...
  12. G Sam

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Mambo ya aibu niliyowahi kufanya maishani, malezi na maisha yangu hadi leo!

    Yapo mambo mengi ambayo kusema kweli yananifanya niwaze na kutafakari mengi. Leo nitaanza na hatua za awali kwenye maisha yangu na nitakuwa naweka hapa mambo ambayo nimewahi kuyafanya (Ya ajabu, yaliyonitokea mimi pamoja na ndugu zangu wa karibu) Ilikuwa ni miaka ya kuanzia 2000 nilipatwa na...
  13. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Jambo hili limenishangaza sana tuwe makini na malezi ya watoto wetu

    Wakuu, Majuzi kati nilienda kumsalimia kaka yangu. Kaka huyu anaishi na mkewe na watoto wawili wa kike. Hawajafika miaka kumi. Kwa bahati mbaya wakati nafika mkewe braza (shemeji) naye alikuwa anasafiri kwenda kwao kwani kutakuwa na sherehe, hivyo braza na watoto watakuja kesho kutwa yake...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kusikiliza kilio cha mtoto ni sanaa katika malezi

    Utafiti juu ya zana za mawasiliano ya watoto uliofanywa na R.G.Hopkins na J.K.Green pamoja na mwanasaikolojia John Bowlby unaonyesha kuwa mzazi anapaswa kusikiliza kilio cha mtoto wake ili kubaini mahitaji ya mtoto huyo. Kusikiliza kilio cha watoto siyo tu wajibu kwa wazazi bali pia ni sanaa...
  15. Justine Kakoko

    JamiiForums Tanzania Je, mtoto anaweza kulelewa kwa mafanikio ikiwa sheria za malezi za wazazi/walezi wake zitakuwa tofautitofauti?

    Je, mtoto anaweza kulelewa kwa mafanikio ikiwa sheria za malezi za wazazi/walezi wake zitakuwa tofautitofauti? Yaani Baba ana kanuni na taratibu hii, Mama ana kanuni na taratibu hii. Yapi maoni yako?
  16. Justine Kakoko

    JamiiForums Tanzania Njia 6 za kupata matokeo chanya unayoyataka kutoka kwa mtoto wako

    Wazazi/walezi wengi duniani kote wamekuwa katika mahangaiko ya kutafuta njia sahihi za kuzitumia katika kupata matokeo chanya kwenye nyanja mbalimbali za maisha ya watoto wao: wachache sana wamefanikiwa, lakini wengi wameshindwa kutokana na kutojua njia mbalimbali wanazoweza kuzitumia ili...
  17. Blue G

    JamiiForums Tanzania Tuchangiane uzoefu katika malezi: Malezi yako yalikuwaje, unahisi yamekuathiri, ungependa kulea watoto wako kama ulivyolelewa?

    Habarini Wadau wa MMU, suala la malezi ni changamoto sikuzote,kulea watoto halijawahi kuwa rahisi hata mara moja tena wanasema mtoto umleavyo ndivyo akuavyo,kwamba utu au tabia za mtoto wako ni matunda ya malezi yako,kama ni ukatili,upendo,huruma,uchapa kazi au uvivu vyote ni matokeo ya malezi...
Back
Top Bottom